Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Wewe niambie Mungu gani ambaye anataka Uswali kwa Kiarabu tu na anakupangia uvae mavazi ya uarabuni tu ? Jiulize ndugu yangu kwa nini mnalazimishwa kuhiji Uarabuni ? Mbona mpaka kesho mnaswali kwa kiarabu misikitini unadhani ni jambo la kawaida ? Unajua biblia ya kwanza iiandikwa katika lugha gani ? Amka ndugu yangu Naomba nikuulize kati ya Vatican na Saudia Arabia nani ana hela ?Maana Vatican ni nchi dogo sana kulinganisha na Saudi arabia. Lakini Wameanzisha taasisi nyingi sana kuliko hao unaowaamini. Na kama dini yenu ipo vizuri kwa nini Marekani ana kambi zaidi tano Saudia. Cha kuongezea naomba ujiulize Saudi Arabia kwa nini hawasaidiii wa-palestina kuikomboa ardhi yao ? Waarabu wanabaguana wao kwa wao kwa nini wakujali wewe Mwafrika ?Sawa, Sasa jibu swali
Unasema unasali kwa kiswahili hiyo sala ni sala gani na unamfuata nani ??? Nani alikuambia usali kwa kiswahili au ni huyo mzungu wa Roma ??
Kwani Mungu ni nani ??? Huyo mungu wako wapi Alikuambia usali kwa kiswahili ?
Naona umeleta Hoja ya biashara haramu naomba unitajie wakristo kumi tu waliokamatwa na tuhuma za dawa za kulevya Uwanja wa ndege.Ukinitajia nakubali kushindwa na kuacha ubishani. Amka ndugu yangu bado mmelala. Hata Rais tuliyenaye anaonesha jinsi gani mmelala. Hivi unajua Heroin inatoka wapi ? Unajua Asili ya matajiri wa Tanga, Unguja , Mombasa inatoka katika biashara gani ?
Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya Arobaini na mbili : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia." Bado nipo na wewe nasubiri majibu Sheikh wangu.