4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
akil zako bn [emoji23][emoji23] miaka 8 kwako ni ming sana , rudi milembe tuMpaka sasa nani anaita Mma.
Russia alishapigana miaka 8 mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akil zako bn [emoji23][emoji23] miaka 8 kwako ni ming sana , rudi milembe tuMpaka sasa nani anaita Mma.
Russia alishapigana miaka 8 mzee
ww ni kichaa , Urusi aliiivamia Crimea Mwaka 2014 kipind hata Ukraina haina mpango wa kujiunga na upande wowote , Rudi milembe hujapona vzrMvamizi wa Nchi za watu humjui?
Ukraine anataka kuvunja Minsk agreement, ulitaka achekewe!!
Na inshort huu mgogoro Russia ameuweka mpk Minsk agreement itakapoheshiniwa na Ukraine
narudia tena rud milembe , hujui na unashupaza shingo kujua , Urusi kavunja hayo makubaliano tangu 2014 , na usichojua Minks agreement ilizuia pia kuvamiana na haikumzuia Ukraine kujiunga nq umoja wa ulaya kitu ambacho ndo wanadai sasa hv swala la NATO mbona ipp open Ukraine walikuwa tyr kutojiunga iwapo Urusi ataondoq majeshi yake nchini Ukraine ila Urusi aligoma pia nkuulize je Georgia 2008 na Moldova 1990s na Crimea 2014 zilivunja makubaliano ganKasome Minsk agreement kwanza manake Upro US ndo unawapa tabu.
Reason kubwa ni Ukraine kugeuka Minsk agreement ndo mengine yafuate
[emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu ni heri kukaa kimya tu wakati mwingine.Unasema watu wanasindikizwa kwa shangwe au unatania tu.Kwanini basi hao watu wasisimame nao hao wanajeshi 'kulinda ardhi ya Russia ya kwenye makaratasi ya referrudum'.Hao raia watakuwa wanawatimua pia au hujui msemo wa akufukuzae hakwambii toka utaona tu kwa vitendo.Wait and see they will comeback with full force
cheki watu wanavyoondoka kibabe wakisindikizwa na wananchi halafu manasema wamefurushwa
We ni kichaa kbs Obama na Vietnam na Iraq ni wap na wap ? hujui ila mdomo mwing , nyiny ndo wapotoshaj vijiwen , Libyia ilikuwa vita vya wao kwa wao kila kitu kipo waz hata video zipo mtandaoni hata aliemuua Ghadaf anafahamika , pia insh za Vietnam na Iraq zilitoke akipind Obama sio rais wala hajui kama atakuja kuwa raisIraq , Vietnam, Libya, Afghanistan amog others
dah ww jamaa akili ndg sana , hujui ila unajifanya kujua , Penda kujifunza na sio kuwa mbish , jeshi la Urusi limesema limeachia maeneo hayo ww unabisha , unajua gharama za kuhamisha watu ? au ndo kidomo domo tuUnajua wamewithdraw kilometa ngapi?.. Ndo maana nakwambia fuatilia kwa undani weka unazi pembeni kwanza
Si kwa Poo Tin pekee, bali kwa makahaba wenzake wa buzaAibu kwa dikteta PUTIN# Mwisho wa ubaya ni aibu!
Rudi Milembe mzeweeeRussia ameweka mgogoro Ukraine ili watu waje mezani kuheshimu Minsk agreement na hana sababu ya kufanya "Full scale war".
Mnaotaka kupima uwezo wake ni pale tu Moscow itakapokuwa under heavy threat au under attack. I repeat hili lisiombewe kutokea!!
Achana na mambo ya 2003.Vita ni strategies,
Jikumbushe vita ya Iraq, kuna maeneo US alikuwa anarudishwa nyuma na anabadili njia.
Vita haipiganwi unavyotaka wewe?.. wenye medani wanajua zaidi.
Supply ya vifaa kutokea urussi kuvuka mto ilikuwa ngumu hapo Kherson, walikuwa wanatumia Patoni sababu daraja limeharibika. Ndo maana wamerudi upande wa pili wa mto. Waukraine pia hawawez vuka huo mto.
Russia wametake better Position hapo, pia hatari ya lile bwawa kulikuwa na kusababisha mafuriko kwenye hako kamji.
Watu wana intelligentsia zao na wamenusa hicho kitu, wewe unashupaza shingo kuwa wanganganie hiyo sehemu. Ili wamdurahishe nani.. Safety muhimu sana pia.
Yaani hapo ndo ukraine imeshinda vita?
Vita ambayo ina miaka 2 mbele mpaka uchaguzi wa us bado watakuwa vitani. Russia anajua hilo ndo maana amerelax.
NATO wanaogopa nini kumpa Zele Silaha za kupiga Moscow akamuue Putin??
