Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Huu Uzi naomba ufungwe ama nasema uongo jameni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia n Moja, hapana biblia ya mromani Wala msabato. Kutoka 20:01 linamuelekeza mwanadam kutokuabudu miungu, msalaba na Sanam ya bikra maria ni Moja wapo ya miungu.Amri yetu ya kwanza inasema msiabudu Miungu Mingine ....... if ya kwenu inasema msiabudu sanamu well msiabudu tuu hatuwaangilii
Cku ya tatu kwa mujibu wa biblia but kwa mujibu wa interest za watu cjui ni cku ipi!!Unaamini yesu alifufuka siku ipi?
Labda nami niweke neno kdg.. je siku ya sabato ya bwana ni lini? Kama ni jmos au jpili bas naomba aya toka kweny biblia. Pia kama unaweza muuliza huyo mchungaj ingekua heri atupe majibu hayo, lingine... Ni nani aliezipa majina cku tulizonazo? Maana kweny maandiko hazijaandwa jmos au jpili!!
Vizuri sana ila hujanijibu swali YESU alifufuka siku gani mkuu. Naomba nisaidie jibu mkuuCtaki biblia yenye nyongeza na interest za wanadam!! Ishi humo!! Biblia ni moja hii ya zaman bas ingeandika hizi cku tulizonazo hata kwa kiebrania then zikitafsiriwa kwa kiswahili ningekuelewa!!
Alifufuka siku ya tatu kwa mujibu wa maandiko matakatifu yaan Biblia!!Vizuri sana ila hujanijibu swali YESU alifufuka siku gani mkuu. Naomba nisaidie jibu mkuu
Soma vizuri bila kuweka itikadi ya dini Yako, siku ya maandalio ya Sabato ambayo yesu alisulubiwa na kuuawa ni siku ipi? Wakristo wote wanatambua yesu aliuawa siku ya ijumaa. Ndio maana inaitwa ijumaa kuu na watu hawaruhusiwi kula nyama kama kumbukumbu ya kusulubiwa Kwa yesu kristo. Kwa mantiki hyo siku ya maandalio ya Sabato ni siku Moja kabla ya Sabato ya kweli yaani Jumamosi. Na katika kufa na kufufuka Kwa yesu, alikufa siku ya maandalio yaan ijumaa. Siku ya jumamos alipumzka kaburini hakufufuka, akaja kufufuka siku ya kwanza ya juma ambayo Leo wakristo wengi wasioujua ukweli ndio wanasheherekea kama paska. Ambayo n Leo jumapili, Kwa mjibu wa biblia jumapili ndio siku ya kwanza ya juma.Luka 23:50 unazungumzia juu ya Yusuf mtu wa arimathaya kwenda kuuomba mwili wa kristo ili akauhifadhi. Na umezumgumzia juu ya maandalio ya siku ya sabato only that haijsema Sabato ni jmos au jpili. Nnachotaka mimi nipewe aya inayosema siku ya sabato ni juma flan. Pia unajua ni nan alizipa majina hizi siku tulizonazo? Ukitambua hilo bas jua siku ya sabato wanadam ndio tumejipangia iwe lini!! Na hakuna mwenye mamlaka ya kumkosoa mwingine kwa kuifanya sabato iwe cku flan.
Hatufati kalenda, tunafata biblia inasema niniKwa minajili hiyo hakuna mwenye haki wa kumkosoa mwingine kua cku ya sabato ni ni cku flan!! Kwamaana sote twafate taratibu za kibinadan.
Alifufuka siku ya tatu baada ya kufariki siku ya IJUMAAA mkuu ACHA kuchanganya mambo basi juzi tuuu Dunia imeazimisha IJUMAAA kuu siku aliyokufa YESU Sasa baada ya siku ya tatu akafufuka. Mbona hesabu mdogo mkuuu inakupa shida kuing'amua.Cku ya tatu kwa mujibu wa biblia but kwa mujibu wa interest za watu cjui ni cku ipi!!
Mzee nnachopinga ni neno ambalo halipo kweny maandiko!! Cna itikadi ya kidini btw siishi dini bali namtumaini Kristo hata kufa! Biblia Imesema waz tang kitabu cha mwanzo Imesema cku kwa hesabu ya namba yaan juma la kwanza mpaka juma la saba, sasa ijumaa imetoka wap? Je unaweza kunambia ni nani aliezipa majina hizi siku tulizonazo?Soma vizuri bila kuweka itikadi ya dini Yako, siku ya maandalio ya Sabato ambayo yesu alisulubiwa na kuuawa ni siku ipi? Wakristo wote wanatambua yesu aliuawa siku ya ijumaa. Ndio maana inaitwa ijumaa kuu na watu hawaruhusiwi kula nyama kama kumbukumbu ya kusulubiwa Kwa yesu kristo. Kwa mantiki hyo siku ya maandalio ya Sabato ni siku Moja kabla ya Sabato ya kweli yaani Jumamosi. Na katika kufa na kufufuka Kwa yesu, alikufa siku ya maandalio yaan ijumaa. Siku ya jumamos alipumzka kaburini hakufufuka, akaja kufufuka siku ya kwanza ya juma ambayo Leo wakristo wengi wasioujua ukweli ndio wanasheherekea kama paska. Ambayo n Leo jumapili, Kwa mjibu wa biblia jumapili ndio siku ya kwanza ya juma.
