πππππΏππΏMsiba mkubwa sana huuπ·Joka litalala na halitaamka tena π π
Kizazi kinapitia mengi sana hiki, teknolojia imechangia kuwapa ugumu kwenye mahusiano ila imerahisisha kudinyana.Ugumu ni kumpata yule ambaye unampenda/anakupenda au mwenye vigezo unatafuta.
...hawapo tena walimalizika enzi zetu.....pole kwa kizazi hiki.
Lini ulioa mpwa?Nilikuwa najua ndoa ni raha sana nimekua nimejua ndoa ni utapeli nakubaliana na huo ukweli
Hakuna mkamilifu πNimejifunza kuwa kila mwanamke ana kasoro pia maisha yanahitaji uvumilivu na upole
Uhalisia ukoje huko kwa ground?Mwanaume humfanya mwanamke awe soft and wet.
Mwanamke humfanya mwanaume awe hard and wet.
Ila Mimi Huwa ni mbovu sana kurudia kumwelewesha alieandika mada mwenyewe rudia kusoma au nimemix madesa wewe site uliyesema PESA si Kila kitu humo KWENYE thread tafuta ukikosa acha tusinge mbele .Mimi sijakutana na hicho ulichokisema, nafikiri hiyo ni experience yako, nitaiheshimu na kuishia hapo.
Wapi nimesema "pesa siyo kila kitu"? hebu karudie kusoma nilichokiandika.
Tuishi humo ππ½Ila Mimi Huwa ni mbovu sana
Dahh πNguvu za kiume zinapungua!
Yes twenzetuTuishi humo ππ½
DahhNguvu za kiume zinapungua!
Yesu ni jibuHapo tu ndio ninapokupendea dada akeπ
Kwakweli sikufichi, mtu wa kuniongezea ugumu kwenye maisha yangu sitaki kabisa anisogelee! Magumu niliyonayo yananitosha sanaπ€π½
πππHoja ya maana hii....
Poa nitakucheki!basi aunty nitafute leo tuzungumze πβ€οΈ
Asanteπππ
Poa nitakucheki!
Dahh πHata usipo kata tamaaa, haimaanishi utafanikiwa, unaweza usikate tamaa na bado ukafeli tu haijalishi muda kiasi gani.!!
πππUpwiru is not an issue...kupata mwanamke ni kitu rahisi sana kuliko nilivyofikiri awali.
π―π―ππMaisha yangu ni wajibu wangu kwa asilimia mia moja na ninawajibika katika yote yanayonihusu na sina sababu ya kumlaumu yeyote.
Dahh ππUkiona ndoto zako hazijatimia, rudi ukalale tena
ππππ€Έπ€ΈNikishakukataza kuniquote usenge!
πNyeto inasingiziwa bure!
Ukweli mchungu sana huu βοΈ.