Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Chanzo kikuu cha chuki ni kugombania ardhi
Kwahiyo muisraeli anamchukia mpalestina sababu ya ardhi na sio sababu mpalestina ni mwarabu??

Lakini mpalestina anamchukia muisraeli sababu muisraeli si mwarabu😀😀😀
 
Kwahiyo muisraeli anamchukia mpalestina sababu ya ardhi na sio sababu mpalestina ni mwarabu??

Lakini mpalestina anamchukia muisraeli sababu muisraeli si mwarabu😀😀😀
Elewa neno "Kugombania ardhi"
 
Naomba kuuliza,israel kuna maziwa na Asali?
Maziwa na asali vipatikane Tandahimba kwa kina Harmonize, vishindwe kupatikana huko Israel ambapo hata kiuchumi wametuzidi
 
Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo

Namna umeandika hapa ni kama unataka kumaanisha Yesu Kristo ni wa Wayahudi pekee...
 
Wanachukiana kisa ardhi.... Elewana neno "kugombania Ardhi"
Kwenye bandiko lako umesema mpalestina anamchukia muisraeli kwa sababu muisraeli sio mwarabu

Au haukusema hivo??

Ndio maana nimekuuliza,je yeye muisraeli hamchukii mpalestina??
 
IBRAHIM HAKUWA MYAHUDI.
Wayahudi baba yao ni YAKOBO
mtoto wa isihaka.
 
Kwa sababu chimbuko la uislamu linaanzia kwake

Kaka nenda kachimbe chimbe tena utagundua pia waarabu chimbuko lao ismael waarabu walikuwepo kabla ya ismael...

Misrinya zaman haikuwa ya waraabu... mafarao wa misri hawakuwa waarabu..

Rudi kasome Biblical history na pia soma historia za jamii za zaman utaona kuwa misri haikuwa eneo la waraanu walikupo wana enwo
Lao.. ila tawala zilizokuwa kubwa zaman ni wamisir na wa persia ambao ndo wa iran..

Angalia ilikokuqa inaishi jamii ya mtume mohamad utaona walikuwa hawaingilian hata kitamaduni na watu wa misri
 
Nilichogundua ni kwamba haujui kitu. Mada yako ina makosa mengi sana. Hujui unaloelezea
 
Mama yake alikuwa muarabu

Mama wa Ismael hakuwa
Mwaarabu soma Historia waarabu walikuwa sehemu Tofaut na Misri

Kumbuka israel walikuwa utumwan misri ya firauni yaan farao.. na sio waarabu
Waarabu wameingia misri baadae sana baada ya tawala za farao kuanguka

Roma au warumi wamwchangia tawala nyingi kuanguka na baada ya wao kuanguka makolon yao yakawa shqmba la bibi mqenyw nguvu anaingia kutawala..
 
Naomba kufahamu aliyekaribia kuchinjwa na Ibrahim ili kumtoa sadaka ni nani kati ya hao wawili?
Mara kadhaa nimesikia Masheikh wakisema katika ile sikukuu ya kuchinja kwamba Ismail alinusurika kuchinjwa kwaajili ya sadaka ya baba yake, wakristo wanasema Ismail aliondoka Israel kwenda kwao na Mama yake Hajir akiwa mdogo sana ikimaanisha Ibrahim hakuwa na huyo mtoto wakati akienda kutoa sadaka ya kuchinja. Je ukweli ni upi?
mashehe wanasemaga ishmael ndio alichinjwa, mohamed alijitahidi sana kubadilisha Torah na injili, lakini alishindwa. kwenye Tourati na kwenye injili, Isaka ndio alikaribia kuchinjwa. pia kwenye vitabu hivyo ndiko tunapata hata mipaka ya ardhi Mungu aliwapa waisrael na kuna ushahidi hadi leo. sasa Kuran ilikuja kujaribu kubadilisha kila kitu in their favour wakashindwa, tangu lini mtoto wa kamba akampenda mtoto wa kwenye ndoa ambaye amepata urithi wote mnono yeye wa kambo akaambulia falme 12 tu? yaani mwenzako (isaka) amepewa urithi wote, hakuna kilichobaki, Ibrahim akauliza sasa huyu mtoto wa kambo mbona hujampa, Mungu akasema huyu atakuwa na uzao mkubwa, nitamfanya kuwa na falme 12. basi, ila mali (ardhi) amenyimwa. uhasama mkubwa ulianzia hapo, na kizazi chote cha ismail kikawa adui kwa kizazi cha kiyahudi (watoto wa yakobo ambaye ndiye israel mtoto wa Isaka mtoto wa kwenye ndoa wa Ibrahim).

ushahidi kwamba kuran ilikuwa imeletwa mahsusi kubadilisha Biblia ni ushahidi kwasababu mfano, Torah ya kiyahudi iko vilevile na kwenye lugha ile ile haijawahi kubadilishwa, na kwa lugha ile ile ukilinganisha na Biblia, vinafanana. ika Kuran ilikuja miaka zaidi ya 1500 huko baada ya Yesu inajifanya kupindisha vitu vilivyohifadhiwa karne kibao.
 
Back
Top Bottom