Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Kisai
Hapa kuna orodha ya wanafunzi sita wa Yesu ambao walikuwa maarufu kwa kutoa maelezo kuhusu maisha, mafundisho, na matendo ya Yesu katika Injili:

1. Mtume Mathayo: Aliandika Injili ya Mathayo ambayo inaelezea maisha na mafundisho ya Yesu, pamoja na mafundisho yake makuu.
Kitabu cha mathayo hakikuandikwa na Mathayo..

Kitabu hicho kwenye Asili yake kimeandikwa hivi..

"Ευαγγέλιο κατά Ματθαίον" inatamkwa "Evangéliο katá Mattháion"

Kwa kiswahili "Injili kama ilivyosemwa na mathayo"

sasa jina la Injili lenyewe lina "kata" ambayo inaonyesha Aliyeandika sio aliyesimulia..


Kitabu ambacho aliandika mathayo kinataja kuwa Yesu alikutana na Mtu mmoja aitwaye mathayo..natamani ungekuwa unajua Kigiriki tungeweka Hilo fungu tukalichambua ukajua kuhusu Nafsi katika sarufi..

Mathayo 9:9

Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.

And as Jesus passed forth from thence, he saw a man, named Matthew, sitting at the receipt of custom: and he saith unto him, Follow me. And he arose, and followed him."


2. Mtume Marko: Aliandika Injili ya Marko, ambayo inatoa maelezo ya haraka-haraka ya huduma ya Yesu na matendo yake ya ajabu.
marko hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu ila alikuwa Mwanafunzi wa Petro kwahyo hakuwahi kumuona Yesu siku yoyote ile..

Marko kwa Jina jingine Huitwa Yohana..
Hakuwa mwanafunzi wa yesu bali mwanafunzi wa Petro.
.
Matendo ya Mitume 12:12

"Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba."

3. Mtume Luka: Aliandika Injili ya Luka na pia Kitabu cha Matendo ya Mitume, ambayo inaelezea habari za Yesu na pia kuendeleza historia ya kanisa la kwanza.
Luka Nimeshamuelezea Aliluwa Daktari wa Paulo na sio mwanafunzi wa Yesu
4. Mtume Yohana: Aliandika Injili ya Yohana, ambayo inatoa mtazamo wa kipekee wa mafundisho na miujiza ya Yesu, pamoja na mazungumzo yake ya kina na wanafunzi wake.
Yohana Ni kata Na sio Original Version..
Na hata ukisoma kwenye hiyo Yohana yenyewe mwishoni Inakataa Kuwa Yohana sio mwandishi wa Kitabu hicho..

Yohana 21:23-24

"Basi neno hilo lilienea katikati ya ndugu ya kwamba mwanafunzi yule hafi. Walakini Yesu hakumwambia ya kwamba hafi; bali, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe? "

Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya: nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli"

Sasa Unaweza kuona hao wanasema Sisi Twajua ni kina nani wanaomshuhudia Yohana kuwa Ushuhuda wake ni wa Kweli????
5. Mtume Petro: Ingawa hakuandika moja kwa moja Injili, Petro alikuwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu na alikuwa na jukumu muhimu katika uanzishaji wa kanisa la kwanza. Barua zake mbili (ambavyo kwa sasa ni vitabu), 1 Petro na 2 Petro, zinatoa mafundisho muhimu kuhusu imani na maisha ya Kikristo.

6. Mtume Paulo: Ingawa si mmoja wa wanafunzi wa Yesu wakati wa huduma yake duniani, Paulo alikuwa mtume aliyetumika kwa nguvu katika kusambaza injili baada ya ufufuo (kufufuka) wa Yesu. Barua zake nyingi zilizoandikwa kwa makanisa ya karne ya kwanza zinatoa mafundisho na mwongozo muhimu kwa Wakristo.

Huku sitii nena kwa sababu inafahamika kabisa
 
Wewe unaminije hiyo chain kutoka kwa bukhari ni hakika??
Unarejea wapi halafu uje ukatae namna iliyopo ktk bible kuambiwa"hii ni injili kama ilivyoandikwa na luka"??
Yote si ni maandishi tu mtu anaweza andika kama ana nia yake!!!!

