DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kisai
Kitabu hicho kwenye Asili yake kimeandikwa hivi..
"Ευαγγέλιο κατά Ματθαίον" inatamkwa "Evangéliο katá Mattháion"
Kwa kiswahili "Injili kama ilivyosemwa na mathayo"
sasa jina la Injili lenyewe lina "kata" ambayo inaonyesha Aliyeandika sio aliyesimulia..
Kitabu ambacho aliandika mathayo kinataja kuwa Yesu alikutana na Mtu mmoja aitwaye mathayo..natamani ungekuwa unajua Kigiriki tungeweka Hilo fungu tukalichambua ukajua kuhusu Nafsi katika sarufi..
Mathayo 9:9
Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.
And as Jesus passed forth from thence, he saw a man, named Matthew, sitting at the receipt of custom: and he saith unto him, Follow me. And he arose, and followed him."
Marko kwa Jina jingine Huitwa Yohana..
Hakuwa mwanafunzi wa yesu bali mwanafunzi wa Petro.
.
Matendo ya Mitume 12:12
"Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba."
Na hata ukisoma kwenye hiyo Yohana yenyewe mwishoni Inakataa Kuwa Yohana sio mwandishi wa Kitabu hicho..
Yohana 21:23-24
"Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Walakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe? "
Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli"
Sasa Unaweza kuona hao wanasema Sisi Twajua ni kina nani wanaomshuhudia Yohana kuwa Ushuhuda wake ni wa Kweli????
Huku sitii nena kwa sababu inafahamika kabisa
Kitabu cha mathayo hakikuandikwa na Mathayo..Hapa kuna orodha ya wanafunzi sita wa Yesu ambao walikuwa maarufu kwa kutoa maelezo kuhusu maisha, mafundisho, na matendo ya Yesu katika Injili:
1. Mtume Mathayo: Aliandika Injili ya Mathayo ambayo inaelezea maisha na mafundisho ya Yesu, pamoja na mafundisho yake makuu.
Kitabu hicho kwenye Asili yake kimeandikwa hivi..
"Ευαγγέλιο κατά Ματθαίον" inatamkwa "Evangéliο katá Mattháion"
Kwa kiswahili "Injili kama ilivyosemwa na mathayo"
sasa jina la Injili lenyewe lina "kata" ambayo inaonyesha Aliyeandika sio aliyesimulia..
Kitabu ambacho aliandika mathayo kinataja kuwa Yesu alikutana na Mtu mmoja aitwaye mathayo..natamani ungekuwa unajua Kigiriki tungeweka Hilo fungu tukalichambua ukajua kuhusu Nafsi katika sarufi..
Mathayo 9:9
Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.
And as Jesus passed forth from thence, he saw a man, named Matthew, sitting at the receipt of custom: and he saith unto him, Follow me. And he arose, and followed him."
marko hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu ila alikuwa Mwanafunzi wa Petro kwahyo hakuwahi kumuona Yesu siku yoyote ile..2. Mtume Marko: Aliandika Injili ya Marko, ambayo inatoa maelezo ya haraka-haraka ya huduma ya Yesu na matendo yake ya ajabu.
Marko kwa Jina jingine Huitwa Yohana..
Hakuwa mwanafunzi wa yesu bali mwanafunzi wa Petro.
.
Matendo ya Mitume 12:12
"Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba."
Luka Nimeshamuelezea Aliluwa Daktari wa Paulo na sio mwanafunzi wa Yesu3. Mtume Luka: Aliandika Injili ya Luka na pia Kitabu cha Matendo ya Mitume, ambayo inaelezea habari za Yesu na pia kuendeleza historia ya kanisa la kwanza.
Yohana Ni kata Na sio Original Version..4. Mtume Yohana: Aliandika Injili ya Yohana, ambayo inatoa mtazamo wa kipekee wa mafundisho na miujiza ya Yesu, pamoja na mazungumzo yake ya kina na wanafunzi wake.
Na hata ukisoma kwenye hiyo Yohana yenyewe mwishoni Inakataa Kuwa Yohana sio mwandishi wa Kitabu hicho..
Yohana 21:23-24
"Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Walakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe? "
Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli"
Sasa Unaweza kuona hao wanasema Sisi Twajua ni kina nani wanaomshuhudia Yohana kuwa Ushuhuda wake ni wa Kweli????
5. Mtume Petro: Ingawa hakuandika moja kwa moja Injili, Petro alikuwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu na alikuwa na jukumu muhimu katika uanzishaji wa kanisa la kwanza. Barua zake mbili (ambavyo kwa sasa ni vitabu), 1 Petro na 2 Petro, zinatoa mafundisho muhimu kuhusu imani na maisha ya Kikristo.
6. Mtume Paulo: Ingawa si mmoja wa wanafunzi wa Yesu wakati wa huduma yake duniani, Paulo alikuwa mtume aliyetumika kwa nguvu katika kusambaza injili baada ya ufufuo (kufufuka) wa Yesu. Barua zake nyingi zilizoandikwa kwa makanisa ya karne ya kwanza zinatoa mafundisho na mwongozo muhimu kwa Wakristo.