Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hivi unajua Nabii Mke Ellen G White na Mume wake Walifukuzwa kwenye Kanisa lao la Mwanzo la Methodist...???Angekuwa tapeli wa kiume ungemwamini? Mbona mnasujudia sanamu ya kike?
Kama sisi tunaabudu sanamu wewe inakuuma nini?,, halafu kwani kua msabato ndio kuiona pepo,, tatizo ni kwamba akili zenu ndogo zinataka zitawale akili kubwa, kitu ambacho hakiwezekani,, mtaishia kuwatolea wakatoliki mapovu mwishowe mtachoka mtaacha, but you will never destroy them.Angekuwa tapeli wa kiume ungemwamini? Mbona mnasujudia sanamu ya kike?
Unachukia maadishi ya nabii mke aliyoandika akiwa hai lakini unakumbatia sanamu ya mwanamke! Maajabu ya waabidi sanamu haya!Yote hayo yanapatikana kwenye Biblia ya Kisabato Clear Word Bible...
Kasome kitabu cha Nabii Mke Ellen G White kiitwa 'Investigative Judgement' uone jinsi Nabii Mke Ellen G White alivyopinga Ufufuko wa Yesu...
Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huo
Halafu we Kenge nimeshakwambia Biblia ni Mapokeo pia..Ndo mana tunang'ang'ania mapokeo ya madhehebu mana hatuijui kweli ipatikanayo katika Biblia mana hatusomi Biblia.
Uongo ni dhambi, acha kumtumikia shetaniHivi unajua Nabii Mke Ellen G White na Mume wake Walifukuzwa kwenye Kanisa lao la Mwanzo la Methodist...???
Sababu za wao kufukuzwa unazijua..?
Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.Kama sisi tunaabudu sanamu wewe inakuuma nini?,, halafu kwani kua msabato ndio kuiona pepo,, tatizo ni kwamba akili zenu ndogo zinataka zitawale akili kubwa, kitu ambacho hakiwezekani,, mtaishia kuwatolea wakatoliki mapovu mwishowe mtachoka mtaacha, but you will never destroy them.
Hahahaha...Uongo ni dhambi, acha kumtumikia shetani
Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.
Siwezi mkufuru Roho Mtakatifu kwa kuyapenda maandisho yaliyopinga Utatu Mtakatifu wazi wazi...Unachukia maadishi ya nabii mke aliyoandika akiwa hai lakini unakumbatia sanamu ya mwanamke! Maajabu ya waabidi sanamu haya!
Mimi nakushauri jambo la maana. Soma Biblia. Rozari na sanamu hazitakusaidia chochote.Hahahaha...
William Miller..Mkulima wa Massachusset alifukuzwa kanisa lake la Baptist
Hiram Edson na Joseph Bates nao walitimuliwa Baptist
Ellen G White na Mumewe walikuwa Methodist...baada ya kushabikia mafundisho ya kuzimu ya Miller wakawa Excommunicated
Soma historia ndugu..soma soma soma
Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.
Mzee tuokoe muda, naomba unijibu, kua msabato ndio kwenda mbinguni??Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.
Biblia ipo moyoni mwangu...yani ndio naishi...Mimi nakushauri jambo la maana. Soma Biblia. Rozari na sanamu hazitakusaidia chochote
Msabato siyo Mkristo...mbingu ataionea wapi.?Mzee tuokoe muda, naomba unijibu, kua msabato ndio kwenda mbinguni??
Ngoja tuone na yeye atajibu vipiMsabato siyo Mkristo...mbingu ataionea wapi.?
Ni kwa kutiii amri za Mungu na imani ya Yesu.Mzee tuokoe muda, naomba unijibu, kua msabato ndio kwenda mbinguni??
Shetani hana mbingu usijisumbue kumsujudiaMsabato siyo Mkristo...mbingu ataionea wapi.?
Dhambi isiyosameheka ni ya kumkufuru Roho Mtakatifu.....Kuupinga Utatu Mtakatifu ni laana...Ni kwa kutiii amri za Mungu na imani ya Yesu.
Ahsante kwa kuelewa kuwa Wasabato ni mashetani na mbingu nyie hamuioni..Shetani hana mbingu usijisumbue kumsujudia
Jina si muhimu kulijua jina lake au kutokulijua hakuwezi kukusaidia,kama ni mtu unafuatilia mambo ya imani yako na uko serious unatamani kwenda mbinguni na unajua nini kinaendelea katika nchi hii,you should have known.Technologia haidanganyi.Soma biblia yako kila siku utajifunza mambo mengi,bahati mbaya wanadamu tumechagua kutokusoma biblia ndiyo maana wengi wanapotea.Yule mtumishi aliyekuwa amelewa? Yupi huyo ebu tutajie jina lake na sisi tumjue au umetunga tu