Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

Huyu jamaa hana kauli za heshima kwa watu.Hata NATO wangekuwa wanataka wamsaidie kwa matusi haya watasita na wataogopa kusaidia mtu ambaye akishinda hatawashukuru. Tangu siku ya mwanzo matusi yake ni kama hayo.
Aliwahi kuwaita Cowards
 
Kijiji bila ya Mwehu hakijakamilika
 
Pesa ya urusi imepanda kwa 40% na imeizidi pesa ya marekani sasa Zelinsky anaomba mazungumzo tena sasa Puttin kasema huyu dogo hata sijui anataka nini! Maana mazungumzo kayaharibu mwenyewe kwa kudanganywa na marekani na eu sasa mwache ahangaike...hapo hapo iran imezindua drone zenye makombora ya masafa marefu! na zinaweza kwenda urusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…