Wanajua what’s next Moscow ikiwa under threat.
Air superiority ndo key ya kushinda mbaliUsituletee hadithi za Iraq, pale Iraq Marekani alidhihirisha nini maana ya supapawa, alifyeka na ndani ya muda mfupi kaiteka Baghdad, ila mtume wenu Putin amejaribu kitu kama hicho Kyev kilichomkuta hatokaa asahau.
Nikiangalia hii picha huwa nahurumia sana, msafara wa majeshi ya Iraq ulifyekwa bila huruma, mpaka nikajikuta kwa namna fulani nachukia Wamarekani kwa walichokifanya hapa, haikupaswa kuua kihivi yaani..
![]()
Na lazima kabla ya 2024 Russia atarudi tena kukubaliana na mipaka ya UkraineUkiwa unatuambia tusome hiyo Minsk agreement na wewe pia nenda kasome Budapest Agreement ya 1994 ambapo US, UK,Ukraine na Russia ni signatories ambapo Russia iliridhia kutambua Sovereignty ya Ukraine.Katika makubaliano hayo Ukraine ilipewa uhuru wa kuchagua kati ya kuwa Democracy au Utocracy bila kuingiliwa na Taifa jingine kwa mambo yao ya ndani.Iweje leo hii Putin anakiuka hayo makubaliano?
ukute ulieandika hii umebalehe au kuvunja ungo hlf unajizima data kuwa Libyia walivamiwa na hawakupigana wao kwa wao kumtoa Ghadaf , na nyiny kama waafrika mlikuwa kimya na unafiki wenu leo hii mna edit story , Uzur hadi Youtube video zipo , USA walichofanya ni kushambulia msafara wa GHADAF tu ambapo haya mashambiliz wananchi waliyaomba kwa siku nying tang walipoanza kumkabili GHADAFA , waafrika mpk 2022 bado vichwa maji. Somalia leo hakuna mmarekan ila bado vita ipo , Liberia na Sierra Leon the same story mnauana kisa dhahab halaf kwa aibu mnawasingizia wazungu , Bongo hakuna USA wala nan ila Kibiti , amboni na kitaya tumeona mengi bila kusahau panya roadWale waliouliwa Libya ni ndama?
Project ya kuanzisha Islamic state ilisimamiwa na nani ?
kwann bado unavaa chupi zenye nembo za wanaume wenzio ?China imejengwa na nguvu kazi za wachina 99%
Kwa sababu nimeamua kutumia pesa yangu nitakavyo, kuna tatizo ?kwann bado unavaa chupi zenye nembo za wanaume wenzio ?
Unapromote state - sponsored terrorism.ukute ulieandika hii umebalehe au kuvunja ungo hlf unajizima data kuwa Libyia walivamiwa na hawakupigana wao kwa wao kumtoa Ghadaf , na nyiny kama waafrika mlikuwa kimya na unafiki wenu leo hii mna edit story , Uzur hadi Youtube video zipo , USA walichofanya ni kushambulia msafara wa GHADAF tu ambapo haya mashambiliz wananchi waliyaomba kwa siku nying tang walipoanza kumkabili GHADAFA , waafrika mpk 2022 bado vichwa maji. Somalia leo hakuna mmarekan ila bado vita ipo , Liberia na Sierra Leon the same story mnauana kisa dhahab halaf kwa aibu mnawasingizia wazungu , Bongo hakuna USA wala nan ila Kibiti , amboni na kitaya tumeona mengi bila kusahau panya road
kwan walipofanya hayo matendo walijificha kuwa hamkuwaona mpk mje kutupigia kelele sasa hv ?Wote hao ni magaidi wa kimataifa, wanatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria.
Naona suala la Is hutaki kabisa kuligusa maana linawavua nguo jamaa zenu.ukute ulieandika hii umebalehe au kuvunja ungo hlf unajizima data kuwa Libyia walivamiwa na hawakupigana wao kwa wao kumtoa Ghadaf , na nyiny kama waafrika mlikuwa kimya na unafiki wenu leo hii mna edit story , Uzur hadi Youtube video zipo , USA walichofanya ni kushambulia msafara wa GHADAF tu ambapo haya mashambiliz wananchi waliyaomba kwa siku nying tang walipoanza kumkabili GHADAFA , waafrika mpk 2022 bado vichwa maji. Somalia leo hakuna mmarekan ila bado vita ipo , Liberia na Sierra Leon the same story mnauana kisa dhahab halaf kwa aibu mnawasingizia wazungu , Bongo hakuna USA wala nan ila Kibiti , amboni na kitaya tumeona mengi bila kusahau panya road
Nani akupigie kelele, wewe sisimizi ambaye huna impact yoyote popote.kwan walipofanya hayo matendo walijificha kuwa hamkuwaona mpk mje kutupigia kelele sasa hv ?