Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

Hapa duniani hakuna watu wnaatukana kuliko wana lumumba ukiwemo na wewe hapo
 
Mkuu hivi ni kundi lipi kwenye jamii linaweza mpigia kura jiwe?
Makundi yote yatampigia kura JPM. Vijana, Kinamama, Kinababa, Walemavu na Wazee. Hawa wote maisha yao yameguswa na JPM katika za sekta za Afya, Elimu, Uchumi n.k. kundi ambalo linaweza lisipige kura ni lile la vijana wavuta bangi wa ufipa.
 
Hiyo ya kwako, na magufuri aliaminisha lowasa fisadi mpaka akamtengenezea mahakama ya mafisadi lkn sasa hv karudi, kampokea na wanakunywa wote kahawa imekaaje hiyo?
Umeonaeeeeee? Na hao hao mataga walio kuwa wanamtukana matusi kibao lowasa leo hii ndiyo wanamramba miguu
 
Lissu ndiyo rais wako wa awamu ya 6 maana watanzania woote wamesha amua hivyo. Kama hutaki kuongozwa na mh Lissu rudi kwenu Burundi.
 
Naomba baada ya matokeo ya uchaguzi uje na uzi mwingine tupate maoni yako.
 
Umesahau kuwa baada ya yeye kuvuruga sekta binafsi vijana wengi walipoteza nafasi za kazi na hakuna fao la kujitoa huko mifuko ya jamii...eti utapokea fao la kukosa ajira ambapo unapewa asilimia 30 ya mshahara wako kwa kipindi cha miezi sita...kinachobaki utapewa ukifikisha miaka 55...wizi mtupu....watu wana hasira nae balaa
 
Ingawa natamani kuamini kuwa tundu lissu atashinda, wasiwasi na walakini upo kutokana na suala la kuavert ugonjwa wa covid-19 hapa nchini na ukimya wa yule jamaa kule Twitter.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kiukweli upinzani ukijipanga vizuri unatoboa. Kuna kundi la wafanyabiashara wanavyosumbuliwa na mfumo wa kodi , wafanyakazi wa serikali ambao kwa miaka mitano hawajui nyongeza ya mshahara au kupandishwa madaraja, kuna waliolizwa na korosho zao, wanafunzi wa vyuo mikopo haieleweki, kuna wastaafu hawajapewa pesa zao kwa miaka sasa, kuna kanda zimegabuguliwa kwa makusudi, CCM yenyewe ina mipasuko, ajira kwa vijana hakuna . Upinzani ukifanyia kazi hizi hoja, naamini zinawagusa watanzania wengi na hivyo kwenye uchaguzi kazi itakuwa ni pevu haswa. Shida ya upinzani ni kuwa hata watu wakisema wampe TL uraisi, mawaziri watakuwa ni wapi??
 
Mh Lisu aliwahi kutuaminisha Lowasa ni fisadi lakini 2015, akampigia kampeni lowasa, imekaaje hiyo ?
Ni kwamba system ya utawala ni corrupt, hata wewe ukiwapo humo na ukakubali basi lazima nawe uwe kama wao! Yaani kwa kutoka umepata "escape velocity" inayokuwezesha kuwa salama, ukiamua!!
 
Jiandaeni kurudi kwenu Burundi
Sasa wewe endelea kuota!

Lisu mngekuwa mnampigia kura hapa jf na twiter angeshashinda!

Sasa uhalisia huku mitaani ni tofauti watu wana mahaba na JPM sijapata kuona,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…