Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Ni hivi kuna kipindi Egypt ilikuwa conquered na cushite kingdom,,cushite makao makuu yalikukua Sudan kusini karibu na ethiopia,hivyo kuna kipindi wali occupy misri yote hadi baadhi ya maeneo ya caanan,,hawa walikuwa ni weusi,
Utawala wao ulijulikana kama 29th dynast kipindi hicho ndo jina la farao lilianza kutumika kuashiria mfalme,na hawa walikuwa weusi,,
Utawala wa 29dynast ulikuwa kuangushwa na Asyrian empire,walipoteka caanan mpaka misri na hivyo wakushi wakarudishwa nyuma na kukita mizizi tena sudan,,mji wa meroe kama sijakosea
 
Hakuna nchi uliyoitwa Israel kabla ya mwaka 1948 tusijazane ujinga. Israel ni nchi mpya kuliko Tanganyika.
Hiyo ni kwa mujibu wa Umoja wa mataifa... Huo ndio ujinga unaenda ku-google kuja kunijazia hapa... Nakupa shule sasa.

Neno "Israel" lilianza kutumika kwa jina la taifa au kabila kubwa la watu wa Kiebrania katika Agano la Kale ya Biblia. Jina hili linahusishwa na hadithi ya Biblia ya Mwanzo (Genesis), ambapo inasimuliwa kuwa Yakobo (ambaye baadaye alijulikana kama Israeli) alipewa jina hilo na Mungu baada ya kuwa na mfululizo wa mapambano na malaika.

Asili ya neno Israeli lilitokea katika kitabu cha Mwanzo sura ya 32, ambapo Yakobo alipigana na malaika na akashinda. Baada ya ushindi huo, malaika huyo alimwambia Yakobo, "Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israel, maana umeshindana na Mungu na wanadamu ukashinda." (Mwanzo 32:28). Kwa hiyo, ndipo jina "Israel" lilipotumiwa kwa mara ya kwanza katika Biblia kumaanisha taifa au kabila la Waisraeli.

Ni vigumu kutoa orodha kamili ya kila mahali ambapo neno "Israel" limetajwa katika Biblia kwa sababu neno hilo linapatikana katika vitabu vingi sana vya Agano la Kale (Torati na Zaburi) na katika sehemu mbalimbali za historia ya Wayahudi. Hapa kuna baadhi ya mifano ya maeneo ambapo neno "Israel" limetajwa:

1. Kitabu cha Mwanzo (Genesis): Linatokea katika masimulizi ya maisha ya Yakobo, ambaye baadaye alijulikana kama Israeli.

2. Kitabu cha Kutoka (Exodus): Linahusiana na safari ya Waisraeli kutoka utumwani Misri chini ya uongozi wa Musa.

3. Vitabu vya Wafalme (1 na 2 Wafalme): Vinaelezea historia ya ufalme wa Israeli na Yuda.

4. Vitabu vya Manabii: Neno "Israel" linatumiwa mara kwa mara katika hotuba na unabii wa manabii kama vile Isaya, Yeremia, na Ezekieli.

5. Zaburi: Neno "Israel" linapatikana katika Zaburi nyingi, ambazo zinahusu sala na sifa kwa Mungu.

6. Agano Jipya: Ingawa Agano Jipya linazingatia zaidi maisha na mafundisho ya Yesu Kristo, neno "Israel" linatajwa katika muktadha wa kihistoria na kidini.

Hizi ni baadhi tu ya mifano, na neno "Israel" linapatikana katika sehemu nyingi zaidi za Biblia kama sehemu ya historia ya Wayahudi na taifa lao.


Wewe kwa mujibu wa Google na Umoja wa Mataifa walivyokwambia, Neno Israeli lilianza mwaka 1948, lakini neno Israel lilikuwepo hata kabla ya Yesu.
 
Huyu bwana mdogo ubongo 1 kb anang'ang'ana kubeba vitu vya 1Tb
 
Alafu Adolf hitriler sio chazo Cha kutawanyika Kwa waisrael hapo umetupiga kamba.

Chazo Cha kutawanyika Kwa waisrael na kusambaa dunian kote ikiwemo ujeruman, marekan n.k ni waroma ambao enzi hizo waroma walienda kuivamia Israel na kuaza kuwatumikisha waisrael kama watumwa na kuwatesa sana, coz waisrael ni jeuri sio kama waafrika hawakukubali wakaamua kuondoka wote na kumwachia nchi mroma, end the day mroma baada ya kukosa nguvu kazi nae akaondoka kuludi kwao so nchi ikabaki Haina mwenyew ndipo waarabu wapoenda kuivamia ardhi ya Israel kama open spaces yaani sehem isiyo na mwenyew.

So Adolf hitriler alikuwa kama chazo Cha waisrael kuludi kwao Israel baada ya kuona wakinyanyapaliwa na wajerumani utawala wa Adolf hitriler so Adolf alikuwa Ni chazo Cha waisrael kujijenga tena na sio kutawanyika, Israel mpya imeaza kujengwa 1948.
 
Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa
Alikuwa nani ?
 
Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina
Nimewaza sana.
Si kwa ubaya ila ndio ukweli.
Je huu ni umoja wa vita na vurugu?
 
Hakuna nchi uliyoitwa Israel kabla ya mwaka 1948 tusijazane ujinga. Israel ni nchi mpya kuliko Tanganyika.
Labda useme Imetambulika Umoja wa mataifa kama nchi mwaka huo 1948... Lakini tayari watu walikuwa na Nchi yao ya Israel tangu kipindi cha kabla ya Yesu
 
Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.
Umelewa au umechanganyikiwa ?
 
Jamaa hajui mengi...Israel ilianzia kwa Yakub na babu yao Ibrahim hakuwa muisrael wala muarabu..
 
Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina.
Zina uhusiano gani na mambo ya Abraham ?
 
Sio kweli bro,,asili ya Abraham ni Paran,,hivyo hata ur alihamia tu,,ndo maana alipotaka kuhama,alihama kwanza hadi kwao paran,kabla hajashuka uelekeo wa caanan,,
Jaribu kujisomea history ya cushite kingdom na utagundua kuwa hawa weusi walivamia na ku occupy misri na kwa mda mfupi walikuja kufika hadi jerusalem kabla hawajarudishwa nyuma na kama si aram kingdom basi itakuwa Asyrian empire,,
Please search jina Abdi Heba,,huyu alikuwa ni gavana wa mji wa jerusalem,akiwakilisha utawala wa Egypt kipindi cha Amarna letter,,kuna barua zake kadhaa ziko makumbusho hata ukisearch online utazikuta,
Huyu Abd ndo alikuwa mtawala wa jerusalem na kuna barua kamwandikia farao akilalamika kuhusu uvamizi wa hapiru(hebrew)ambao walikuwa wanavamia na kuteka maeneo,hivyo huyo mfalme alimwandikia barua farao akiomba usaidizi wa kijeshi kupambana nao,,

Hivyo kuanza kitajwa,imeanza kutajwa hebrew kabla ya israel,,hii iko katika makumba ya makumbusho as historic fact,,maana hadi zile barua zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…