Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Tatizo ni kwamba wanajeshi wote walio vuka mpaka kuingia ndani ya Urusi hakuna atakaye toka akiwa hai wote watauawa .
Sema wao Ukraine watakuwa na maana yao kuanzisha operation hiyo maana wao wanajua zaidi kuhusu vita kuliko sisi.
Yah, tutajua nini hasa kipo nyuma ya hili shambulizi la kuteka ardhi ya Urusi.
 
Hapa ndipo naanza kuelewa maana ya ubaya ubwela 😄😄😄
 
Your face when you realize Ukraine has taken more Russian land in three days than Russia managed to seize all yearView attachment 3064961
Kuna jamaa zangu kwenye grupu moja la Watsap, yaani ikitokea hoja ya kuwaponda Russia lazima waitane kuja kuitetea kwa nguvu zao zote. Sometimes huwa wananipa mashaka sana juu ya uanaume wao.
 
Yah, tutajua nini hasa kipo nyuma ya hili shambulizi la kuteka ardhi ya Urusi.
Wachambuzi wengi wanasema kutokana na Ukraine kuzidiwa kwenye msitari wa mbele ,imeamuwa kuanzisha uvamizi kwenye mpaka wa Urusi ili Urusi ilazimike kupunguza wanajeshi wake kwenye msitari wa mbele wa vita kwa ajili ya kwenda kulinda mipaka ya Urusi.

Lakini hilo sidhani kama litatokea kwa sababu mpaka sasa Urusi ina zaidi ya 700,000 ambao hawapo vitani.
 
.,
 
unahis walipaa kufika hapo? tumia akili na sio ushabiki
Siongei ushabiki natumia akili vema sana.
Jeshi la Ukraine ni crippled and dismantled army.
Hawataweza kuhimili mashambulizi haya upunje.
Kama wameshindwa kuhimili mashambulizi ya ardhi yao iliyotekwa sembuse ardhi mpya waliovamia!??
Think critically bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…