ExactlyWapi nimesema vinaabudiwa?? Nimesema siwezi kubusu msalaba na huwezi kunilazimisha wala kunitoa kwenye ukatoliki.
Unaruhusiwa kuniita mwendawazimu kwakuwa imani yako ya kikatoliki unayoiamini wewe inakuruhusu hivyo. Ila imani yangu mimi sithubutu wala kukuita mjinga kwakuwa ntakuwa natenda dhambi
Pili sijasema Maria anaombwa msamaha bali nimesema siamini kama Maria anaweza kusikiliza sala zangu kwakuwa hana uwezo wa kiMungu. Kama wewe unaamini sijakukataza...
Niko Parokia ya Mwenye heri Isidori Bakanja, Boko. Hebu njoo nione uwezo wako wa kunizuia.Hebu jisemee nafsi yako....Huko hivyo na nani...??
Pole maana una-poor catechesis....
Sikujua kuwa wewe ni mtupu kiasi hiki...ningejua parokia yako, nikikuona tu unaingia nahakikisha nakutoa nje maana wewe ni mafiki wa kiwango cha juu
Then you are not a Catholic....Ni kwamba unajilazimisha kuwa Mkatoliki....Watu kama nyie ndio mnatujazia makanisa Jumapili kumbe ni vishetani vidogo..Wapi nimesema vinaabudiwa?? Nimesema siwezi kubusu msalaba na huwezi kunilazimisha wala kunitoa kwenye ukatoliki.
Kwa jibu hili, inadhihirisha wewe si Mkatoliki....Wakatoliki wanakiri imani moja tu.....Sasa hiyo ya kwako sijui imeitolea wapi...?Unaruhusiwa kuniita mwendawazimu kwakuwa imani yako ya kikatoliki
Unaifahamu imani ya Kanisa Katoliki wewe..?unayoiamini wewe inakuruhusu hivyo. Ila imani yangu mimi sithubutu wala kukuita mjinga kwakuwa ntakuwa natenda dhambi
Anachachawa tu huyo. Anajiona ni mkatoliki die hard lakini anasahau wakatoliki ni wanyenyekevu. Anamwaga povu panapohitaji hekimaDuuh mkuu punguza speed barabara ina mashimo hii
Askofu gani huyo...? Pengo, ...? Hebu wacha kumsingizia Pengo ..hawezi kuwa na muumini kilaza namna hii...Niko Parokia ya Mwenye heri Isidori Bakanja, Boko. Hebu njoo nione uwezo wako wa kunizuia.
Maana hata askofu wangu anaujua msimamo wangu na hajawahi kunisema vibaya kama wewe "mtakatifu mbarikiwa"
Hahahaha povu la nini?? Mimi ni mkatoliki wa kuzaliwa, kubatizwa na saktramenti zote nimepata ukatolikini. Hakuna wa kunitoa. Na ningetaka kuondoka ningeshaondoka... sioni sababu ya kutoka, ntabakia na msimamo wangu.Then you are not a Catholic....Ni kwamba unajilazimisha kuwa Mkatoliki....Watu kama nyie ndio mnatujazia makanisa Jumapili kumbe ni vishetani vidogo..
Kwa jibu hili, inadhihirisha wewe si Mkatoliki....Wakatoliki wanakiri imani moja tu.....Sasa hiyo ya kwako sijui imeitolea wapi...?
Unaifahamu imani ya Kanisa Katoliki wewe..?
Wakatoliki tunakiri imani moja...? Usipoikiri hiyo wewe si Mkatoliki....PeriodDuuh mkuu punguza speed barabara ina mashimo hii
Wengi tunafeli hapo kujifanya wewe ndio unaijua dini pekee yako, huyo huyo mfia dini ndio anaanza kusema maneno yasiyo na hekima. Au huji misingi ya ukatoliki.Anachachawa tu huyo. Anajiona ni mkatoliki die hard lakini anasahau wakatoliki ni wanyenyekevu. Anamwaga povu panapohitaji hekima
Unaona sasa?? Huyo huyo Pengo nakunywa naye chai na kubadilishana mawazo... Sijawahi kumwona akichachawa kama wewe.Askofu gani huyo...? Pengo, ...? Hebu wacha kumsingizia Pengo ..hawezi kuwa na muumini kilaza namna hii...
Aiseee hivi misingi ya ukatoliki ni ipi mkuuWakatoliki tunakiri imani moja...? Usipoikiri hiyo wewe si Mkatoliki....Period
Mkuu kati ya boss na muajiriwa nani mwenye kihere here?Unaona sasa?? Huyo huyo Pengo nakunywa naye chai na kubadilishana mawazo... Sijawahi kumwona akichachawa kama wewe.
Yeye anafikiri ukatoloki ni Katekisimu na Misale ya Waumini... Nje ya hapo haujui ukatoliki.Wengi tunafeli hapo kujifanya ww ndio unaijua dini pekee yako, huyo huyo mfia dini ndio anaanza kusema maneno yasiyo na hekima. Au huji misingi ya ukatoriki.
Sibusu msalaba... Period!
Imani ngumu sana hasa ukiikurupukiaYeye anafikiri ukatoloki ni Katekisimu na Misale ya Waumini... Nje ya hapo haujui ukatoliki.
Yeye anafikiri ukatoloki ni Katekisimu na Misale ya Waumini... Nje ya hapo haujui ukatoliki.
Mkuu kwaresma hii mbona unawekana majaribuni.. Step back satanKatekesisi yako ni duni kwa viwango vya Bashite....Sidhani hata kama Biblia unayo wewe..?
Siyo ngumu... kila kitu kipo wazi...Imani ngumu sana hasa ukiikurupukia
Namaanisha ninachoandika...huwa sibahatishi....Poor Catechesis ndilo tatizo lenu..kuu.Mkuu kwaresma hii mbona unawekana majaribuni.. Step back satan
Tunafundishwa unyenyekevu, upole na upendo toka sunday school ila ww Mbona sioni unyenyekevu wako. Unatoa maneno yenye mauzi kwa wenzio badala ya kuekimishanaSiyo ngumu...kila kitu kipo wazi...