Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

napendekeza pia tusome biashara ya utumwa iliua waafrika wengi mno! kukomeshwa kwake iliathiri sana maslahi ya waarabu- mababu zetu wameuliwa sana wakati huo na kupunguza kasi ya maendeleo ya waafrika- wazungu wakasitisha hili zoezi kwa vita pia- ku conclude wazungu(wakristo) ni wabaya na waarabu(islam) ni wema ni kama kuendeleza ligi- bora tumepata uhuru wetu- dini tuweke kando japo ni ngumu- upotoshaji upo kila upande; tuishi kwa amani tuache kuanzisha hisia chokonozi
Mkuu Unadhani wasipoanzisha hisia chokonozi watafanya nini zaidi, watu.wamejikita kujadili mambo yasiyo na msingi kwa kujifanya wanafia dini zao huku wakiangamia kwa ujinga........badala ya kuhangaika na maisha angalau watoto wao wawe na nafuu kwa elimu Bado wanajirudisha kulelule eti tulinyimwa elimu..........
 
Mkuu Unadhani wasipoanzisha hisia chokonozi watafanya nini zaidi, watu.wamejikita kujadili mambo yasiyo na msingi kwa kujifanya wanafia dini zao huku wakiangamia kwa ujinga........badala ya kuhangaika na maisha angalau watoto wao wawe na nafuu kwa elimu Bado wanajirudisha kulelule eti tulinyimwa elimu..........

Sifongo,
Mambo si mepesi kiasi hicho.
Kuna ukweli katika malalamiko ya Waislam.

Soma hapa chini na nakuwekea kwa ufupi tu:

[TABLE="width: 601"]
[TR]
[TD]"In 1987 Professor Malima became the first Muslim Minister of Education. Eight previous ministers were Christians. There were accusations that the ministry was a Christian stronghold, particularly when at one time a pastor was appointed minister to head the ministry. When Professor Malima became minister of education he thought it was imperative that some changes be effected in the ministry to win back the confidence of Muslims. There were accusations that the ministry was discriminating against Muslim youths, barring them from higher institutions of learning and was frustrating the career advancement of Muslims functionaries in the ministry.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Having seen this imbalance between Muslims and Christians in the ministry, Professor Malima appointed four Muslim directors to head different departments in the ministry and wrote a confidential report to President Ali Hassan Mwinyi [1]on the state of affairs he had found in the ministry. In that report [2] Professor Malima mentioned the stagnation of Muslims in education. This report somehow got leaked to the press and to other Christian personalities including former President Nyerere.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The marginalisation of Muslims is so obvious and glaring in Tanzania that it does not require statistical proof. Any social scientist familiar with Tanzania will not fail to notice this fact. It is noticeable and evident in all spheres of life. The first serious attempt to bring the problem of marginalisation to the attention of Muslims was done by one Muslim youth organisation-Muslim Writers, popularly known as Warsha. In 1981 in a method of interacting with the general Muslim population never seen before, a research was conducted and the findings were published and distributed to all Muslims in Tanzania, showing low figures of Muslim admission into institutions of higher learning."

(Kutoka: "The Lfe and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the
Muslim Struggle Against British Colonialism," Minerva Press, London 1998).[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Ali Hassan Mwinyi : President 1985-1995

[2] See Kiongozi, July 15 th-31 th, 1993.
 
Lengo hasa la hii post ni nn? maana ukisoma kila wakat linarudiwa neno Uislam as if waarabu waarabu walikua wazawa, tofauti na dini waliacha maendeleo gan?
 
Lengo hasa la hii post ni nn? maana ukisoma kila wakat linarudiwa neno Uislam as if waarabu waarabu walikua wazawa, tofauti na dini waliacha maendeleo gan?

Huu mji dar es salaam haukotoshi?
Jina tu ni brand kubwa sana walokuachieni....mnashindwa kulitumia na hamjui kama ni brand ajab
 
Lengo hasa la hii post ni nn? maana ukisoma kila wakat linarudiwa neno Uislam as if waarabu waarabu walikua wazawa, tofauti na dini waliacha maendeleo gan?

What about you? Did you come out of the ground like mahindi? Cameroon and Nigeria is not even close like bordering Ruwanda, Burundi and Malawi. Even though in those countries are still destination far from another part as as far as the origin of the Cush Kingdom.
 
ww mbweha toa hoja sio ujinga hivho unachosema wewe ni tambiko hao walikuwa wanachukua udhu sio kunawa na tunaambiwa kwenye ibada lazima tutawadhe (udhu)vita ni ibada.unaambiwa historia imepotoshwa wewe kama unakaataaa toa unayosema wewe,rozali huwa na msalaba lakini kwenye jumba la makumbusho zimewekwa rozaliambazo hazina msalaba ambazo ni tasbihi

mtu anatawaza baada ya kunya tu, hayo mengine unayoongea ww ni mbwembwe tu, acha chuki za kidini wewee, walowaletea hizo dini walishakufaga longtime af unakuja kutupigia kelele hapa, acha chuki ndugu
 
umefanya vizuri kutuletea hii historia lakin hauko fair ingebidi utuletee na jinsi waarabu walivyoanza kuingia kwetu na kuteka maeneo ya kilwa nk. kumbuka waarabu, wajerumani nk wote ni wavamizi. mm nawakubali wajerumani kwa sababu walikuwa wachapakaz na wametuachia reli, bandari nk. ila sioni tunachoweza kujivunia toka kwa waarabu zaidi ya utamaduni wao na utumwa. samahan kama nimekukwaza

Mungu akubariki kwa kuusema ukweli huu mchungu!
 
kwa kweli cjaelewa lugha. umetumia maneno ya kiingereza lakn hayalet maana.
 
Can you give us the statistics of how many wazungu were in those countries you mentioned, where are now originaly they were plenty of African slaves? And can you give the population count of Arabs in those countries where is what you claim there are many arabs but African slaves were killed?


For instance. Wazungu and Africans of Trinidad and Tobago and Arabsa and Africans of Oman, your newly politically acquired Bogeyman.

Mkuu,kwani mwenzetu kiswahili kinakupa shida?samahani lakini
 
Jamaa kapiga porojo na hadithi halafu anaita historia. Historia ili iwe credible lazima kuwe na source. Tena vyanzo vijumuishe primary and secondary zionyeshwe kwenye footnote ili ku-authenticate reliability and validity. Hizi footnotes lazima zionyeshe wapi source inapatikana, zimetokea wapi na lini lilipatikana. Weye unabwabwaja kama chiriku halafu unaita eti ni historia.

Wewe lijamaa utakuwa umefundishwa na Prof Isaria Kimambo!
 
Da mzee umeandika, ila mimi sioni sababu ya kullamika kwako kwani sitaki kuamini kuwa waislam woote wa kipindihicho walishundwa kuandika historua ya kweli eti mpaka wakristo wawaandikie, na hiki ndilo tatizo la waeneza dini ya kiislam,

yan hata matatizo yote waliyatengeneza wao kwani hivi ni kwa nini walipoebeza uiskam wakikuwa hawaenezi na shule?, ukisema madrassa ndiyo shule zao bas waislam mkatafute huko historia maana naamini kutakuwa na maandiko ya historia yote ya waislam, haya maisha yanahitaji ufaham na uekewa mkubwa sana wa mambo, hii elimu inayofundishwa mashuleni haikuanzishwa na wakristo na wanafalsafa wengi sana mpaka leo hawaamini hata kama kuna Mungu so ni kweli hawakuwa na dini.

Mtu anakuwa tu na wazo anakiandika wengine wanalitumua halaf wanafanikiwa na kuna wakati walifeli kama akina Ian Philkips majaribio 1000 ndipo balb ilipowaka.

