Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Sasa tuache kutukuza utamaduni ulioleta, diesel engine, ndege, meli,gari za umeme, internet, simu, tv, tutukuze uchafu wa kiarab wa kubanduana makalio, na kuoa vitoto vya miaka 9,!
 
Uislamu hautambui mambo ya majini , sema unatakiwa kumpa mtoto wako jina lenye maana nzuri , majina kama Tabu , masambuko , shida sio mazuri .

Nyie wapakwa mafuta ni lazima ukibatizwa upewa christian name , ipo shida .

Ukiona kubadili jina ni lazima kwa sheria ya imani hiyo. Usipoteze muda, jua umepotoka na kupotea.
 
Miongoni mwa vitu ambavyo mzungu alituletea (tamaduni zake) ni hivi hapa, na tujitafakari kama tunaweza kuviepuka kabla ya hata kuuzungumzia huo ukristo.

1. Kuvaa nguo
2. Kuvaa viatu
3. Kutumia vyoo
4. Kutawaza na maji/kupangusa au kujifuta kwa karatasi laini (tissue) baada ya kwenda haja kubwa.
5. Usafi (kunawa mikono kabla ya kula au baada ya kutoka chooni)
6. Kutumia sabuni
7. Kusoma na kuandika (kwenda shule, chuo)
8. Kulala kwenye vitanda na magodoro
9. Kupanda baiskeli, pikipiki, gari, ndege
10. Kujenga na kuishi kwenye nyumba za bati, matofali, maghorofa
11. Kutumia umeme, saa, redio, simu, TV, Komputa
12. Mitandao ya kijamii na internet (Whatsapp, Twitter, Facebook, instagram, JF)
13. Kupika kwa kutumia majiko ya gesi na umeme.
14. Kuchemsha maji ya kunywa au kutumia maji ya chupa.
15. Kwenda hospitali tukiumwa.
 
Na kuchukua mali zetu kujijenga. Tukabaki na vyoo
Yeah sure, wakachukua mali zetu wakajijenga tukabaki na vyoo. Poa
 

Haya ni mambo mazuri sana. Jamii moja ikifanikisha kuifundisha jamii nyingine ni jambo bora zaidi. Maana ni ustaarabu unaomfaa mwanadamu. Lakini ikifikia hatua ya watu kuyaingiza mambo haya kwenye dini, na kuanza kuwafundisha wengine kuwa usipofuata haya huendi mbinguni. Huo ni ulaghai.
 
Asante!
 
Mchaga akisema kwa kujiamini "Yesu Maria na Yosefu" humuambii kitu. Sio Josefu ni Yosefu.
 

View: https://youtu.be/LM0KQ8UkYsM?si=Vmrrnv6m-4OJgQro
 
Mtindiga anaitwa John Peter Paul or Mohammed Ally Hussein. Two faces of the same coin.

Wewe umewapiga wote kwa pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazee wa bwana yesu asifiwe na allah

Kwanini tusijiite majina ya asili yanayotokana na makabila yetu
 
Mtu mweupe na mwarabu nani bora. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti akijitahidi ataweka kisima cha maji kwa ajili ya kutawadha. Lakini kuna mwingine amejenga mashule, mahospitali na vyuo nchini kwetu. Nasubiri Jibu ndugu yangu ?

Aliye hatari zaidi ni huyu aliyekuandikia mpaka biblia ya ushoga na kuruhu ushoga makanisani
 
Aliye hatari zaidi ni huyu aliyekuandikia mpaka biblia ya ushoga na kuruhu ushoga makanisani
Hatari kuliko ni huyo ambaye kwao ushoga umezoeleka na ubakaji wa mabinti wadogo. Katafute maana ya Bacha_bazi. Hii imezoeleka sana uarabuni na ndio maana Zanzibar ushoga umejaa sana kuliko Bara. Kwa kifupi huko uarabuni koo zenye hadhi ya chini watoto wadogo wa kiume wananunuliwa na kulawitiwa na watu wa koo za juu. Sasa kama mwarabu anamtreat mwarabu mwenzake namna hij wewe ni nani ? Kuna hospitali, shule, chuo au taasisi kubwa inayoemdeshwa na mwarabu hapa Tanzania ? Ila Taasisi za kikristo zipo kibao kuanzia KCMC, Bugando, SAUT nk. Amka Sheikh wangu usiridhike na kujengewa misikiti na kuletewa maji ya kutawadhia.
 

Unapokuwa na wachungaji ambao wana vyeo vya unabii Kama Nabii Tito , Hizo shule si mnaletewa walimu wachungaji wazungu wanaowaharibu wanafunzi Kama ile shule ya kanisa kule Soni.
By the way ile Hospital ya Muhimbili ilijengwa na waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…