Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Ukweli kuhusu kutoa haja kubwa na ndogo wakati wa kujifungua

Colagen
Hii nishawahi kuisikia sehem lakini sielew mahusiano yakiporo na kupoop
 
Last edited by a moderator:
Nadhani watu wengi hawaelewi uzito wa contractions za labour. Na kuna wale wanaopewa maji ya uchungu (oxytocin), hao uchungu wao ni hatari.

Kwa hiyo si jambo la kushangaza kwamba poop na pee vinaweza kuchoropoka!
 
Dark City
Nahisi nilipewa pitocin. At the end of of it all njia ikawa haifunguki na mtoto alikuwa mkubwa.It was csec for me.
 
Last edited by a moderator:
Kama rectum ina kinyesi , basi Jua kitatoka tu during second stage of labor utake usitake ndiyo hivyo.
 
Malalika
Huna lolote, wanaume tumeumbiwa mateso.
 
Last edited by a moderator:
Karucee
Poo hutokea kama rectum ina fecal matter na ni pale mtoto anaposhuka kutoka hukandamiza rectum yenye kinyesi na hatimaye fecal matter hutoka.

Sometime kipimo cha kujua kwamba sasa mjamzito imefikia kusukuma ni pale anapocomplain kubanwa na haja kubwa au anapoomba akapoo.

Siyo kitu kipya na wala siyo cha kuonea aibu.
 
Last edited by a moderator:
asakuta same
Honey at my age siwezi kuona aibu suala kama hilo. Mimi pamoja na ku feel ile urge ya ku poop bado sikufikia ku push. Na hapo nilianza kuumwa 2 a.m Monday nikaja kujifungua 3.35 a.m Tuesday. And I was in pain all along.
 
Last edited by a moderator:
Karucee
Pole sana , next time usikubali kukaa kwenye labor pain zaidi ya masaa 10 besti yangu.
 
Last edited by a moderator:
Karucee
Umenikumbusha mbali nilipata maumivu ya aina hii kwa mwanangu wa kwanza duh masaa ya uchungu yalikua mengi sana . Halafu uchungu ni ule wa papo kwa papo sikilizia maumivu yake sijui sala gani sikusali aisee.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom