chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Mbona black arabs wapo mkuu, kama una azam tv anagalia wanasah tv utawaona
Mbona black arabs wapo mkuu, kama una azam tv anagalia wanasah tv utawaona
Majeshi yaliyofanya mauaji dhidi ya wazee ni Major Johannes, Captain Mortz Merker, Luteni Spiegel, Staff Sajent Engalnd na wengineo!
Ewe Allah (S.W.T.), Wazidishie adhabu hao madhalimu wa Kijerumani, Amiiyn!
Ahsateni, Nakutakieni siku njema!
Wajerumani walikuta waislam wote wakisali kiarabu. Waislam waarabu walipokuta walikuta nini?
Unakataa kwamba haikuwa na ushirikina, huyo kinjekitile alivyopotea na baada ya kurudi akasema kapewa na mizimu maji yatakayofanya risasi ziwe maji, alimaanisha mizimu hiyo ndiyo unaiita allah?
Kwa hiyo huyo allah ndiye aliyewaongopea maskini ndugu zetu kwamba wakisema "maji maji", ndiyo risasi zinakuwa maji halafu akakaa kando, na alipoona wameitikia ujinga huo akaingia mitini akawaacha wanamalizika? Kwa maana hiyo huyo allah kama alimtuma kinjekitile kwamba risasi zitakuwa maji waende tu huku ama akizidiwa nguvu na risasi ama akishindwa kuwasaidia, utawaaminishaje watu leo waamini lolote mtakalosema linatoka kwa allah kwamba ni la kweli?
1,Yesu sio Mungu.
2,Wailamu ni wengi tz historia ilipotoshwa.
3.Wapigania uhuru ni waislamu.
4.Vita ya maji maji haina ukweli.
!!!!!dah,ndugu zangu!
Hivi hizi habari huwa mnazitoa wapi??,
Mfano wewe mleta mada hii hadithi inapatikana kitabu gani??chanzo cha kuaminika tafadhari.
ww mbweha toa hoja sio ujinga hivho unachosema wewe ni tambiko hao walikuwa wanachukua udhu sio kunawa na tunaambiwa kwenye ibada lazima tutawadhe (udhu)vita ni ibada.unaambiwa historia imepotoshwa wewe kama unakaataaa toa unayosema wewe,rozali huwa na msalaba lakini kwenye jumba la makumbusho zimewekwa rozaliambazo hazina msalaba ambazo ni tasbihi