Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Labda ndotoni akiwa amelala πŸ˜‚
Maana siku hizi nasikia kijana akishakupigia nyeto anasema tayari keshakukula πŸ˜†πŸ˜†
Eenh! Hivi ndio wamefikia huko🫒

Hivi ni kitu gani kinawafanya waone wanatuweza sana? Maana sikuhizi kijana akiokota binti sinza anakuja kujitapa humu kuwa wanawake wote blah blah blah πŸ˜’
 
Japo kuna watu wanasema mzazi ni mungu wa pili, sahizi mimi nina watoto na uungu wangu siuoni. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna uungu kabisa, mimi nina watoto na wananichallenge, najifunza mengi kutoka kwao pia.

Sina zile habari za mzazi hakosei, kuna wakati naona kabisa nilipitiwa na nawaomba msamaha. Hawa Gen Z na Gen Alpha kukuona Mungu mtu, utasubiri sana πŸ˜†
 
Watoto wa skuhizi unaweza ukamtishia "nakulaani", alaf anajibu "sawa nilaani kama unaweza", mzazi unabaki kushangaa mawingu tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anakujibu kwa upole kabisa, "kama umeamua kunilaani mimi ni nani nikuzuie mama πŸ˜‚" unabaki umetoa macho tu huamini ulichosikia!

Mtoto wangu wa mwisho ni teenager sasa hivi, hakuna rangi bado sijaona, naelewa kwanini wazazi wetu walikua wanapeleka watoto wa sekondari boarding mikoa ya mbali, wanawaacha huko πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚
 
Na kuna ule umri hupatani na mamaπŸ˜†
 
Kudos
 
Kivipi? hebu tuelezee kidogo
Sijawahi kukataliwa na mwanamke yeyote. Siri ni maneno matamu na kumsifia mwanamke. Na sikuhizi wanawake wanashindana na wanaume. Jumapili iliyopita nilikutana na binti nilisoma nae enzi hizo. Katika kupiga story akaniomba nimpeleke kwao. Tukaishia kumbatona ndani ya gari . Baada ya kumaliza ananiambia anaolewa mwezi wa nne na anaomba nimchangie send-off. Sikushangaa maana ndio hali ilivyo. Ukiukubali huu ukweli itakusaidia sana katika maisha ya ndoa.
 
Huo muda natoa wapi my dear?
Kwamba hauna muda wa kuongeza magumu kwa wengine.
πŸ‘‡πŸ½
So, hujawahi kwenda kinyume na makubaliano na mtu? kwamba ww unakeep all of your promises.

So, hujawahi cause trouble kwa mtu?
So, hujawahi danganya mtu on regular bases?
So, hujawahi kumkera mtu persistently beyond their level of tolerance?

πŸ‘†πŸ½ hizo ni baadhi ya namna za kuongeza magumu kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…