Hahahahaha ila we jamaa una mahaba au sijui unaamua tu kujitoa fahamu. Wenzako wanalia huko wanapoteza miji kila siku we unang'ang'ana na Kyiv tu. Ile ya Kyiv ilikuwa geresh na NATO wakaingia kingi.
Nani anaigeuzaajivu, Zeleboy au beberu mwamerika,au beberu wa ulaya🤔Kremlin inakaribia kugeuka majivu.
Kwani Ukraine ni Kyiv pekeake?? Huko kwingine hali ikoje? Tena msiombe mkamepandisha kichaa PUTIN Kyiv itageuka majivu. Yeye sasahivi yuko busy kuchukua kwanza ardhi anayopakana nayo, akimaliza atawafata hapo Kyiv na ndio komedian atamjua vizuri PUTINPale Kyev Mrusi alipigwa za uso kageuza kama mbwa koko....hehehehe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kremlin inakaribia kugeuka majivu.
Usimlaumu anatumia source za mabeberu 😂😂😂 wa ulaya na America 🏃🏃🏃Na haka je...
Kwani Ukraine ni Kyiv pekeake?? Huko kwingine hali ikoje? Tena msiombe mkamepandisha kichaa PUTIN Kyiv itageuka majivu. Yeye sasahivi yuko busy kuchukua kwanza ardhi anayopakana nayo, akimaliza atawafata hapo Kyiv na ndio komedian atamjua vizuri PUTIN
Hahahaaa, Putin is MEGA SMART upstairs - gotta killer instinct like a COBRA, don't you 4get that Amigo MK254.Hahahahaha ila we jamaa una mahaba au sijui unaamua tu kujitoa fahamu. Wenzako wanalia huko wanapoteza miji kila siku we unang'ang'ana na Kyiv tu. Ile ya Kyiv ilikuwa geresh na NATO wakaingia kingi.
😂😂
Endelea kujipa moyo, Kyiv imeoga missiles 14 usiku wa kuamkia leo.Mlianza kwa kuparamia Kyev mkaliwa za uso na kwenda kuparamia vimiji vya huko mpakani, kwa taarifa yako eneo kubwa la Ukraine wanalala hawana habari na vita, supapawa wa hovyo sana ameshindwa kufunika kainchi hapo pembeni mwake...
Ona hii ramani kuna eneo kubwa sana wanalala freshi tu
Way Ukraine WA buza,yombo mbagala na tandale hawaelewi hayo🤔Kwani Ukraine ni Kyiv pekeake?? Huko kwingine hali ikoje? Tena msiombe mkamepandisha kichaa PUTIN Kyiv itageuka majivu. Yeye sasahivi yuko busy kuchukua kwanza ardhi anayopakana nayo, akimaliza atawafata hapo Kyiv na ndio komedian atamjua vizuri PUTIN
Endelea kujipa moyo, Kyiv imeoga missiles 14 usiku wa kuamkia leo.
Unamcheka Mrusi ambaye anapambana na NATO na bado inamega maeneo na kusonga mbele wakati KDF wanashindwa kuwadhibiti wavaa kobazi wa hapa jirani na mpaka US ina military base hapo..
Sababu ya Ukraine kuondoa vikosi vyao Severodonestk ni kwamba atakaebakia atapata adabu ya long range missiles ni mtego russia hawakujua walifikiri wameachia mji sasa wanapata mkongoto kwa mbali vita ni akili tu sio kuangusha majengo ya raia na shule na vituo vya hospitaliSevelodonestk imeshakwenda we mkenya ass
Sasa kwa Akili zako za kinato Ukraine watamuweza Warusi?Sababu ya Ukraine kuondoa vikosi vyao Severodonestk ni kwamba atakaebakia atapata adabu ya long range missiles ni mtego russia hawakujua walifikiri wameachia mji sasa wanapata mkongoto kwa mbali vita ni akili tu sio kuangusha majengo ya raia na shule na vituo vya hospitali
Russia ameshapigwa kitambo na ashajulikana uwezo wake, ndio mana sasa Finland na Sweden wanajisikia huru kutangaza kujiunga na NATO tena mchana kweupe, Ukraine pia wanakamilisha kujiunga na European union kabla ya vita hizo nchi walikuwa hawawezi kuonyesha waziwazi wakiiogopa Russia lakini sasa Putin anafanyiwa visa vya waziwazi na hawezi fanya lolote zaid ya maneno.,Sasa kwa Akili zako za kinato Ukraine watamuweza Warusi?
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Huo mtego umeshafanya kazi mpaka sasahiviSababu ya Ukraine kuondoa vikosi vyao Severodonestk ni kwamba atakaebakia atapata adabu ya long range missiles ni mtego russia hawakujua walifikiri wameachia mji sasa wanapata mkongoto kwa mbali vita ni akili tu sio kuangusha majengo ya raia na shule na vituo vya hospitali