Ukraine waamua kuachia mji wa Severodonetsk baada ya kichapo kikali

Hakuna dalil km atamaliza stock yake mapema kwa sabab mpaka sasa kuna bom ambazo majasus wa nato wana uhakika jamaa anayo na bado hayajatumika hata moja achana na yale mwendokasi ambayo katumia matano tu ilhal inafahamika fika anayo zaid ya mia.
Na wanajua kabisa ni mzarishaji wa siraha si mwagizaji kuwa hawajaona akiagiza, mtu mzalishaji mwenyewe wanasema ameishiwa utafikiri aliwaambia amebomoa viawanda vyake.
 
Alisikika kilaza mmoja wa Nangurukuru.🤣🤣🤣
Kinachoangaliwa ni ardhi yenye rotuba,bandari,kutanuka kwenda kadkazini kuangusha Dola ya marekani na madini ya chuma yanayopatikana hayo maeneona sio majengo ww mjinga!
 
Unaweza kujenga nyumba pasipo kuwa na kiwanja?.kama haiwezekani basi jua ardhi ni kitu muhimu sana kwa maisha ya duniani
 
Hiyo mikoa imemchukua miez miwili sasa kuimiliki chini ya vikosi hafifu vya Ukraine ,alafu pia mikoa hiyo iliyo ndani ya donbas ni magofu tupu hakuna watu ,Ukraine wameona ngoja wakajipange ,mbona kawaida tuu kwani Russia si walikimbia pia hapo mwanzo,mwez ujao utasikia Ukraine kakomboa tena
 
Alisikika kilaza mmoja wa Nangurukuru.🤣🤣🤣
Kinachoangaliwa ni ardhi yenye rotuba,bandari,kutanuka kwenda kadkazini kuangusha Dola ya marekani na madini ya chuma yanayopatikana hayo maeneona sio majengo ww mjinga!
Labda upige ngoma ndio atakuelewa
 

Tunabomoa tunatoa uchafu tunakuja kusimika mijengo ya maana.
 
Ngoja yabaki magofu, Uzuri Russia ana prisoners of war wakutosha kutoka Ukraine wataenda kujenga huko kwa viboko usiku na mchana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Retreat ni moja wapo ya njia ya kujipanga
 
NayataziDi kulengwa ili muzidi kuteseka NATO weusi
RUSSIA inatakiwa apige kila anachokiona mbele yake
Anatakiwa awasage sage hasaaaa hao MAGAIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja yabaki magofu, Uzuri Russia ana prisoners of war wakutosha kutoka Ukraine wataenda kujenga huko kwa viboko usiku na mchana
Baada ya wiki wanaongezeka mateka wengine 2,000 wa jeshi la Ukraine - nadhani watahamishiwa huko Siberia wapigwe msasa kidogo - nina hakika vita ikiisha Putin atawasamehe wafungwa na kuwarudisha makwao/Ukraine hisipokuwa wanajeshi wa kukodi hao hawata samehewa aidha watanyongwa au kufungwa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…