Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
Kila taarifa inafanyiwa kazi, iwe kweli au uwongo. ukawa2020 utasaidia kuthibitisha
 
Watakaoandamana ni red brigade tu??
 
Wewe Mbowe ndio kawambia kuwa kuna kofia ya kuzuia mabomu ya machozi na virungu? Hahahahaha
 
Ukiwa na wanachama wa aina hii una uhakika utatawala mpaka utakaporudi kwa Muumba.
 
T.shirt & kofia mbona ni vitu vya kawaida sana . kama vikoba wanachapisha itakuwA chama cha siasa???
 
Amna kitu mmekosa sera mna tapa tapa tu ukuta utawaangukia wenyewe
 
Tutakuwa wengi sana hapo kwenye mkesha tuombeane afya njema
 
Kwani nyinyi kofia zenu na tshirts huwa mnampatia nani na lini nyinyi mliwahi kuhoji mtemgenezaji wa hayo mavazi yenu? Mbona unaongea kama upo shimoni?
 
Hizo taarifa bob hapendi ujue
Mkuu huwa najiuliza mengi sana kuhusiana na wewe kumwita jamaa Bob.Maana bob ni kifupi cha jina la yule wa sauzi rodeshia....sasa sijui umekompea karakta zikamechi ndo maana ukaamua kutumia jina moja kwa wote??? bado najiuliza.
 
Unanikumbusha enzi za 'Kinjekitile Ngware'...! Kwamba bunduki zitatoa maji badala ya risasi...!
-----------
Vijana wa dot com hata kama utawapa 'kilevi' gani hawawezi kukubali 'uongo' huu.
Jiandaeni kuyapokea hayo maandamano maana hamna jinsi ya kuyazuia
 
Yale yale ya Kinjeketile na wapiganaji wake wa majimaji...!
...yetu macho, masikio, na pesa za kununua magazeti kusoma yatakayokuwa yamejiri sept 01...
Wewe endelea kukata vitunguu na kukuna nazi wanaume wataweza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…