Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Amri yetu ya kwanza inasema msiabudu Miungu Mingine ....... if ya kwenu inasema msiabudu sanamu well msiabudu tuu hatuwaangilii
Biblia n Moja, hapana biblia ya mromani Wala msabato. Kutoka 20:01 linamuelekeza mwanadam kutokuabudu miungu, msalaba na Sanam ya bikra maria ni Moja wapo ya miungu.
 
 
Ctaki biblia yenye nyongeza na interest za wanadam!! Ishi humo!! Biblia ni moja hii ya zaman bas ingeandika hizi cku tulizonazo hata kwa kiebrania then zikitafsiriwa kwa kiswahili ningekuelewa!!
Vizuri sana ila hujanijibu swali YESU alifufuka siku gani mkuu. Naomba nisaidie jibu mkuu
 
Soma vizuri bila kuweka itikadi ya dini Yako, siku ya maandalio ya Sabato ambayo yesu alisulubiwa na kuuawa ni siku ipi? Wakristo wote wanatambua yesu aliuawa siku ya ijumaa. Ndio maana inaitwa ijumaa kuu na watu hawaruhusiwi kula nyama kama kumbukumbu ya kusulubiwa Kwa yesu kristo. Kwa mantiki hyo siku ya maandalio ya Sabato ni siku Moja kabla ya Sabato ya kweli yaani Jumamosi. Na katika kufa na kufufuka Kwa yesu, alikufa siku ya maandalio yaan ijumaa. Siku ya jumamos alipumzka kaburini hakufufuka, akaja kufufuka siku ya kwanza ya juma ambayo Leo wakristo wengi wasioujua ukweli ndio wanasheherekea kama paska. Ambayo n Leo jumapili, Kwa mjibu wa biblia jumapili ndio siku ya kwanza ya juma.
 
Cku ya tatu kwa mujibu wa biblia but kwa mujibu wa interest za watu cjui ni cku ipi!!
Alifufuka siku ya tatu baada ya kufariki siku ya IJUMAAA mkuu ACHA kuchanganya mambo basi juzi tuuu Dunia imeazimisha IJUMAAA kuu siku aliyokufa YESU Sasa baada ya siku ya tatu akafufuka. Mbona hesabu mdogo mkuuu inakupa shida kuing'amua.

Tofautisha siku ya tatu baada ya kufa na siku ya tatu ya wiki mkuu
 
Mzee nnachopinga ni neno ambalo halipo kweny maandiko!! Cna itikadi ya kidini btw siishi dini bali namtumaini Kristo hata kufa! Biblia Imesema waz tang kitabu cha mwanzo Imesema cku kwa hesabu ya namba yaan juma la kwanza mpaka juma la saba, sasa ijumaa imetoka wap? Je unaweza kunambia ni nani aliezipa majina hizi siku tulizonazo?
 
Biblia n Moja, hapana biblia ya mromani Wala msabato. Kutoka 20:01 linamuelekeza mwanadam kutokuabudu miungu, msalaba na Sanam ya bikra maria ni Moja wapo ya miungu.
Mkuu Kuna version nyingi za biblia achana na hizi za kisasa. SEMA waafrica na WA bongo tupo wavivu kusoma Kuna makumi ya versions za bubble za kiethiopia Syria Iraq Iran kiyahudi kiothodox kama zote mkuuu tuendelee kubaki na version Chache kama ulioishika hapo mkuuu. Tusomeni maandiko mkuuu
 
Hatufati kalenda, tunafata biblia inasema nini
Well, kama tunayaishi maandiko basi ni vyema tujue Sabato ya bwana ambayo ni cku ya kuabudu ni siku ya saba but Biblia haijasema siku ya saba ina jina gan lingine. Yaan kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna tafsir hiyo.
 
Kama unatumaini KRISTO hilo ndo neno kuuu shikilia hapo hapo usiache.
Ila nilichongamua Hadi Sasa hujajua siku ambayo huyo kristo alifufuka ikiijua basi hesabu zako zitakaa vizuri sana. Umebarikiwa na naomba ubarikiwe sana
 
Ni sahihi kabisa.

Wasabato kwa ujumla hawajiweki kwenye kundi la Wakristo. Siku za hivi karibuni ndiyo naona baadhi wakijitambulisha ni wakristo.
 
Sasa hapa imekuja vzr sana.... Kama ni hivi bas tunafuata taratibu za kidunia. Kwa maana kweny maandiko hakuna majina ya cku tulizonazo, zaid san tumeambiwa cku ya kwanza hadi ya saba!!
 
Neno lipi haliko kwenye maandiko?
 
Kwaiyo mnataka kumjibu kuwa mmeamua kuacha kuabudu sanamu?

Au Mimi ndo sijaelewa.
 
Ukweli unauma, hawatajibu.
Roman catholic ni taasisi wewe na inakila maarifa unayoyojua hapa duniani leo ishindwe kujibu muhuni mmoja kutoka genge linalodanganya watu kuwa hata kunywa chai ya majani ya chai ni dhambi serious!, unless you are just kidding.
 
Wakijibu niite mbwaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…