Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

Unapokuwa na wachungaji ambao wana vyeo vya unabii Kama Nabii Tito , Hizo shule si mnaletewa walimu wachungaji wazungu wanaowaharibu wanafunzi Kama ile shule ya kanisa kule Soni.
By the way ile Hospital ya Muhimbili ilijengwa na waislamu
Ukristo ni Ukatoliki na Ulutheri hapa duniani hatuna manabii tuna Wachungaji na Maaskofu. Kuhusu Muhimbili haikujengwa na waislamu. Unasema hivyo kisa kuna wodi inaitwa Sewa Hajj ? Waarabu ,mwisho wao wa kuwasaidia watanzania ni msikiti na maji ya kutawadhia basi. Hakuna zaidi ya hapo.
1725000648002.png
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!

View: https://x.com/ajsteelshow/status/1829187261428314515
 
Ukristo ni Ukatoliki na Ulutheri hapa duniani hatuna manabii tuna Wachungaji na Maaskofu. Kuhusu Muhimbili haikujengwa na waislamu. Unasema hivyo kisa kuna wodi inaitwa Sewa Hajj ? Waarabu ,mwisho wao wa kuwasaidia watanzania ni msikiti na maji ya kutawadhia basi. Hakuna zaidi ya hapo.
View attachment 3082561

Umeingia google na ku copy

Ikiwa upo Dar es Salaam nenda munhimbili kaulize historia ya hospitali nani alijenga zaidi ingia hapa JF utasoma zaidi

Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili
 
..., wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu...
Kwa hiyo hao wachungaji wanaowapiga nao ni wazungu?
 
Tanzania​

St Michael's Catholic Boarding School, Soni, Tanzania

Kit Cunningham, a prominent United Kingdom member of the Rosminian order, and three other priests, were exposed as paedophiles after Cunningham's death.

While at Soni, Cunningham committed sexual abuse that made the school, according to one pupil, "a loveless, violent and sad hellhole".

Other pupils recall being photographed naked, hauled out of bed at night to have their genitals fondled, and other sexual abuse

wikipedia
 
Siwezi kupuuza mchango wa wazungu kwa maendeleo hata madogo tuliyo nayo Waafrika, hata kama kuna mambo mengine madogo madogo mabaya waliyofanya. Elimu tulizokuwa nazo za kiafrika zisingewezesha ujenzi wa reli ya kati, shule na vituo vya afya. Kwa waafrika bila kutawaliwa tungeishi hadi leo kama manyani. Liberia ilipata uhuru mapema kabisa karne ya 19, yaani mwaka 1847 lakini hakuna kilichofanywa na waafrika hao wakiwa huru zaidi ya kupigana
 
Kwa hiyo hao wachungaji wanaowapiga nao ni wazungu?
Sio wazungu lkn wanatumia method zilezile za kunyang'anya watu walichonacho tena kwa uroho kwelikweli. Kila mtu analiona hili wala sio rocket science
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
Hii hoja ni ya upande mmoja. Umezengumzia Ukristu na wakoloni, tungefurahi kusikia na dini nyingine hali yake ilivyo. Kuna dini zilikuja na majahazi kazi yao kubwa ikiwa ni biashara ya utumwa. Hata mafundisho yake yanatia shaka, yani unaahidiwa pepo ya mabikra 72 na mito ya pombe. Nadhani kuna haja ya kuchunguza vizuri hizi dini.
 
Umeingia google na ku copy

Ikiwa upo Dar es Salaam nenda munhimbili kaulize historia ya hospitali nani alijenga zaidi ingia hapa JF utasoma zaidi

Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili
Kwa hiyo Sewa Haji kajenga Muhimbili nzima ? Waarabu ndio wanaoendesha Muhimbili ? We Amka bwana umelala usingizi. Nenda KCMC pale moshi imejengwa na wazungu 100% na inaendeshwa na wazungu mpaka kesho. Kipindi cha Covid kulikuwa na mtambo wa kuzalisha oxygen. Chuo cha SAUT kinaendeshwa na serikali ? Narudia kwa mara ya sita Mwarabu msaada wake mkubwa kwa Afrika ni msikiti na kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia.
 
Kwani France hiyo ni Dini! wewe jinga kweli. Wazungu wengi ni liberals; hata huyo Rais wa Ufaransa Macron ni mliberali, ambao huwa hawapatani na Ukiristo. Ndiyo maana hata ufunguzi wa mashindano ya Olympic kulikuwa na show iliyomdhalilisha Yesu mpaka kanisa likaja juu
 
Hayo utayajuwa wewe na Popo wako mzungu?
 
Wewe jinga la kiislamist halijui kuwa western democracy inatenganisha serikali na dini! Wakati kwenu nyinyi waabudu wa Shetani Allah Quran ndiyo Constitution ya nchi!!
Wametenganisha?? kumbe msumali umekuingia vizuri sana .Hao Si ndio wanaokuandikia Biblia na kukuchagulia wachungaji na kanisa
 
Kwa hiyo Sewa Haji kajenga Muhimbili nzima ? Waarabu ndio wanaoendesha Muhimbili ? We Amka bwana umelala usingizi. Nenda KCMC pale moshi imejengwa na wazungu 100% na inaendeshwa na wazungu mpaka kesho. Kipindi cha Covid kulikuwa na mtambo wa kuzalisha oxygen. Chuo cha SAUT kinaendeshwa na serikali ? Narudia kwa mara ya sita Mwarabu msaada wake mkubwa kwa Afrika ni msikiti na kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia.
Sidhani Kama hata ulisoma kilichoandikwa pamoja na comments. Hiyo hospitali yako kulikuwa na dental mobile hospitals huku Zanzibar na Pemba. Nyerere alikuja kuxichukuwa akazileta huko Muhimbili.
 
