Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

LIKUD tatizo lenu msioamini uwepo wa Mungu ni kuwa mnalazimisha MUNGU afanye mambo vile mnavyotaka ninyi....mnasahau kuwa MFALME HAPANGIWI NA MTUMWA WAKE.

MUNGU ndiye mfalme wa Ulimwengu mzima na sisi viumbe ni watumwa kwake. Tunatenda vile anavyotaka yeye na Hatendi mambo yake vile tunavyotaka sisi.

Sisi watumwa wa Mungu tunawajibika kwake kwa tunayoyatenda ila YEYE MUNGU haulizwi kwa anayoyafanya.

Ukishaelewa hii kanuni ya msingi basi mambo yote kuhusiana na Mungu huwa ni rahisi kueleweka.


MUNGU anasikia na anajibu maombi ya waja wake na vilevile yupo karibu sana na sisi...anasikia ,anajua na anatuona vilevile.


MUNGU ana elimu ya kila kitu anajua faida na hasara ya kila jambo, anajua maombi unayomuomba yana faida au hasara kwako. Mfano tu unaweza ukamuomba akupe mali nyingi mno uwe tajiri. Hapa Mungu anakusikia na anakujibu vilevile...ila Mungu anajua kuwa akikupa mali wewe fukara LIKUD kwa wakati huo utakuja kufanya kufuru za ajabu,utatesa watu,utaua,utadhulumu haki za wenzio n.k kwahiyo anaamua kukujibu kwa kuchelewesha kukupa pesa katika ujana wako badala yake anakuja kukupa uzeeni kwako....au badala ya kukupa pesa ambazo zitakuja kukudhuru anaamua akupe afya njema ili uendelee kumshukuru au anakuepushia majanga mengine ambayo yangekuja kukupata endapo angekupa ukwasi mkubwa

Hivyo MUNGU anaweza akajibu maombi yako

papo kwa papo,

au akakucheleweshea kile ulichokiomba,

au

Akakupa bora ya kile ulichokiomba kwa wakati ule.

Au

Akakuepusha na mabalaa ambayo yangekupata baada ya kukupa kile ulichokiomba


Au

Vilevile

Akachelewesha kukupa kile ulichokiomba hapa duniani akaja kukupa malipo yake katika siku ya Hukumu ili yakusaidie kukuvusha kuingia Peponi katika siku ya hesabu.


Hivyo MUNGU HAPANGIWI ILA ANAPANGA VILE ANAVYOTAKA YEYE KUTOKANA NA ELIMU NA HEKIMA ZAKE.
 
Hajalazimisha mtu amuamini katoa maoni yake.
 
Hakujawahi kuwa na Atheist kama wangdkuwepo wangekuwa ni wengi mpaka sasa.

Idea imeanzishwa na wazungu ,waliomini kweny mizimu sio atheist kwa maana idea ya Atheist haikuwepo
Vipi kuhusu Biblia iliyoandika Zaburi na yenyewe imedanganya..
Maana Zaburi pia Waislamu wanaiamini
 
Hakujawahi kuwa na Atheist kama wangdkuwepo wangekuwa ni wengi mpaka sasa.

Idea imeanzishwa na wazungu ,waliomini kweny mizimu sio atheist kwa maana idea ya Atheist haikuwepo
Hiki nimeshalijibu kwenye post za nyuma pia kutokuwepo wengi ni kwa sbabu gani na hata hivyo Wingi wa Watu haujustify kwamba ni bora kuliko wengine..

Kwa mfano Ukristo kwa sasa una watu wengi kuliko uislamu..
Kwahyo ukristo ni dini Bora kuliko waislamu??
 
Komenti bora ya Karne. Mkuu umeitendea haki title yako ya U Dr.
 
Watu wengi kwa upnde gani ? Dini inayoongoza mashariki ya kati ndio dini kubwa sio kwa wazungu.

Nimesoma research mwaka jana kwamba waislamu walifikq zaidi ya billion 2 na kitu ,mwaka huu nimesoma eti wapo billion na million 8 ... Takwimu hazina ukweli.

Kioo cha dini ni mashariki ya Asia haswa mashariki ya kati.
 
Kwenye Qur'aan kubeti ni dhambi..

Kilaza mmoja wewe
 
Kuamini kweny upinde napo ni dini kweli?
Mada inahusu mungu, unaleta habari za upinde.

Ina onekana unafukunyuliwa huko nyuma.

Habari hizi za upinde unapenda kutaja taja sana.

Ushapotezwa marinda wewe...
 
Nazidi kujifunza mkuu
 
Na nimewahi fanya vitu na kuviendesha viumbe wewe huvioni wala huvisikii kwa uwezo na maombi ya Mungu.
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Mungu anajibu sema wew ndio akujibu.Sijui kuhusu ukristo ila kwenye uislam i mean qur an mungu ansema NIOMBENI NITAKUJIBUNI sas sijui umekitoa wap hicho ulichosema kuwa mungu anasema hajibu maombi
 
Ewe mchawi, acha mara Moja kulitumia Jina la Mungu Kwa faida zako.

Mungu anajibu maombi, wasiojibiwa wanaomba vibaya ili kutimiza tamaa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