Nacho jaribu kusema hapa ni kw
amba mi kwa sasa nafurahi waislqm kuendelea kwa maana ya kubadili fikra na sasa wanakubali kwenda shule na ninaamini muda si mrefu mtaanza kuvumbua vitu kwani kikawaida Mungu hajawahi kubagua watu na katika kila dini na jamii kuna wana falsafa na hii ndiyo itakuwa tiba ya huku kulalalamika eti wanapotishwa, ama waislam wanadanganywa kitu ambacho binafsi sikiamini, watu hawawezi hata wakiwa wakrustu eti kukaa kimkakati kupindisha vita ya waislam kuwa vita ya Taifa, na pia hawawezi ku entertain usumbufu wa waislam wachache kwenda na kufanya vurugu kwenye makumbusho ya Taifa kwa mgongo wa dini lazima watatoa majina tu kama wanavyofanya sasa kwenye mitihani ya Taifa hata kama waziri wa elimu ni muislam.

Nitafurahi sana siku utakapoenda Kilwa na kumkuta mtu kutoma Yemen akiwa anafanya utafiti kama itatokea.


Mungu atusaidie kuondoa chuki ndani ya nafsi zetu tukiamini kuwa hizi dinu watu walizikubali kila mtu kwa hiari yake.......na wala si kwa kulazimishwa.

Wasalaam.
 
Acha kulalamika, tunajua mikoa ya kusini hata sasa inawaislam wengi na walipokuwa wanapigania ges kwa sababu wengi walikuwa ni waislam na kwa kweli hao ndo walikuwa wakichukuliwa kupelekwa kambini kwenyemateso(kama wengi tunavyoamini), na historia imeshaandikwa kuwa mkoa wa mtwara walipigania gesi yao sasa tuseme baada ya miaka70 kuna muislam kama atakuja kuusumbua umma na story za kitoto kuwa waislam walikuwa wakipinga utawala wa kikafili ilihali woote tuliopo sasa tunaujua ukweli wenyewe..

Yan unajua hiz story ni kama movie flan za kusadikika ambayo mtu anatunga uwepo na nchi ya hali flan mpaka unakuwa dhahili.

Tuache kudanganyana na kujazana chiki zisizo na mpango isitoshe dini zenyewe tuliletewa na watu na wala hazija proove kutusaidia kwani kama kweli zingeweza kubadikiha watu kama malengo ya dinu yalivyo basi dunia ya sasa ingekuwa mahala salama sana pa kuishi,ila nenda magerezani leo utakuta wabakaji,walawiti,wauaji,wezi yan waovu wote na wote utakuta wanadini ama waislam ama wakristo.

So tusijaribu kuweka matakwa ya nafsi zetu ama ya chuki ama visasi kwa kujificha nyuma ya pazia la dini.

Wasalaaam.
 
Unaelimu gan wewe mbona kama mvimba mmacho unatafuta kiki humu ongea vya maana achana na kupambanisha udin kama wanajua pigana zanzibar walishindwa nn kufanya mapinduzi mpaka mganda anawasaidia wanaume wamevaa kanga wakajifungia ndani ..usitengeneze maneno unayoyafikiri wewe. Umefell bro no brain hapo
 
