Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.
Kwa hiyo waarabu kuichukia Israel ni kutokana na sio mwenzao ?! Aisee.

Kwa nini Nyerere mtu mweusi mwafrika aliichukia Israel ?

Unaunga mkono ushenzi wa Israel pale Palestine na kwa wapalestine ?
 
Hata Iran sio Waarabu, najua wengine mtakuwa hamlijui hili kwa undani. Miongoni mwa nchi za Kiarabu, Iran hayupo kwa sababu yeye si Mwarabu.
Nani hao wanasema Iran ni waarabu au unataka kuhararisha ujinga wako ?
 
Aiseeh! nini hiki ?!.

Umeoa ?
 
Nani hao wanasema Iran ni waarabu au unataka kuhararisha ujinga wako ?
Hapo mtaani kwenu fanya utafiti, tafuta picha ya mtu kutoka Iran alafu waonyeshe ukiwauliza huyu ni muarabu au si muarabu... Asilimia kubwa watakuambia ni muarabu... Sasa unashindwa kuelewa nini kuwa wapo wanaojua kuwa iran ni waarabu... Acha ubishi kijana
 
Kama Israel angekuwa Mwarabu, leo usingesikia vita vinavyoendelea huko. Na mara zote Israel anawaambiaga kwamba nchi zote za Uarabuni ni mali ya Israel na ndiyo maana kila anapokwenda kupiga, anachukua ardhi na kutanua nchi yake.
Wewe ni mkristo ?
 
Aiseeh! nini hiki ?!.

Umeoa ?
Sasa uelewi nini baba mmoja mama tofauti... Si Ibrahim anawatoto wawili mmoja ambae alienda kuoa uarabuni, ismail alienda kuoa uarabuni... Hivyo vizazi vyao babu yao ni Ibrahim... Sasa uelewi nini
 
Kwa hiyo wewe kwenye ukoo wako uliwapa picha ya waajemi wakasema waarabu ?
 
Iran sio waarabu ni waajemi (Persian). Ni watu intelligent zaidi ya waarabu.
 
Israel walipewa nchi ndogo sana wakae baada ya kutawanywa na Adolf Hitler, baada ya kuanza kurudi, wakaitaka nchi yao, lakini kwa bahati mbaya waliwaona Waarabu washajigawia ardhi yao. Walichokifanya ni kuanza kupigana nao.
Walipewa na nani ?
 
Iran sio waarabu ni waajemi (Persian). Ni watu intelligent zaidi ya waarabu.
Ndio namwambia huyo jamaa hapo... Ukipita mtaani wengi watakwambia iran ni waarabu... Hivyo waafrika wengi wanajua iran ni waarabu
 
Una miaka mingapi ? Na umeoa ?
 
So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.
Neno Israel limeanza kutumika kipindi gani ?
 
Sio kweli bro,,asili ya Abraham ni Paran,,hivyo hata ur alihamia tu,,ndo maana alipotaka kuhama,alihama kwanza hadi kwao paran,kabla hajashuka uelekeo wa caanan,,
Jaribu kujisomea history ya cushite kingdom na utagundua kuwa hawa weusi walivamia na ku occupy misri na kwa mda mfupi walikuja kufika hadi jerusalem kabla hawajarudishwa nyuma na kama si aram kingdom basi itakuwa Asyrian empire,,
 
Kwa hiyo wewe kwenye ukoo wako uliwapa picha ya waajemi wakasema waarabu ?
Wewe dish lako litakuwa limeyumba... Na kwambia ufanye utafiti kuuliza iran ni jamii gani hapo mtaani kwenu unaanza kuleta ujinga hapa...

Wewe si hapo juu umekataa kuwa hakuna watu wanaosema iran ni waarabu... Nami Nimekwambia watu wengi udhani iran ni waarabu basi kudhibitisha ilo fanya utafiti hapo mtaani kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…