Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Choo cha Sink safi kabisa mnakiona, naona mnaenda kujisaidia Machakani.
 
Safi sana! Huyo ndio rais sasa!

Siyo hawa pimbi wa sasa hivi wanaoshauriwa na kina Makamba na Nape
Ambae hashauriwi yuko wapi sasa? Maana hata kwenye Corona alikataa ushauri wa wataalamu akaleta za kujua eti papai lina Corona na nyie misukule mkashangilia, Corona ikapita naye sasa yuke peke yake kaburi nyie misukule mko huku mnateseka na maji na umeme
 
Hakuna wa kumsimanga, ila ni matendo yake ndiyo yanazungumziwa hapa, kama kusema matendo ya mtu aliyekuwa Rais ni kumsimanga basi acha asimangwe tu
 
Yaani ufanye upumbavu na uovu then utegemee watu wakae kimya tu kama misukule? Labda nchi nzima ingekuwa na watu kama wew au Crimea
 
Ishi na watu vizuri uone kama ukiondoka watakusema vibaya, kwani Mkapa au Nyerere hawajawahi kutawala nchi hii? Au wao hawakuwa na makosa, lakini hawasemwi kwasababu makosa yao ni kidogo kuliko mema yao, njoo kwa yule alikuwa anajiita kichaa sasa
 
Magufuli alikuwa janga la Taifa!
 
Acheni kumsingizia maana serikali hii haina inachofanya zaidi ya kujifanya imeelemeea na yaliyopita
 
Hivi hakuna namna yoyote ya Kumburuza Mahakamani huyu mtu hata kama kafa ili iwe fundisho kwa wakurupukaji wengine ?
 
Awamu ya sita imekuwa ya hovyo sana.kila tatizo likitokea inamlaumu magufuli hata kama mikataba in ya kipumbavu.Toka ianze hii awamu ni kulaumu tu magufuli na watamaliza muda wao hawajafanya chochote cha maana zaidi ya kulaumu tu mzalendo magufuli
 
Sasa alikurupuka au hao walioingia mikataba ndio walikurupuka kwa sababu ya tamaa na wizi wao ndio mwisho wake huo..

Alichofanya Magu ni kusimamisha uwizi huo na hiyo fine unayoona sijui ya mabillioni ndio gharama za kusimamisha ujambazi huo usiendelee..

Magu aliamua ni bora uumie sasa bado mapema kuliko kwenda kuumia mbeleni pakubwaa..
 
Uzalishaji gani ungefanya wakati huna umeme wa kutosha wala usafirishaji wa haraka wa bidhaa zako?
 
Lazima tuzungumzie historia na tuifundishe shuleni ili watu wajifunze
 
Hawa unawazungumzia akina Nani? Mimi sio sehemu ya utawala wa Sasa na huwa naukosoa pia
Viongozi wetu waliopo na waliopita lazima wajadiliwe, kwa mazuri au mabaya, mtake msitake
 
Magufuli alikuwa sehemu ya serikali tangu mwaka 1995, ni mmoja wa walioingia mkataba
 
Mimi naona kumuondoa yule dhalimu na one step kuelekea kuitoa CCM, ila yule alikuwa balaa sana mpaka Mungu akaona bora aanza kumwondoa Jiwe kabla ya CCM
...mungu wako ni mjinga sana, ccm itawatesa miaka mingi sana
 
Harafu Kuna kenge maji,punda wa dobi,hutaka tumuone Jiwe kama mzalendo,
 

Attachments

  • Screenshot_20221201-145610_1.jpg
    47.2 KB · Views: 2
Maji na umeme kututesa ni matokeo ya hao mapimbi wako kushauriwa na kina Makamba na Nape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…