Mkuu Kuna version nyingi za biblia achana na hizi za kisasa. SEMA waafrica na WA bongo tupo wavivu kusoma Kuna makumi ya versions za bubble za kiethiopia Syria Iraq Iran kiyahudi kiothodox kama zote mkuuu tuendelee kubaki na version Chache kama ulioishika hapo mkuuu. Tusomeni maandiko mkuuuBiblia n Moja, hapana biblia ya mromani Wala msabato. Kutoka 20:01 linamuelekeza mwanadam kutokuabudu miungu, msalaba na Sanam ya bikra maria ni Moja wapo ya miungu.
Well, kama tunayaishi maandiko basi ni vyema tujue Sabato ya bwana ambayo ni cku ya kuabudu ni siku ya saba but Biblia haijasema siku ya saba ina jina gan lingine. Yaan kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna tafsir hiyo.Hatufati kalenda, tunafata biblia inasema nini
Kama unatumaini KRISTO hilo ndo neno kuuu shikilia hapo hapo usiache.Mzee nnachopinga ni neno ambalo halipo kweny maandiko!! Cna itikadi ya kidini btw siishi dini bali namtumaini Kristo hata kufa! Biblia Imesema waz tang kitabu cha mwanzo Imesema cku kwa hesabu ya namba yaan juma la kwanza mpaka juma la saba, sasa ijumaa imetoka wap? Je unaweza kunambia ni nani aliezipa majina hizi siku tulizonazo?
Ni sahihi kabisa.Kuna wakati, we just need to be proud of our faith. Binafsi sielewi kama WASABATO NI WAKRISTO KWELI AU SOME SORT OF A CULT? Ukienda India utakuta mchana kweupe watu wanatembeza barabarani Mungu Sanamu wao ma wako comfortable. They simply do not give a damn of your opinion or queries on your faith. Wakati mwingine tunapoteza muda kutaka kukidhi au kujibu maswali ya wale wanaokosoa imani yao kuliko kujibidisha kuelewa imagine yako na kuiishi.
Sasa hapa imekuja vzr sana.... Kama ni hivi bas tunafuata taratibu za kidunia. Kwa maana kweny maandiko hakuna majina ya cku tulizonazo, zaid san tumeambiwa cku ya kwanza hadi ya saba!!Alifufuka siku ya tatu baada ya kufariki siku ya IJUMAAA mkuu ACHA kuchanganya mambo basi juzi tuuu Dunia imeazimisha IJUMAAA kuu siku aliyokufa YESU Sasa baada ya siku ya tatu akafufuka. Mbona hesabu mdogo mkuuu inakupa shida kuing'amua.
Tofautisha siku ya tatu baada ya kufa na siku ya tatu ya wiki mkuu
Neno lipi haliko kwenye maandiko?Mzee nnachopinga ni neno ambalo halipo kweny maandiko!! Cna itikadi ya kidini btw siishi dini bali namtumaini Kristo hata kufa! Biblia Imesema waz tang kitabu cha mwanzo Imesema cku kwa hesabu ya namba yaan juma la kwanza mpaka juma la saba, sasa ijumaa imetoka wap? Je unaweza kunambia ni nani aliezipa majina hizi siku tulizonazo?
Roman catholic ni taasisi wewe na inakila maarifa unayoyojua hapa duniani leo ishindwe kujibu muhuni mmoja kutoka genge linalodanganya watu kuwa hata kunywa chai ya majani ya chai ni dhambi serious!, unless you are just kidding.Ukweli unauma, hawatajibu.
Wakijibu niite mbwaaa.Nimekuwa namsikiliza mhubiri mmoja nadhani ni msabato. Kila mara anarejea juu ya makanisa, anayosema ni waabudu Sanamu na wanaosali jumapili (akiita siku ya jua) badala ya sabato. Nadhani ni wakati muafaka wa kumjibu. Uongo ukirudiwa mara kwa mara wasikilizaji wanaweza kudhani ndiyo ukweli. Wajuzi wa mafundisho ya RC ni wakati sasa wa kujibu
Ijumaa, jmos, jpili j3Neno lipi haliko kwenye maandiko?