Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Kweli kisasi ni juu ya Mungu.

Lisu amekua kama Daud na Mfalme Sauli kwenye historia na simulizi za Biblia.
Mfalme Sauli na Serikali yake alijaribu Mara nyingi sana kumuua Daud kwa sababu tu ya kumuona kuwa ni tishio kwa ufalme wake.
 
Atashinda njaa
 
Uko sahihi 100% yaani mashangazi wa kusini wanamsubiri. Yeye amalize siku kwa kula mahindi barabarani
Jiwe kaharibu karibu kila sehemu! Kiburi chake kinaenda kumpa anguko kuu mwaka huu!
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Lissu huyhuyu Mwabudu Wakoloni na Wakenya. Akipata kura zaidi ya asilimia 7, nakuachia Nyumba Yangu iliyopo Mtaa wa Ufipa
 
We jamaa unachekesha sana. Yaani umejipinda wee kuja kuandika upumbavu wa bangi zako zinavyokutuma kichwani.
Mkuu hivi ni kundi lipi kwenye jamii linaweza mpigia kura jiwe?
 
JPM HATOBOI.
 
H
Mwana kujiji wa kule kilimarondo hiyo SGR na Flyover haoni umuhimu na havimsaidii kitu
Pia ujue huyo wa kijijini hajui maana ya uhuru wa kutukana, bali anajua watu lazima waheshimu viongozi,
Kwa hiyyo uhuru wenu wa kutukana haumsaidii, kwa sababu hajawahi kuzuiwa kufanya mambo yake huko kijijini,

bali alichoona ni kwamba kuna hospitali na maji umeme na elimu bure vimesogezwa kwake karibu.
Kwa hiyo atampigia mtu aliyemsogezea huduma.
 
Lissu akipata japo %5 ya kura zote basi ashukuru Mungu,hii nchi haiwezi ikakabidhiwa kwa watu wenye malengo binafsi,lissu huyu ni rais wa mitandaoni,na kama kura zungalipigwa mitandaoni jamaa angekuwa president lakini sasa uhalisia haiko hivyo,


Huku kijijini hakuna anayemjua lissu zaidi ni kuwa waanamini lissu ni ghaidi hivyo wananchi wanahofu kubwa huenda ughaidi ukatamalaki Tanzania sababu ya huyu lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…