Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Mtu anae ikosoa ccm Yuko sahii ila anaemkosoa magufuri ni chuki 2 sawa ametia hasara ila ila ukilinganisha na walio tangulia na alie fatia yeye ni Bora mara 100
 
Kat ya wewe na yeye nani mwenda wazimu unawajua worldometer wamehesabu adi madini ardhini akati mengine hayajahesabiwa nchi zote znahesabu Mali zake sema Kwa akili yako unazani ni kama sensa wanavohesabu huwazi kwanini Kuna chuo Cha takwimu? Kuna mbinu za kuhesabu ko wewe APo ndo mjinga sasa
 
hayajahesabiwa nchi zote znahesabu Mali zake sema Kwa akili yako
Hebu kwanza tujikite kwenye Samaki,samaki ni Viumbe hai wanaohamahama kwenye open ocean kama Sardines unawahesabuje ndugu huenda mimi ndio chizi.
 
Ndio maana nkasema Kuna chuo Cha takwimu hawahesa
Hebu kwanza tujikite kwenye Samaki,samaki ni Viumbe hai wanaohamahama kwenye open ocean kama Sardines unawahesabuje ndugu huenda mimi ndio chizi.
hawahesabu mmoja baada ya mwingine ila hua yanafanyika makadilio maalum nchi zote Duniani zinaizo takwimu kama worldometer wanajua idadi ya watu wote wanaozaliwa na kufa kila sekunde na ndio juzi wakafanya Dunia iseme tupo 8B unazani wanahexabu vipi
 
Usinihamishie kwenye Watu kuna Sensa na records turudi kwenye samaki wanaohama na kuna aina nyingi za Samaki Baharini wakiwemo deep ocean creatures kuna Kasa kuna Mabilioni ya Planctons hiyo idadi ameitumia njia gani kuipata?
 
Ishi na watu vizuri uone kama ukiondoka watakusema vibaya, kwani Mkapa au Nyerere hawajawahi kutawala nchi hii? Au wao hawakuwa na makosa, lakini hawasemwi kwasababu makosa yao ni kidogo kuliko mema yao, njoo kwa yule alikuwa anajiita kichaa sasa
Hakuna aliye mkamilifu lakini kuna uovu unavuka mipaka ya ubinadamu, unaingia kwenye ushetani. Mtu

1) kuwaua wenzake, hatuwezi kusema ni mapungufu ya kibinadamu, huo ni ushetani

2) kuwateka na kuwapoteza binadamu wenzake, huo ni ushetani

3) kuwabambikia kesi wenzake za uhujumu uchumi, na kisha kuwapora pesa zao, na kuwatesa kila wanaohoji uovu wako, huo ni uharamia.

Matendo kama haya, yanamwondoa mtu kuwa na sifa za binadamu. Unakuwa shetani.

Tulikuwa na Rais aliyekosa sifa za ubinadamu, achilia mbali uongozi.
 
Sijui mwaka huu watamtuma nani kwenda kuikomboa
 
Bunge fake
 
Wewe tafuta hela acha kulia lia hapa! Lini serkali inagawa hela! Sema tu serkali ya bibi yenu haijui inachofanya!
Umesahau Nduli Jiwe alikuwa natembea na maburunguti ya mipesa za wizi nakugawanya kwa makada nani anaweza kusahau
 
Waliosaini hio Mikataba ya Ajabu na wanaondelea Kusaini hio Mikataba wao lawama zao ziende wapi au tutawapa lini hizo Lawama ?!!
 
Wewe unamsongo wa mawazo sio bure.
Kama hukuwa mwizi awamu ya tano basi wewe nicheti feki.
Hiyo comment yako inaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwani, hunatofauti na mlevi,punguza hasira akili zitakurudia taratibu.
 
Msitufanye wajinga, kwanza huu uzi wa nini wakati uzi wenyewe upo? Umeshindwa kukomenti kule? Same project against one dead person!
 
Mwambie mamako kufeli kwake asijifiche kwenye mgongo wa jpm!

Mbona Dowans sijui Richmond mmewalipa?

Mataahira nyie
We nae punguwani kabisa. Ndiyo umeandika maujinga gani haya?

Aliyesabasha ndege ikamatwe ni jpm wako aliyekurupuka kuvunja mkataba 2016. Huu ndiyo ukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…