Toa udiniwko hapa,ok wakiwa ni wasislam alafu nini labda
 
Tabora
Mji wa Qusway Mji huu kabda ya haujaitwa jina Tabora''ulifahamika kwa jina la Unyanyembe''tangu 1800-1837 Alipotawala Chifu wa Mwanzo aitwaye Chifu Swetu'' I mwaka 1800-1837 katika kipindi hicho ndio alifika Qusway kutoka Bagamoyo, Wanyamwezi hawakuweza kutamka Qusway'' basi wao walimuita Kiseh'' naye aliishi juu kidogo ya kilima kilichopo nje kidogo ya Tabora mjini katika njia ya kuelekea Itetemiya-
Mji wa tabora wakati huo ulienea kwihara na Itetemya sehemu ya mji waliokuwa wakikaa watu wengi uliitwa kwa Kisehi huyo kisehi alikuwa Mzee wa Mji labda ndiye aliyeuanzisha.'
Wazungu nao walipo fika walimuita kazeh' na hicho kilima walikiita kazeh hill yaani kilima cha kazeh' na hivi ndivyo wanahistoria wengi wamemuandika hivi kufika kweke huko kulibadilishs jina la mji huo baada ya kukaa hapo na kupata umaarufu hasa kutokana na biashara walizokuwa wanafanya na Wanyamwezi wa hapo''
huu ndio Mji Mkongwe wa Tabora ambao Liwali Thnei bin Amir akiishi hapo hata wafanyabiashara wakubwa wakubwa wa Kihindi kama vile Mussa Mzuri waliweka makazi yao hapo
watu wengi walikwenda hapo na Mji ukawa hapo pakaitwa kwa Kiseh na jina la Unyanyembe likaanza kupotea kidogo kidogo na umaarufu ukawa ni mji wa Qusway/''
Kuitwa tabora Mji huo wa Qusway haukudumu sana katika kulitumia jina hilo bali Shughuli za biashara zilizokuwa zikitendeka ziliubadili Jina Mji huo tena.'
Kulikuwa na biashara za kuuza viazi vilivyochemshwa na kuanikwa- ambavyo huitwa kwa Kinyamwezi Matobolwa'.biashara hizi zilikuwa maarufu hapo kwa Qusway ambazo ziliwafanya watu waswme twendeni kule kunakouzwa Matobolwa.'-
Kuna kauli mbili hapa kuhusu jina hilo kutoka kwa waarabu waliofika hapo wao wakashindwa kutamka Matobolwa wakatamka twendeni kunakouzwa tabora na hapo ndipo likasehelea jina Tabora''
na pia husemwa kwamba Waarabu waliofika hapo waliona hivyo viazi vinapendwa sana na wenyeji wakaviita Twa'amun boura''yaani Chakula kizuri''kimatamshi ya Kiarabu Ta'abora yaani Tabora'')
Dola ya Zanzibar chini ya Sayyid said iliendelea kuijenga miji mbali mbali ya tanganyika, ukiwa pamoja na Mji huu Sanjari na kutuma makungi mbali mbali ya wataalamu na walimu makadhi na maliwali tangu Utawala wa Swetu 1 Mpaka tawala za machifu wote takriban
Mbali na ujio wa Qusway wakati huo Swetu( I ) hata utawala wa fundikila tayari mzee rajabu bin juma bin hemed al murjeeb kutoka Shangani Zanzibar alikwisha wasili na kuweka makao yake Ndavelwa Itetemiya
mwanzo harakati za wazanzibar ilikuwa hapo Itetemiya na baadae kujengwa ikulu ndogo kwihara''-
Lakini mwanzo Sayyid said aliujenga Mji wa kahama Shinyanga na Mwanza pakiitwa Nchi ya Wasumbwa katika mwaka 1830.Khalafu baadaye 1852 ndipo alipoujenga Mji huo wa Tabora''
Wazanzibar walipofika tanganyika ilikuwa desturi yao ni kujenga Miji au kambi walizo zita Bandari inasemwa ya kuwa bandari moja ilijegwa Msene katika Nchi ya Wasumbwa yaani kahama katika mwaka 1830'-na moja Ujiji katika mwaka 1845.'
Lakini Mji Mkuu wao uliitwa kazeh na baadaye uliitwa Tabora nao hudhaniwa haukujegwa mpaka (ilipofika) mwaka 1852''
Baada ya Swetu 1 Utawala wa tabora ukawa chini ya fundikila bin Swetu,Fundikila alifanya kazi na Mzee juma El Murjeb akiwa ni Mkwewe baada ya Mzee juma kumuoa Bint Fundi kila Aitwaye kalunde,lakini hata ilipofika mwaka 1830,-
