Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Wakafanyishwa kazi. Baadaye ndipo Musa akazaliwa ndani ya ardhi ya Kiarabu. Akapewa jukumu la kuwatoa Israel kutoka hapo Misri kwenda kwao. Wakati huo ndio ambao nao Waarabu walikuwa wamejinyakulia nchi, tena walikuwa ni watu wakubwa kimuonekano.
Misri ilikuwa ardhi ya kiarabu ?
 
Musa akaanza mchakato wa kuwatoa Israel Uarabuni na kuwapelekea Israel. Waliishi Misri kwa miaka 400. Wakaondoka na kwenda Misri, na walitumia miaka 40.
Wewe ni mlokole ?
 
Wewe ni mlokole ?
 
HOW TO ESTABLISH HISTORICAL TRUTH?
7
only serious method of investigation to authenticate an ancient narrative cannot
be based on archaeology but only from an accurate chronology (based on
absolute dates) combined with historical evidence. Finkelstein says that the
geographical place-names in Biblical accounts are reliable for the 7th & 6th
centuries BCE, but not for earlier times, showing that the biblical text cannot be
regarded as a “history” of those earlier times, as a result of which the narratives
of Abraham would be myths. However, if we use a chronology based on
absolute dates (it was the purpose of my PhD dissertation), combined with
ancient witnesses as well as historical writings, we can reach historical conclusion
 
Mbona wewe ni mjinga kuliko hao. Acha kwenda kanisani kama unaona wana hadithiana habari za sungura na fisi
 
Misri ilikuwa ardhi ya kiarabu ?
Hahaaaaaaa, Muhaya unatudanganya bwana. Hao waarabu hapo Misri na nchi jirani za afrika Magharibi walikuja majuzi tu kipindi cha utawala wa Ottoman Empire.

Hariri hakuwa mwarabu, Hariri alikuw mmisri wa kale mwenye asili ya Afrika. Ngozi nyeusi mkuu. Ebu fuatilia uzi humu unaoeleza hilo ikihusisha pia ushahid toka michoro ya Mafarao kwenye Pyramid za Giza pia hao mummies wanaofukuliwa sasa wanaoonekana wakiwa na ngozi nyeusi.
 
Sasa uelewi nini baba mmoja mama tofauti... Si Ibrahim anawatoto wawili mmoja ambae alienda kuoa uarabuni, ismail alienda kuoa uarabuni... Hivyo vizazi vyao babu yao ni Ibrahim... Sasa uelewi nini
Nimekuuliza umeoa ? Sio hiki ulicho andika
 
Ndio nimekuambia kuwa kwenye ukoo wako wamesema kuwa waajemi ni waarabu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…