asakuta same
Honey at my age siwezi kuona aibu suala kama hilo. Mimi pamoja na ku feel ile urge ya ku poop bado sikufikia ku push. Na hapo nilianza kuumwa 2 a.m Monday nikaja kujifungua 3.35 a.m Tuesday. And I was in pain all along.
Karucee
Umenikumbusha mbali nilipata maumivu ya aina hii kwa mwanangu wa kwanza duh masaa ya uchungu yalikua mengi sana . Halafu uchungu ni ule wa papo kwa papo sikilizia maumivu yake sijui sala gani sikusali aisee.