Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Yale niliyoyazungumza.
Russia ameshaandaa kampeni kabambe huko muda si punde mtu anaenda kuumia.Maana inasemekana hadi raia hapo Kursk wanahamishwa,Yani kitachofuata ni shaba tu hapo hao raia wakishahamishwa.
 
Kwa hiyo raia kuondolewa ndio unaona ni big deal,..,hiyo inaamanisha kuwa urusi kanyoosha mikono kuupoteza huo mkoa, mbona ni kawaida hata Ukraine wakiona Hali imekuwa mbaya sehemu wanafanya evacuation? Hujasikia Ukraine alifanya evacuation huko Khakivu,

Wewe jamaa una hoja dhaifu sana,halafu Sina uhakika kama hiyo heading kwenye kwenye hiyo screenshot uliyotuwekea kama kizungu chake umekielewa sawasawa
 
Russia wipes out 1,000 Ukrainian soldiers wamepata walichokitaka

View: https://youtu.be/3S1Th2r9dfo?si=eVkSFGLiPclPc1oV
Kwa hiyo wale 1000 wote wamekuwa wiped outπŸ˜…?
Wame wipe out wote jana, lakini mpaka saa 3 asubuhi ya huko kwenu hali ilikuwa ni hiyo wanachapika kiasi cha Russia kutuma makombora zaidi na mifumo ya ulinzi huku akilia kwamba eneo hilo lina vinu vya nyukliaπŸ˜…
 
Hata English ni shida,unascreenshort tu na kubandika
Ona ulivyo MPUMBAVU.
Habari inasema RUSSIA TO SEND MORE TROOPS TO KURSK REGION.
We unaelewa nini hapo!?
Pia hiyo anti terrorism task force iliyokua deployed katika maeneo ya belgorod na kursk kazi yao nini!?
Au hao wanaenda kucheza sindimba!?
Rudi shule ukasome.
 
Ona huyu kichaa.
Hao raia wanakuwa evacuated kuwapa nafasi hiko kikosi kuja kufanya mashambulizi hapo.
Mifumo ya ulinzi pamoja na askari zaidi wanatarajiwa kuongezwa hapo.
 
Bucha, Hostomel,....
 
Yani umetaja sehemu moja,Hostomel ipo ndani ya Bucha na hayo ni maeneo ndani ya mji mkuu Kyiev.
Mie nazungumzia maeneo ya mipakani Kharkiv,Donetsk,Mariupol,Donbasna.k.
Mji mkuu tunajua kwamba wote ulikombolewa mwanzoni mwa vita.
Kwa kuongezea ni kwamba urusi walichakazwa na kufurushwa huko

Kyiv πŸ˜‡

Khakivu πŸ˜‡

Kupyansk πŸ˜‡

Izium πŸ˜‡

Kheson πŸ˜‡

Snake island πŸ˜‡

Lyman πŸ˜‡

BryankliaπŸ˜‡

Mycolaiv πŸ˜‡

Odessa πŸ˜‡

List ni ndefu sana mkuu
 
Hapo Kharkiv na Snake Island Warusi walichapika saana mpaka wakaachia maeneo.
 
Yani umetaja sehemu moja,Hostomel ipo ndani ya Bucha na hayo ni maeneo ndani ya mji mkuu Kyiev.
Mie nazungumzia maeneo ya mipakani Kharkiv,Donetsk,Mariupol,Donbasna.k.
Mji mkuu tunajua kwamba wote ulikombolewa mwanzoni mwa vita.
.......Taja hata eneo moja lililokombolewa.......
Ok, sahihi, Hostomel ipo Bucha.
 
Ngoja na wao waonje kidogo.
 
Wazae sasa hivi watasaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…