Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Angekuwa tapeli wa kiume ungemwamini? Mbona mnasujudia sanamu ya kike?
Hivi unajua Nabii Mke Ellen G White na Mume wake Walifukuzwa kwenye Kanisa lao la Mwanzo la Methodist...???

Sababu za wao kufukuzwa unazijua..?
 
Angekuwa tapeli wa kiume ungemwamini? Mbona mnasujudia sanamu ya kike?
Kama sisi tunaabudu sanamu wewe inakuuma nini?,, halafu kwani kua msabato ndio kuiona pepo,, tatizo ni kwamba akili zenu ndogo zinataka zitawale akili kubwa, kitu ambacho hakiwezekani,, mtaishia kuwatolea wakatoliki mapovu mwishowe mtachoka mtaacha, but you will never destroy them.
 
Yote hayo yanapatikana kwenye Biblia ya Kisabato Clear Word Bible...

Kasome kitabu cha Nabii Mke Ellen G White kiitwa 'Investigative Judgement' uone jinsi Nabii Mke Ellen G White alivyopinga Ufufuko wa Yesu...
Unachukia maadishi ya nabii mke aliyoandika akiwa hai lakini unakumbatia sanamu ya mwanamke! Maajabu ya waabidi sanamu haya!
Naona unalazimisha nyeupe kuwa nyeusi.unatekeleza uongo wa shetani ambaye ni baba wa huo
 
Ndo mana tunang'ang'ania mapokeo ya madhehebu mana hatuijui kweli ipatikanayo katika Biblia mana hatusomi Biblia.
Halafu we Kenge nimeshakwambia Biblia ni Mapokeo pia..

Halafu hapa umemuelewa nini Mtakatifu Paulo alipoandika Epistle yake kwa Watesalinike..?

2 Wathesalonike 2:15
Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
 
Kama sisi tunaabudu sanamu wewe inakuuma nini?,, halafu kwani kua msabato ndio kuiona pepo,, tatizo ni kwamba akili zenu ndogo zinataka zitawale akili kubwa, kitu ambacho hakiwezekani,, mtaishia kuwatolea wakatoliki mapovu mwishowe mtachoka mtaacha, but you will never destroy them.
Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.
 
Uongo ni dhambi, acha kumtumikia shetani
Hahahaha...

William Miller..Mkulima wa Massachusset alifukuzwa kanisa lake la Baptist

Hiram Edson na Joseph Bates nao walitimuliwa Baptist

Ellen G White na Mumewe walikuwa Methodist...baada ya kushabikia mafundisho ya kuzimu ya Miller wakawa Excommunicated

Soma historia ndugu..soma soma soma
 
Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.

Unatamani kuwa Mkristo ehhh....
Nabii Mke wenu EGW aliwatapeli aisee
 
Unachukia maadishi ya nabii mke aliyoandika akiwa hai lakini unakumbatia sanamu ya mwanamke! Maajabu ya waabidi sanamu haya!
Siwezi mkufuru Roho Mtakatifu kwa kuyapenda maandisho yaliyopinga Utatu Mtakatifu wazi wazi...

Nabii Mke Ellen G White alipinga Ufufuko wa Yesu...Rejea kitabu chake cha The Investigative Judgement..
 
Hahahaha...

William Miller..Mkulima wa Massachusset alifukuzwa kanisa lake la Baptist

Hiram Edson na Joseph Bates nao walitimuliwa Baptist

Ellen G White na Mumewe walikuwa Methodist...baada ya kushabikia mafundisho ya kuzimu ya Miller wakawa Excommunicated

Soma historia ndugu..soma soma soma
Mimi nakushauri jambo la maana. Soma Biblia. Rozari na sanamu hazitakusaidia chochote.
Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.
 
Yesu mwenyewe atamuua huyo muasi yaani roman catholic na papa wake. Atamuua kwa pumzi yake mara tu ajapo kuchukua wateule wake. Ndio maana tunawasihi mtoke huko babeli kabla ya kuangamizwa kwake.
Mzee tuokoe muda, naomba unijibu, kua msabato ndio kwenda mbinguni??
 
c7026b468f333b63fb677f3b75b82ff8.jpg
Na hizo Nyoka za Bandia vepee.
 
Yule mtumishi aliyekuwa amelewa? Yupi huyo ebu tutajie jina lake na sisi tumjue au umetunga tu
Jina si muhimu kulijua jina lake au kutokulijua hakuwezi kukusaidia,kama ni mtu unafuatilia mambo ya imani yako na uko serious unatamani kwenda mbinguni na unajua nini kinaendelea katika nchi hii,you should have known.Technologia haidanganyi.Soma biblia yako kila siku utajifunza mambo mengi,bahati mbaya wanadamu tumechagua kutokusoma biblia ndiyo maana wengi wanapotea.
Bilia iko wazi "msiziamini kila roho,zichunguzeni" huwezi kuchunguza roho kama huna baseline ambapo kwa mambo ya Mungu ni muhimu sana kujua neno la Mungu.Hata Mungu amesema "neno la Mungu na lijae kwa wingi mioyoni mwenu".Kuna elimu nzuri na pana katika biblia unaweza ukasoma utakuwa mtu safi na utaepuka na mabaya mengi,kwa kifupi uatabadilika na kuwa mtu safi.
Wengi wanakamatwa na miujiza kwa sababu ya uchanga wao wanadhani kila mujiza unatoka kwa Bwana.Mbaya zaidi wengine wanadhani watumishi waliopotea watahubiri habari mbaya,no mitume ,manabii feki na watumishi waliopotea watakuhubiria neno la Mungu safi tu tena sometime watakufundisha vizuri kuliko wale wa kweli,lakini hii haiondoi ukweli kwamba wanapotosha watu.
There is a very thin line between fake and real servant of God,kama hulijui neno vizuri na huna maombi kumwomba Mungu akujulishe kama hapo ulipo ni sahihi au la utapotea.Kitabu cha mithali "ipo njia ionekanayo safi machoni mwa mtu lakini mwisho wake ni mauti" pia katika mithali "njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe,bali makusudi hupimwa na Bwana ".
Jiwekee utaratibu wa kusoma Biblia na kuomba kila siku,utafahamu mengi.
 
Back
Top Bottom