avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
🔹 Ni dini ambazo ni antagonistic kabisa hazina mfanano wowoteLabda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.
Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran.
Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa Azar. Kasome Quran 6:74.
Kwenye Biblia wana Yesu, kwenye Koran wana Issa. Huyu Issa hakusulubiwa msalabani, ila Yesu alisulubiwa. Ndugu zangu, hawa ni watu wawili tofauti.
Kuna MUNGU (Almighty GOD) kwenye Biblia na kuna Allah kwenye Koran
So watu wa huku ni tofauti na wa kule. Kwa Biblia, Ishmael anajulikana kama mtoto wa kijakazi, ila kwa Kuran ni tofauti.
So mkikaa na kuzungumza, cha kwanza jueni mnawazungumzia watu wa sehemu tofautitifauti.
Mfalme Suleiman wa Bible alikuwa holy na baadaye akaanguka dhambini ila wa kwenye Kuran alikuwa anaongea mpaka na majini. So mkiwa mnawasoma watu wa kwenye Bible, msije kufikiri ni watu walewale wa kwenye Kuran, sio hivyo.
Musa wa kwenye Biblia alipewa Amri 10 za MUNGU, Musa wa kwenye Koran hakupewa amri 10 zozote.
Biblia inamtambua Samson kama jamaa aliyebarikiwa nguvu na uwezo wa kupambana na udhaifu wake ni kukata nywele zake, ila hakuna kisa cha namna hiyo kwenye Quran.
Biblia imeorodhesha mitume na manabii wengi wakitoka katika chimbuko la wayahudi, wakati Quran haiwazungumzii wayahudi katika chimbuko la unabii.
Ndio maana ukimsoma mtu wa huku, unaona tofauti kubwa na mtu wa kule.
Kuran imemtambua Adam kama mtume, ila kwa Biblia imemtambua kama mtu wa kawaida tu, mtu aliyeumbwa mwanzoni kabisa.
So mlifahamu hilo, sio mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa mnabishana weeee meaningwhile watu mnaowazungumzia ni tofauti.
Historia ya Matukio ikitofautiana basi jua kabisa hao ni watu tofauti kabisa.
Hivyo ni vyema kila mtu abaki na anachokiamini, muda au siku ya kiama ndio ukweli utadhihirika nani alikuwa sahihi na nani alikuwa muongo.
🔵 Mungu wa wakristu anataka kusamehe mara nyingi iwezekanavyo na anakataza kisasi , lakini upande wa pili kawaambia kuwa kisasi ni haki Yao
🔵 Mungu wa wakristu haitaji watu wa kumpigania, lakini Mungu wa upande mwingine wafuasi wake wanampigania kwa bunduki na risasi zilizotengenezwa na wachina na wakristu
🔵 Mungu wa wakristu ameweka wazi kuwa majini ni mashetani lakini wa upande wa pili amewabia ni ndugu zao, wanaswali pamoja, na wanatumia kwenye shughuli mbalimbali iliwemo uganga, tena amewapa sura nzima nayo ni sura ya 72 ( sura Al jinn)
🔵Biblia imeweka wazi kuwa mtoto wa Ibrahim aliyetaka kutolewa sadaka ni Isaka lakini upande wa pili wamepiga cross multiplication na kusema ni Ishmael
🔵 Kwenye ukristu ndoa za watoto ni marufuku lakini upande wa pili mtoto akiota vimatiti tuu ni MKE tayari
🔵 Ndoa za ndugu ni marufuku kwenye ukristu lakini upande wa pili mtu anamwoa mtoto wa dada yake na baba yake bila shida yoyote lakini kifuatacho ndani utakuta watoto wenye usonji wa kutosha
🔵 Mbingu ya wakristu ni kuimba na kumsifu Mungu Wala hakuna kuoa Wala kuolewa ila upande wa pili tendo la ndoa ndio shughuli kuu kule na favour wamepewa wanaume tuu kukabidhiwa viumbe wa ajabu 72 ila wanawake hawajulikani watakuwa wanafanya nini