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite.

Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara ikiwemo Tanganyika kwenye karne ya 15 chini ya wamisionari waliokuwa wanakuja kututawala, kututumikisha na kutuibia mali zetu ikiwa ni njia nzuri ya kutubadilisha kisiasa, kifikra na kitamaduni( wakati wa ukuaji wa himaya ya kirumi), kuenezwa ktk njia zote zilizokuwa zinafanya biashara pamoja na za watumwa.

Machifu na viongozi wetu walikumbatia ukristo kwa sababu ya kujenga urafiki na wazungu au kwa nguvu lakini lengo la wazungu likiwa ni kutubadilisha tuwe na imani kama yao ili tutawaliwe kirahisi kifikra na kiuchumi, biblia wakiishikilia mkono mmoja lakini bunduki mkono mwingine ukifanya masihara nao aliyefanya masihara na hao watakatifu, basi jua kwako imeenda!

Ambacho hakikubadilika ktk ukristo wa leo ni kutawala na upigaji. Mchungaji yuko juu ya kila mtu na hata juu ya familia za watu. Wakiamua wachungaji baba mwenye familia jua kwako imeenda Utakalolisema kama ushauri kwa mkeo atakuchenjia ndani mpaka utakoma hata kama ukiuliza mbona hela zote za familia unapeleka kanisani. Zitapelekwa, mchungaji ataambiwa unakatalia hela na hakuna kuongea na wewe wiki nzima.

Mahubiri mengine ya kitapeli na yanajulikana kabisa huu ni utapeli lakini inahalalishwa na watu na serikali inakaa kimya kabisa watu wakiibiwa, na hata kuingilia maamuzi ya kiafya katika familia za watu kwa maombi yasiyokuwa na miguu wala mikono. Kwa utawala huu walionao leo wananunuliwa magari ya kifahari, wanalishwa mahotelini kifahari, watoto wao wanasomeshwa shule za maana na wengine wanajengewa nyumba za kifalme kutoka kwa waumini wao ambao wengi hata mlo mmoja kwa siku ni shida.

Ukristo kama ilivyokuwa nia ya wakoloni kuja kutupiga na kuzineemesha kiutajiri nchi za ulaya, leo wakati nchi hizo zimeshakuwa matajiri, wachungaji na viongozi wa kidini wamekuwa ni wapigaji wa wananchi tena bila huruma au aibu. Baadae tutakuja kuona wakitosheka kwa kula na kusaza wachungaji ndio watakuwa maraisi wa nchi zetu baada ya mafisadi kuchoka maana ndio wenye hela.

Kwa hiyo mtu asinidanganye kunisomea kifungu hiki cha neno ktk bibilia kinasema hili au lile. Nawajua.
Mnapambania kutukuza utamaduni wa watu weupe niwaamini ili mnitawale kiuchumi na kifikra.

Na mara nyingi hata serikali nyingi za Africa zunajua tunapigwa, ila wanazisaidia serikali nyingi "KUTUNZA AMANI, ILI MAFISADI NAO WAENDELEE KULA KWA AMANI" na sio kwa maslahi ya falimia yoyote. Kama unabisha nitafutie kanisa lolote lili kubwa kama utaona mzee wa kanisa ni muuza mchicha. Cheo chako kanisani kitategemea kitita cha hela kilichoko mfukoni mwako na ndiye utakayekuwa na sauti kanisani.

Wanaitwa mihimili ya kanisa. Wachina wanawapa watoto wao majina ya kichina, wahindi ya kihindi, wajapani ya kijapani lakini usipompa mtoto wako jina la kikoloni basi utaitwa mpagani, neno ambalo nia yake ni kudhalilisha imani za wazazi wetu ili upuuzi wao uendelee kushika mizizi wa kutuibia fikra na mali zetu. Walitutenganisha na wazazi kuwapeleka utumwani bila kujali familia zao zitaishije huko nyuma na leo wachungaji wengine ndio vinara wa kuvuruga familia za watu. Yaleyale. Mvimbishie kichwa mchungaji uone! Kudadeki. Atakuhibiri mpaka masiko yako yang'oke kichwani. Kisa umtii tu. Simtii yoyote!

Kwa leo Ukristo ni kitu kinachosikitisha kukiona!
kumbuka si kila anayejiita mkiristo ni mkristo kweli, wengi ni matapeli sana. na wengi hatutumii akili zetu kufikiria tunatumia za wachungaji.
Biblia inasema njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba , na waionao ni wachache. maana yake ni kwamba tunahitaji umakini kuijua njia sahihi. imagine mtu anaibuka mtaani kwako anaazisha dhehebu jipya na unamshobokea kisa miujiza
Dhehebu langu la kisabato linasisitiza kutoamini kitu ambacho hakiko kwenye biblia, hivyo kila mtu asome biblia aelewe, hata mchungaji akiongea kitu hakiko sawa unamkatalia

Mathayo 7:3 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
 
Back
Top Bottom