Swali zuri naamini chain ya Bukhari ni hakika kwanza kutokana na sifa zake anuai alizokuwa nazo na namna ya watu walio mzunguka wanamzungumzia vipi, tena watu tofauti tofauti kutoka miji tofauti wanamzungumzia kwa sifa njema za umakini, ukweli, uchamungu, hifadhi nzuri ya mambo.

Mambo ambayo huyakuti yamenukuliwa isipokuwa kwetu sisi Wailsamu pekee.

Mtu anaweza kuandika kweli atakavyo ndio maana Allah akawachagua waja miongoni mwa waja wake kupitia wao dini ihifadhiwe. Mfano wewe leo hii tunga uongo wowote kisha unathibishe kwa mitume lazima tutajua kwa kutumia elimu ya uhakiki wa habari. Kupitia elimu hii ndio maana Dini yetu ikahifadhiwa kutokana na uchafu na uongo.
 
Kuna
Walikuwepo enzi hizo ndio wanasema ni Maandiko yake na baadhi aliyaandika yeye na ndivyo tunavyoamini... Ni kama wewe unavyosema Quran imeshushwa na Mohamad, je baada ya kushushwa na Mohamad, maisha yaliyofuta ya historia ya Mohamad mpaka kifo yaliongia vipi kwenye Quran?

Je wewe ulikuwepo au nani alikuwepo wakati Mohamad anashushiwa Quran? Je kuna ushahidi wowote kuwa alishushiwa

Hivi kwa imani ya kikiristo hawa akina nabii tito huenda miaka buku ijayo wanaweza kuwekwa kwenye biblia na vitukuu vyetu vikaja kusoma unabii wao?
Hawa walishatabiriwa kuwa na manabii wa uongo watakuwepo tangu agano la kale
 
Unaposema Manabii wote walikuwa ni Waisilamu ni kuzusha sintofahamu na kuleta balaa kubwa kwa waumini.
 
Ndio maana nasema Wakristo hamjishughulishi na kusoma, mpo mpo. Kipindi cha Muhammad hapakuwa na Biblia hili jambo la kwanza.

Pili, Mtume wetu alikuwa hajui kusoma wala kuandika, aliwezaje ku copy kwanza na kipindi hicho Biblia haikuwepo ?

Hadithi ziko wazi, tamko kukabwa linatumiwa na nyinyi maadui wa Uislamu lakini katika masimulizi hakuna kukabwa bali aliminywa, lakini jalia ya kuwa alikabwa ndio, tatizo liko wapi ?
Aiseee, umevimbiwa
Kwa hiyo kama wakati wa Mohammad hakukuwa na biblia, je haithibiti uongo wa mtume wenu? Alitoa wapi yale maagizo aliyosema kapewa na allah kuhusu walioshushiwa kitabu?
 
Umetawadha leo kabla ya kubinua makalio? au swaumu imekukaba koo?
Screenshot_20240402-214328~2.png
 
Aiseee, umevimbiwa
Kwa hiyo kama wakati wa Mohammad hakukuwa na biblia, je haithibiti uongo wa mtume wenu? Alitoa wapi yale maagizo aliyosema kapewa na allah kuhusu walioshushiwa kitabu?

Inathibitisha ukweli wa Mtume ya kuwa maneno yale alikuwa anafunuliwa, ndio ikawa sababu ya yeye kuaminiwa na kukubalika pia.
 
Ok.sijawahi ona ulipojieleza ndio maana kikauliza.
Asante kwa jibu lako.

Amri kuu ipitayo zote ni UPENDO
Safi mkuu Na ndio Hiyo Utaisoma Kwenye Amri za Dini zote..
Na kujali Yatima na wajane na wasiojiweza..

Nenda Dini yoyote hizo ndyo amri kuu..
Ukisoma Bhagavad Gita,Quran, Biblia, TANAKH,TALMUD ,ZOHAR zote zinafundisha upendo...

