Kwahiyo muisraeli anamchukia mpalestina sababu ya ardhi na sio sababu mpalestina ni mwarabu??Chanzo kikuu cha chuki ni kugombania ardhi
Muisraeli anamchukia mpalestina au hamchukii??Elewa neno "Kugombania ardhi"
Ushawahi kufika israel?Maziwa na asali vipatikane Tandahimba kwa kina Harmonize, vishindwe kupatikana huko Israel ambapo hata kiuchumi wametuzidi
Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo
Kwenye bandiko lako umesema mpalestina anamchukia muisraeli kwa sababu muisraeli sio mwarabuWanachukiana kisa ardhi.... Elewana neno "kugombania Ardhi"
Ibrahim hawez kuwa muisrael kwamaana israel ilikuja baada ya isaka..
Kwa sababu chimbuko la uislamu linaanzia kwake
Mama yake alikuwa muarabu
Mwarabu wa nchi gani mkuu iweke vzur huenda ukawa na kitu[emoji101]Mama yake alikuwa muarabu
Baba alkuwa mwarabu pia coz Iraq ni warabu,pia ifahamike Yakobo (Israel) ni mjukuu wa Ibrahim[emoji120]Lakini kwa waarabu wanamwita baba wa waarabu kwa sababu mama yake alikuwa muarabu
Mama yake Mohamad alikuwa muarabu... Wa huko saudia ArabiaMwarabu wa nchi gani mkuu iweke vzur huenda ukawa na kitu[emoji101]
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Hapo kachanganya pia angetuambia Hajilah alikuwa mwarabu wa nchi gani pia atuambie Ibrahim alikuwa nani kabla ya wana wa Yakobo (Israel)[emoji120]Mada yake iko sahihi isipokuwa tu aliposema Ibrahim alikuwa Muisrael
mashehe wanasemaga ishmael ndio alichinjwa, mohamed alijitahidi sana kubadilisha Torah na injili, lakini alishindwa. kwenye Tourati na kwenye injili, Isaka ndio alikaribia kuchinjwa. pia kwenye vitabu hivyo ndiko tunapata hata mipaka ya ardhi Mungu aliwapa waisrael na kuna ushahidi hadi leo. sasa Kuran ilikuja kujaribu kubadilisha kila kitu in their favour wakashindwa, tangu lini mtoto wa kamba akampenda mtoto wa kwenye ndoa ambaye amepata urithi wote mnono yeye wa kambo akaambulia falme 12 tu? yaani mwenzako (isaka) amepewa urithi wote, hakuna kilichobaki, Ibrahim akauliza sasa huyu mtoto wa kambo mbona hujampa, Mungu akasema huyu atakuwa na uzao mkubwa, nitamfanya kuwa na falme 12. basi, ila mali (ardhi) amenyimwa. uhasama mkubwa ulianzia hapo, na kizazi chote cha ismail kikawa adui kwa kizazi cha kiyahudi (watoto wa yakobo ambaye ndiye israel mtoto wa Isaka mtoto wa kwenye ndoa wa Ibrahim).Naomba kufahamu aliyekaribia kuchinjwa na Ibrahim ili kumtoa sadaka ni nani kati ya hao wawili?
Mara kadhaa nimesikia Masheikh wakisema katika ile sikukuu ya kuchinja kwamba Ismail alinusurika kuchinjwa kwaajili ya sadaka ya baba yake, wakristo wanasema Ismail aliondoka Israel kwenda kwao na Mama yake Hajir akiwa mdogo sana ikimaanisha Ibrahim hakuwa na huyo mtoto wakati akienda kutoa sadaka ya kuchinja. Je ukweli ni upi?
Swal zur[emoji16][emoji2357][emoji120]Ww unaweza kuwa na Baba kabla ya kuwa na babu?