Kisai
Kitabu cha mathayo hakikuandikwa na Mathayo..
Kitabu hicho kwenye Asili yake kimeandikwa hivi..
"
Ευαγγέλιο κατά Ματθαίον" inatamkwa "Evangéliο katá Mattháion"
Kwa kiswahili "
Injili kama ilivyosemwa na mathayo"
sasa jina la Injili lenyewe lina "kata" ambayo inaonyesha Aliyeandika sio aliyesimulia..
Kitabu ambacho aliandika mathayo kinataja kuwa Yesu alikutana na Mtu mmoja aitwaye mathayo..natamani ungekuwa unajua Kigiriki tungeweka Hilo fungu tukalichambua ukajua kuhusu Nafsi katika sarufi..
Mathayo 9:9
Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.
And as Jesus passed forth from thence, he saw a man, named Matthew, sitting at the receipt of custom: and he saith unto him, Follow me. And he arose, and followed him."
marko hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu ila alikuwa Mwanafunzi wa Petro kwahyo hakuwahi kumuona Yesu siku yoyote ile..
Marko kwa Jina jingine Huitwa Yohana..
Hakuwa mwanafunzi wa yesu bali mwanafunzi wa Petro.
.
Matendo ya Mitume 12:12
"Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba."
Luka Nimeshamuelezea Aliluwa Daktari wa Paulo na sio mwanafunzi wa Yesu
Yohana Ni kata Na sio Original Version..
Na hata ukisoma kwenye hiyo Yohana yenyewe mwishoni Inakataa Kuwa Yohana sio mwandishi wa Kitabu hicho..
Yohana 21:23-24
"Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Walakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe? "
Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli"
Sasa Unaweza kuona hao wanasema Sisi Twajua ni kina nani wanaomshuhudia Yohana kuwa Ushuhuda wake ni wa Kweli????
Huku sitii nena kwa sababu inafahamika kabisa