Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Unaiamini BIBLIA NZIMA?

Tuanzie hapa kwanza ...

Au wewe Ni Kama waislamu wanasema Biblia imetiwa mikono ila hawana hiyo Biblia halisi ambayo haijatiwa mikono

Ukiwaomba ushahidi wananukuu kwenye Biblia Tena
Naamini Kristo ambaye ni Neno la Mungu.
Na siyo biblia.
 
Barua/waraka ameandika kwa akili zake.
Ufunuo alifunuliwa na Kristo mwenyewe habari zinazomhusu Yesu.

Usiogope, soma upya injili baada ya hapo njoo na ushahidi
Acha uzushi na uongo,

Unataka kusema hata Paulo nyaraka zake zote kaandika kwa akili yake ?


Hebu unapoamua kujadili Biblia ,usibague Maandiko


Paulo amechangia kiasi kikubwa agano jipya vitabu karibu 20+ na zote nyaraka , Je na yeye katumia Akili zake?
 
Sawa sawa. Je catholic wanamfuata Yesu au hawamfuati? Jibu mtumishi

Tafuta amli kumi za Mungu.
Kama wanazifuata basi watakuwa wanamfuata Yesu.

Mimi siwezi kuwajibia ngoja Biblia yenyewe ijibu kama wanazifuata.
TUANZE NA HIZI TANO AMBAZO NI SAWA NA MOJA YA KUMPENDA MUNGU YA YESU.



2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kutoka 20:3 . HAWAFUATI. ( 1 )

4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Kutoka 20:4 HAWAFUATI ( 2 )

7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Kutoka 20:7

8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Kutoka 20:8

10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Kutoka 20:11

HAWAFUATI (. 3 )


KATIKA AMRI YA KWANZA YA KUMPENDA MUNGU AMRI 5 WAMEFELI AMRI 3.
 
STUKA wewe, Warumi waliohusika kushirikiana na wayahudi kumsulubisha Yesu na walipambana na mitume wa YESU Dunia nzima,

Hao hao warumi waabudu miungu ghafula wakaanzisha dini ya ukatoliki baada ya Rome empire kuanguka.

Shida wa wengi wetu, wamerithishwa dini Kutoka mababu.

Ucatolicano kamwe haijawahi kujitofautisha na Dola Hadi Leo Dunia nzima.

Toka huko ni Dini ya mnyama, waliookoka ndio Hasa True followers of Jesus.

STUKA .
 
Huyo Kristo unampata wapi kupitia kitabu gani ?

Wewe utakuwa mfuasi wa Dhehebu Moja nimesahau Jina kidogo
Kristo hapatikani vitabuni. Anakaa ndani yangu. Kumbe unaongelea Kristo anaekaa vitabuni ndio maana unapotosha ndugu.

Jipe muda kujifunza zaidi na utaacha kuhukumu wengine bila sababu
 
Hata Mtume mwenyewe hakuwa Muislam, alikuwa mpagani tu kisha akashukiwa na shetani na kumpa haya za Qur'an. Wasiojuwa watabisha ila ukweli ndiyo huu.
 
Kristo hapatikani vitabuni. Anakaa ndani yangu. Kumbe unaongelea Kristo anaekaa vitabuni ndio maana unapotosha ndugu.

Jipe muda kujifunza zaidi na utaacha kuhukumu wengine bila sababu
Yaani wewe umezijua habari za Yesu bila kusoma vitabu (Biblia)

Nyie ndio manabii wa Uongo
 
Hii sio kweli, nachofahamu waislam wanazaliana zaidi so population inavyokua na wao wanaongezeka ila sio kwamba inakua sababu wazungu wanasilimu

Then hivi vitisho vya Uislam kuimeza ulaya vimeanza tokea enzi za Ottoman mpaka akavamia Uturuki iliyokua nchi ya kikatoliki na kuisilimisha. Ila alipojaribu kuvamia makao makuu ya Ukatoliki huko Italia ndio ukawa mwisho wa Mehmet Ali maana alifariki siku Moja kabla ya uvamizi. Na tokea hapo hakuna Muislam alijaribu kuivamia Ulaya.

So as much as siwakubali hao wakatoliki ila sidhani wanaweza ruhusu Uislam uimeze ulaya. Zaidi utasikia vita zinaongezeka uarabuni Ili population ipungue
 
Hebu leta ushahidi wa Yesu kusema tufuate hizi amri.
Hapo umeandika ngonjera kisha ukaambatisha na Amri 10 za Mungu.

Kumbuka awe ni Yesu na si vinginevyo.
 
Kristo hapatikani vitabuni. Anakaa ndani yangu. Kumbe unaongelea Kristo anaekaa vitabuni ndio maana unapotosha ndugu.

Jipe muda kujifunza zaidi na utaacha kuhukumu wengine bila sababu
Yaani unakwepa Maandiko na kuyabagua kwa kichaka una Yesu moyoni

Ndio maana mnauziwa mafuta , chumvi na keki kutoka kwa matapeli Kama mwamposa maana Hamsomi Maandiko


Daniel alitambua ukiwa wa Yerusalemu Hadi tarehe ya Kufa Yesu kwa kuvisoma vitabu ,wewe Ngumbaru unadanganya watu


Dan 9:2 SUV

katika mwaka wa kwanza wa kumiliki kwake, mimi Danieli, kwa kuvisoma vitabu, nalifahamu hesabu ya miaka, ambayo neno la BWANA lilimjia Yeremia nabii, ya kuutimiza ukiwa wa Yerusalemu, yaani, miaka sabini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…