Biblia Imeenda mbali mpaka kuitaja kama Dini!

UPENDO.NDYO DINI YANGU..

Yakobo 1:27

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Iko wazi
Jamaa alikuwa na maisha magumu sana mpaka anafikish 40YRS. Akaolewa na kilelewa kama marioo lakini wapi. Akaamua kutafuta biashara ya kumtoa kimaisha, akaja na wazo la kuwa mtume, hatimae Kakafa akiwa tajiri
Ukiangalia hata Ukristu ulikopi kutoka katika Uyahudi na Uzoroastra.

Haikuwa vibaya kukopi, lakini Muhamad alitaka kukopi na ku destroy Dini alizozikopi😆

Yaani nakutapeli Dini yako😁
 
Inathibitisha ukweli wa Mtume ya kuwa maneno yale alikuwa anafunuliwa, ndio ikawa sababu ya yeye kuaminiwa na kukubalika pia.
Alifunuliwa na kuagizwa awaulize watu walioshushiwa kitabu ili hali wakati wake biblia haikuwepo. Huoni allah na Mohammad wote walidanganya?
 
Swali zuri naamini chain ya Bukhari ni hakika kwanza kutokana na sifa zake anuai alizokuwa nazo na namna ya watu walio mzunguka wanamzungumzia vipi, tena watu tofauti tofauti kutoka miji tofauti wanamzungumzia kwa sifa njema za umakini, ukweli, uchamungu, hifadhi nzuri ya mambo.

Mambo ambayo huyakuti yamenukuliwa isipokuwa kwetu sisi Wailsamu pekee.

Mtu anaweza kuandika kweli atakavyo ndio maana Allah akawachagua waja miongoni mwa waja wake kupitia wao dini ihifadhiwe. Mfano wewe leo hii tunga uongo wowote kisha unathibishe kwa mitume lazima tutajua kwa kutumia elimu ya uhakiki wa habari. Kupitia elimu hii ndio maana Dini yetu ikahifadhiwa kutokana na uchafu na uongo.
Mimi Naamini Sio Kila Sahihi Ni kweli!
Kwahyo Sahihi Bukhari zote na sahihi Muslimu zote sio Sahihi zote kwa 100%

Kama unabisha Ninazo Hadithi kadhaa ambazo si za kweli Zipo.kwenye Sahihi Zenu!
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Sasa mnaoita manabii waliopita walikujana na ujumne gani ??

Mitume na manabii wote walikuwa na ujumbe mmoja ambao ni kumuabudu Allah na kuupiga vita ushirikina.

Tofauti ya Mtume na nabii, ni kuwa kila Mtume ni nabii lakini siyo kila nabii ni Mtume. Mtume alipopewa ujumbe alilazimishwa lazima aufikishe ujumbe huo, nabii kwake ni tofauti halazimishwi kuufikisha ujumbe huo. Mtume hupelekwa sehemu imani imetoweka kabisa na watu wanakuwa wameingia katika ushirikina ila nabii hutumwa hata kama sehemu imani ipo.

Mitume hupewa sheria kadhalika.

Kwa ufupi mitume na manabii wote wa Allah walikuwa na imani moja ya Uislamu ila walitofautiana sheria.

Hapakuwahi kuwa na mtume wala nabii wa kike. Hii ni nukta ya msingi pia chukua.
 
Safi mkuu Na ndio Hiyo Utaisoma Kwenye Amri za Dini zote..
Na kujali Yatima na wajane na wasiojiweza..

Nenda Dini yoyote hizo ndyo amri kuu..
Ukisoma Bhagavad Gita,Quran, Biblia, TANAKH,TALMUD ,ZOHAR zote zinafundisha upendo...

Biblia Imeenda mbali mpaka kuitaja kama Dini!

UPENDO.NDYO DINI YANGU..

Yakobo 1:27

Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Mkuu inaonekana umeshiba maarifa.
Big up.
 
Back
Top Bottom