Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni



Naona mbinu ya maghufuli inafanikiwa anajua akimtumbua dau zitatoka nyaraka za makampuni mengine itakuwa rahisi kuwatumbua wote kwa wakati mmoja maana kuna watu wameficha mafaili ya ushahidi
 
Hvi kuna mtu ameifanyia kazi hii nchi kama Kitily wa TRA? Yeye yuko wapi sasa hvi?Haki sawa kwa wote
 
Nssf ya Dauuu kilikuwa kichaka cha MISSION TOWN ilibakia kidogo mshirika wa Nyepesi bwana February aukwae ufalme wa white house,saahizi tungekuwa tushauzwa!
 
ni jasiri gani aibe sh milioni 775 kwa kitu cha thamani ya shilingi milioni 25?
Ni aibu Mkurugenzi wa NSSF Kahyarara anashindwa kutumia Common sense kwa vitu obvious kama hivi!
 
Nashukuru Pasco.

Nachotaka ujumbe ufike na upotoshaji uachweee

Pasco inasemekana wewe ni mwandish wa habari

Sasa waeleze waandishi wa habari wenzako mfano wa Mwanachi waache mtindo wa kupokea bahasha na kuacha weledii

Kwan hata Pasco Njaa kama hizo umeachaa tokea zamaaani sana kama sikosei
 
Hiyo paragraph ya pili unayosema hawakununua ardhi bali walipewa bure huenda ni na hiyo dhana ya Land fir Equity unayoizungumzia!!
 

Wewe unastuka na habari za magazetin?

Hayo yaliandikwa sana kumchafua DR Dau kipind kile mpaka Mh Rais akaona uhalisia na kumuinua Dr Dau na kumpa haki na heshima yake...

Sembuse leo?hatusikilizi habari za magazetin

Tunaangalia official facts and documents zinasemaje na siyo blaah blaah zenye mimba za chuki
 
Sawa nimekuelewa

Mimi sijatumia wala situmii nguvu kubwa

Natumia nyuvu ile ile ambayo hawa wanaofanya character assassination wanaitumia

Labda huenda wewe unaiona hii ni nguvu kubwa sana.

Kawaida tuh
 
Wamekufanyia wewe kwa kuwa wewe ni mnufaika,dau hakuna cha kupumzika aletwe kisutu akapumzishwe ukonga

Pole sana

I can see una mission maalum ya kumchafua Dr Dau humu JF..

Mbaya zaid huna uhakika wala ukweli na unachokisimamia

Nakuonea huruma unayoyaota hayatakuja yatokee kwa kuwa ukweli utabakia kuwa ukweli siku zote.

Dr Dau is smart Man kuliko hivyo unavyoweza kudhania

Dr Magufuli siyo mtu wa kukurupuka katika kile anachokiamin kuhusu ufisadi hadi ampe trust Dr Dau.

Utazid kuumia
 
Sasa kama report unasema ishatua bungen shida yako wewe ni nin?

Ukae usubir..

Na CAG reports unazoziongelea wewe ni zip na zile zilizotoa hati safi kwa Nssf ni zip?

Unachekesha sana
 

Sasa wewe si ndo unaleta ushuzi humu kuhusu dau ulitaka tumtetee wakati tunajua ni mwivi na mtukanaji wa uabudu wa wenzake,sasa kama dau ni smart kwanini auditing inasema ni mchafu,bora hata escrow na Richmond Mr Jamal,fanya subra vijana watakuja na majibu
 
Unaongea vitu usivyovifahm

Na unaweweseka sana

Hilo la kuniita mimi Jamal ni ushahid tosha kuwa kuna watu wanakutumia kwa agenda zao na nakuhakikishia hutofanikiwa katika hilo

Dr Dau is gone...na legacy yake ambae ameiacha Nssf dunia yote inajua

Ameicha Nssf among best pension fund east and central africa itashindwaje kulipa mafao

Simameni mueleze ukweli na hakuna shida katika kueleza ukweli...fitna na majungu havitawasaidia
 
Sasa kama report unasema ishatua bungen shida yako wewe ni nin?

Ukae usubir..

Na CAG reports unazoziongelea wewe ni zip na zile zilizotoa hati safi kwa Nssf ni zip?

Unachekesha sana
Mkuu hiyo hati safi ilikabidhiwa board ipi wakati hakuna exit meeting board ilifurumishwa one day before exit meeting dau akiwa na mission ya kum deal magori saa sita usiku jpm akaitumbua kwa maagizo kuwa yakiyokuwa yajadiliwe ktk kikao hicho yapelekwe wizarani,we vipi
 

Audit gan iliyomtaja Dr Dau ni mchafu?

Mkuu mbona Dr Dau anakuumiza sana?

Kama unampenda sema tuh akuoe maana ruksa giyo kwa utaratibu wa dini anayo

CAG Reports zinasema Nssf wana hati safi na kila kitu kipo wazi...wewe unachotaka ni kitu gan?

Teh teh teh
 
Jizi ni Jizi tu.....awe Mfia Dini au awe anavaa visuruali vifupi ni jizi tu.CAG kasema we we unaebisha Bila shaka utakuwa na mapepo7. Balozi lazima atenguliwe aje ajibu tuhuma za wizi
 

Wacha kuandika vitu vya kusadikika..

CAG alishaikabidh Report yake muda mrefu kwa mheshimiwa Rais na ilishakabidhiwa kwa Speaker wa bunge

Ww uko dunia gan?

Teh teh teh..kwaiyo kumbe hujui hata unachokiongea?

Pole sana hebu kaaa chini kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…