Walipata Mtoto aitwaye Muhammed bin juma bin hemed EL murjeeb ambaye alizaliwa Stone Town Zanzibar.Sayyid said alimtuma Said salum Al Lemky kuwa liwali wa Dola ya Zanzibar-Tabora na Thnei bin harth akiwa ni kadhi mkuu wakishirikiana na Mzee juma murjeeb walifanya kazi kuu ya kuusomesha Wanyamwezi
hata hivyo katika mwaka 1876 baada ya kufariki fundikila Uchifu ulichukuliwa na Mkasiwa bin kiyungi katika mwaka huo sayyid said Majid akamleta Adallah bin Nasib el muttafy'
Sayyid said na utawala wa zanzibar ulikubalika vizuri katika tabora na maeneo mbalimbali ya tanganyika hivyo tabora ilikuwa ndio baba ya tanganyika kwa kuteuliwa kuwa ndio Ngome madhubuti na kuzikombawa nchi zilizokuwa kuwa na machifu makatili''Mpaka hapo kituo cha pili cha harakati za ujenzi zilihamia kwihara palipojengwa ikulu ndogo Na said salum El lemky wakishirikiana na Thenei bin Amir kazi hii ya kujenga Tembe zilizotumika kama ikulu ndogo ya Dola ya zanzibar ilifanyika takriban majimbo yote ya dola hii ya zanzibar
Lakini kwa bahati mbaya sana na masikitiko makubwa leo hii tembo hizi zote , ukianzia hii ya tabora ile ya muhammed khalfan Ujiji zimeitwa au zinaitwa Tembe za Dr Livingstone.Lol''
haya maajabu ya ulimwengu,tembe ya shekh Said salum El LEMKY NA THNEI BIN AMIRI EL HARITH chini ya Dola ya Zanzibar imekuwa ya Dr livingston ipo haja ya kuiangalia historia yetu mara mbili mbili vijana vijana wamesha tudanganya sana,'
Hakuna maelezo yoyote yanayohusu kazi halisi zilizofanywa na Waislamu hawa katika tembe hizo isipokuwa maelezo ya kupachika pachika na kumnasibisha Dr Livingston na harakati za kukombowa biashara ya Utumwa kisha kuwanasibisha Waarabu na Biashara hiyo basi hakuna kingine cha kuzungumzia,-
hakuna maelezo yeyote ya maana ya kihistoria zaidi ya maelezo hayo,basi tena maelezo hayo utayakuta takriban vituo vyote utafikiri hakuna jambo lolote la maendeleo lilokuwa likifanywa isipokuwa ni warabuu utumwa??
Mbali na hayo ukilitazama jengo lenyewe huo muundo na ujenzi wake haufanani hata kidogo na kazi ya Mzungu hata vifaa vilivyopo ndani ya jengo hilo havina nasaba na Wazungu mbaya zaidi vitabu vyote vya kale takriban havikulinasibisha jengo hilo na Ujenzi wa Dr LIVINGSTON bali vimeeleza wazi wazi kuwa wajenzi ni hawa tuliowataja/'
lango kuu la tenbe hiyo lililotengenezwa na mafundi staidi kwa mtindo wa ki Zanzibar
Mlango wa tembe ya kwihara iliyonakshiwa kwa nakshi za Kiarabu kutoka Zanzibar (Zanzibar Door) je Dr livingstone alikuwa Muarabu?
kuna na makubadhi ndani ya tembe ya kwihara Dr livingston alivaa makubadhi?.? Vipo vitu vingi vilivyohifadhiwa humo zikiwemo pesa za Zanzibar iliyoandikwa haafidh-hullah''
Hata hivyo henry Morton Stanley alipopita hapo alikaribishwa kama alivyokaribishwa huyo Dr livingstone, hakufanya khiyana, yeye akaziandika habari zake katika kitabu
(How I found Livingstone)
Tabora ilikuwa ni kituo cha makaazi ya Waarabu kuenea AFRICA ya kati toka kapo tabora ilikuwa imekusanya zaidi ya maekfu ya tembe ambazo zilikuwa ndani ya nyumba moja (tembe ikulu ndogo) inaweza kuwaweka watu salama tena hata wakiwa kundi kubwa la watu wa kiarabu waungwana saana na wakaazi mpaka wakafika watu elfu tano.
kati ya tabora na Mji mwingine wa kwihara kulikuwa na miinuko vilima viwili ambayo inatofautisha Mji hiyo miwili ukiwa juu ya milima ya tabora unaweza kuuona Mji wa kwihara hakuna eneo lilikubalika zaidi kuliko Kazeh')'-
89H.M Stanley how ifound Living Stone London 1872, Stanley's account for his journey from the coast to Ujiji'
 
Back
Top Bottom