Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Jiandaeni kuyapokea hayo maandamano maana hamna jinsi ya kuyazuia
Tangazo hili limevunja morali ya wale waliokuwa wamejiandaa....! Huwezi kudanganya vijana na watu wazima kwa mbinu za 'kienyeji' hivi kama alizotumia Kinjekitile...!!
 
Tangazo hili limevunja morali ya wale waliokuwa wamejiandaa....! Huwezi kudanganya vijana na watu wazima kwa mbinu za 'kienyeji' hivi kama alizotumia Kinjekitile...!!
Endeleeni kujidanganganya na tv yenu ya kuanza kutuonyesha vita za nchi jirani lkn mnajichosha tu kwa sasa ni mbele kwa mbele
 
Ubongo wako na wa kibajaj hautofautiani
 
Hahahahahaaaaaaaa! Njooni na hizo t shirt zenu na kofia muone kama zitaweza kuzuia mvuke wa mabomu
 
mtakiua kile kijamaa..
hapo pressure pressure..
kina tamani kile mtu.
 
Isije ikawa ndiyo mambo yaleyale ya Majimaji, ambapo bingwa Kinjekitile alipowaambia makamanda na wapiganaji wake kwamba risasi za mzungu zitageuka kuwa maji. Kilichotokea mnakifahamu kupitia historia.
 
unaandika matapishi tu.


swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…