Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

Mvamizi wa Nchi za watu humjui?

Ukraine anataka kuvunja Minsk agreement, ulitaka achekewe!!

Na inshort huu mgogoro Russia ameuweka mpk Minsk agreement itakapoheshiniwa na Ukraine
ww ni kichaa , Urusi aliiivamia Crimea Mwaka 2014 kipind hata Ukraina haina mpango wa kujiunga na upande wowote , Rudi milembe hujapona vzr
 
Kasome Minsk agreement kwanza manake Upro US ndo unawapa tabu.

Reason kubwa ni Ukraine kugeuka Minsk agreement ndo mengine yafuate
narudia tena rud milembe , hujui na unashupaza shingo kujua , Urusi kavunja hayo makubaliano tangu 2014 , na usichojua Minks agreement ilizuia pia kuvamiana na haikumzuia Ukraine kujiunga nq umoja wa ulaya kitu ambacho ndo wanadai sasa hv swala la NATO mbona ipp open Ukraine walikuwa tyr kutojiunga iwapo Urusi ataondoq majeshi yake nchini Ukraine ila Urusi aligoma pia nkuulize je Georgia 2008 na Moldova 1990s na Crimea 2014 zilivunja makubaliano gan
 
Wait and see they will comeback with full force

cheki watu wanavyoondoka kibabe wakisindikizwa na wananchi halafu manasema wamefurushwa
[emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu ni heri kukaa kimya tu wakati mwingine.Unasema watu wanasindikizwa kwa shangwe au unatania tu.Kwanini basi hao watu wasisimame nao hao wanajeshi 'kulinda ardhi ya Russia ya kwenye makaratasi ya referrudum'.Hao raia watakuwa wanawatimua pia au hujui msemo wa akufukuzae hakwambii toka utaona tu kwa vitendo.
 
Iraq , Vietnam, Libya, Afghanistan amog others
We ni kichaa kbs Obama na Vietnam na Iraq ni wap na wap ? hujui ila mdomo mwing , nyiny ndo wapotoshaj vijiwen , Libyia ilikuwa vita vya wao kwa wao kila kitu kipo waz hata video zipo mtandaoni hata aliemuua Ghadaf anafahamika , pia insh za Vietnam na Iraq zilitoke akipind Obama sio rais wala hajui kama atakuja kuwa rais
 
Unajua wamewithdraw kilometa ngapi?.. Ndo maana nakwambia fuatilia kwa undani weka unazi pembeni kwanza
dah ww jamaa akili ndg sana , hujui ila unajifanya kujua , Penda kujifunza na sio kuwa mbish , jeshi la Urusi limesema limeachia maeneo hayo ww unabisha , unajua gharama za kuhamisha watu ? au ndo kidomo domo tu
 
Russia ameweka mgogoro Ukraine ili watu waje mezani kuheshimu Minsk agreement na hana sababu ya kufanya "Full scale war".

Mnaotaka kupima uwezo wake ni pale tu Moscow itakapokuwa under heavy threat au under attack. I repeat hili lisiombewe kutokea!!
Rudi Milembe mzeweee
 
Achana na mambo ya 2003.

USA alitawala Baghdad, akabadilisha hadi Rais na hadi leo Greenzone kuna ofisi yake kubwa sana
 
Air superiority ndo key ya kushinda mbali
 
Na lazima kabla ya 2024 Russia atarudi tena kukubaliana na mipaka ya Ukraine
 
Wale waliouliwa Libya ni ndama?

Project ya kuanzisha Islamic state ilisimamiwa na nani ?
ukute ulieandika hii umebalehe au kuvunja ungo hlf unajizima data kuwa Libyia walivamiwa na hawakupigana wao kwa wao kumtoa Ghadaf , na nyiny kama waafrika mlikuwa kimya na unafiki wenu leo hii mna edit story , Uzur hadi Youtube video zipo , USA walichofanya ni kushambulia msafara wa GHADAF tu ambapo haya mashambiliz wananchi waliyaomba kwa siku nying tang walipoanza kumkabili GHADAFA , waafrika mpk 2022 bado vichwa maji. Somalia leo hakuna mmarekan ila bado vita ipo , Liberia na Sierra Leon the same story mnauana kisa dhahab halaf kwa aibu mnawasingizia wazungu , Bongo hakuna USA wala nan ila Kibiti , amboni na kitaya tumeona mengi bila kusahau panya road
 
Kremlin wamemkata Shoigu, wamesema wao hawahusiki na withdrawal
 
Unapromote state - sponsored terrorism.
 
Naona suala la Is hutaki kabisa kuligusa maana linawavua nguo jamaa zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…