Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
- Thread starter
-
- #81
PAPA FRANCIS AOMBA MASAMAHANdio maana nasema hamnaga akili Tyndale kwanza ni mtu hakuwa ata na maarifa ya kutisha. Alafu King Henry VIII mwenyewe baada ya kujua tafsiri zake ni potofu aliban na kuchoma bibilia zilizotafsiriwa na tyndale. Mwisho Tyndale alikufa mikononi mwa secular authorities sio kanisa nyamaf. Hamsomi mnabeba beba ujinga. Wapotoshaji, mawakala wa master of deceiption shetani.
1 Yohana 2:2 SRUVHujaweka evidence ndugu, weka quotation ya biblia.
Vinginevyo yatakuwa ni maneno yako
Tetea hoja ,hakuna chuki yoyote
Haya siyo maneno ya Yesu ndugu (huyo ni Yohana akiwaandikia wayahudi). Kumbuka tulipo anzia.1 Yohana 2:2 SRUV
naye ndiye kafara ya upatanisho wa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.
JE WAISLAMU WANAKUBALIANA NA YESU KUFA MSALABANI?
Uislamu umekuja mwaka 600 AD ,Ni dini ya Juzi tuUkitaka kuufahamu vizuri uislamu na chimbuko lake soma Qur'an wachana na porojo za wagalatia utapotea.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kwanza Unadhani Yohana aliandika kwa kujitungia ?Haya siyo maneno ya Yesu ndugu (huyo ni Yohana akiwaandikia wayahudi). Kumbuka tulipo anzia.
Leta maneno ya Yesu tafadhali
“Chini ya mawazo na desturi za kijerumani, mateso yalitumiwa kidogo kuanzia karne ya 9 hadi karne ya 12, lakini kwa uhuikaji wa sheria ya Romani mateso yalianzishwa tena katika karne ya 12…Katika mwaka 1252 (Papa) Innocent IV aliruhusu adhabu ya mateso juu ya waasi wa kidini kwa kutumia mamlaka ya kiserikali, na mateso yakaja kuwa na mahali palipojulikana katika utaribu wa mahakama ya kiuchunguzi.” –New Catholic Encyclopedia, arts. “Inquisition”, “Auto-da-Fe’,” na “Massacre of St Bartholomew’s Day.”Ndio maana nasema hamnaga akili Tyndale kwanza ni mtu hakuwa ata na maarifa ya kutisha. Alafu King Henry VIII mwenyewe baada ya kujua tafsiri zake ni potofu aliban na kuchoma bibilia zilizotafsiriwa na tyndale. Mwisho Tyndale alikufa mikononi mwa secular authorities sio kanisa nyamaf. Hamsomi mnabeba beba ujinga. Wapotoshaji, mawakala wa master of deceiption shetani.
Hakuna Sehemu Yohana au Yeyote alikuwa anajiamdikia tuHaya siyo maneno ya Yesu ndugu (huyo ni Yohana akiwaandikia wayahudi). Kumbuka tulipo anzia.
Leta maneno ya Yesu tafadhali
Yesu aliteswa na wayahudi ndugu.Nikiangali Yesu alivyokuwa anateseka kwa WA Rumi na Wayahidi.
Kwahiyo ndugu zangu Jackwillpower na CAPO DELGADO mna hitimisha kwamba walio wacatholic na waislam wote duniani ni watu wa shetani na hivyo jehanum inawahusu?
Mnijibu tafadhali
Kumbuka #76 tuli ahidiana Yesu ndio iwe reference Yetu.Kwanza Unadhani Yohana aliandika kwa kujitungia ?
Yohana alikuwa anaandika anayoambiwa na Yesu
Siamini baadhi ya mistari ,naamini BIBLIA NZIMA
unanipangia wapi nichomoe Maandiko wapi niache?
Sawa sawa. Je catholic wanamfuata Yesu au hawamfuati? Jibu mtumishiYOHANA 14 :6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
MIMI SIWEZI KUJIBU ILA NITAMUULIZA YESU ANASEMAJE.
ANASEMA YEYE NDIO NJIA NA KWELI NA UZIMA . MTU HAENDI KWA MUNGU ILA KWA KUMFUATA YESU.
TAZAMENI NIMEKWISHA KUWAONYA.
Huu ni Ufunuo, na ule tunaoongelea ni waraka. Bila shaka una akili ya kutofautishaHakuna Sehemu Yohana au Yeyote alikuwa anajiamdikia tu
UFUNUO 1
Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu awaonyeshe watumwa wake mambo ambayo kwamba hayana budi kuwako upesi; naye akatuma kwa mkono wa malaika akamwonyesha mtumwa wake Yohana;
Yote kaandika YohanaHuu ni Ufunuo, na ule tunaoongelea ni waraka. Bila shaka una akili ya kutofautisha
Quran Tena mkuu.Ukitaka kuufahamu vizuri uislamu na chimbuko lake soma Qur'an wachana na porojo za wagalatia utapotea.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Unaiamini BIBLIA NZIMA?Huu ni Ufunuo, na ule tunaoongelea ni waraka. Bila shaka una akili ya kutofautisha
Barua/waraka ameandika kwa akili zake.Yote kaandika Yohana
Kwa hiyo kwa akili yako YOHANA alikuwa anajitungia kutoka akilini mwake?
Au unataka nibague maandiko,?