Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

LIKUD tatizo lenu msioamini uwepo wa Mungu ni kuwa mnalazimisha MUNGU afanye mambo vile mnavyotaka ninyi....mnasahau kuwa MFALME HAPANGIWI NA MTUMWA WAKE.

MUNGU ndiye mfalme wa Ulimwengu mzima na sisi viumbe ni watumwa kwake. Tunatenda vile anavyotaka yeye na Hatendi mambo yake vile tunavyotaka sisi.

Sisi watumwa wa Mungu tunawajibika kwake kwa tunayoyatenda ila YEYE MUNGU haulizwi kwa anayoyafanya.

Ukishaelewa hii kanuni ya msingi basi mambo yote kuhusiana na Mungu huwa ni rahisi kueleweka.


MUNGU anasikia na anajibu maombi ya waja wake na vilevile yupo karibu sana na sisi...anasikia ,anajua na anatuona vilevile.


MUNGU ana elimu ya kila kitu anajua faida na hasara ya kila jambo, anajua maombi unayomuomba yana faida au hasara kwako. Mfano tu unaweza ukamuomba akupe mali nyingi mno uwe tajiri. Hapa Mungu anakusikia na anakujibu vilevile...ila Mungu anajua kuwa akikupa mali wewe fukara LIKUD kwa wakati huo utakuja kufanya kufuru za ajabu,utatesa watu,utaua,utadhulumu haki za wenzio n.k kwahiyo anaamua kukujibu kwa kuchelewesha kukupa pesa katika ujana wako badala yake anakuja kukupa uzeeni kwako....au badala ya kukupa pesa ambazo zitakuja kukudhuru anaamua akupe afya njema ili uendelee kumshukuru au anakuepushia majanga mengine ambayo yangekuja kukupata endapo angekupa ukwasi mkubwa

Hivyo MUNGU anaweza akajibu maombi yako

papo kwa papo,

au akakucheleweshea kile ulichokiomba,

au

Akakupa bora ya kile ulichokiomba kwa wakati ule.

Au

Akakuepusha na mabalaa ambayo yangekupata baada ya kukupa kile ulichokiomba


Au

Vilevile

Akachelewesha kukupa kile ulichokiomba hapa duniani akaja kukupa malipo yake katika siku ya Hukumu ili yakusaidie kukuvusha kuingia Peponi katika siku ya hesabu.


Hivyo MUNGU HAPANGIWI ILA ANAPANGA VILE ANAVYOTAKA YEYE KUTOKANA NA ELIMU NA HEKIMA ZAKE.
 
Mbona kama unalazimisha watu waamini unachotaka , wewe una kitu gani mpaka watu wakuamini unayosem?

Mpaka unakufa hakuna mtu anafuata upuuzi wako.

Mwenye akili hutoa elimu ,sasa wewe unapigia debe imani yako ,ukiulizwa maswali utakimbia ndip tatizo lenu bado mko wachache kw vile hamna ushawishi.
Hajalazimisha mtu amuamini katoa maoni yake.
 
Hakujawahi kuwa na Atheist kama wangdkuwepo wangekuwa ni wengi mpaka sasa.

Idea imeanzishwa na wazungu ,waliomini kweny mizimu sio atheist kwa maana idea ya Atheist haikuwepo
Vipi kuhusu Biblia iliyoandika Zaburi na yenyewe imedanganya..
Maana Zaburi pia Waislamu wanaiamini
 
Hakujawahi kuwa na Atheist kama wangdkuwepo wangekuwa ni wengi mpaka sasa.

Idea imeanzishwa na wazungu ,waliomini kweny mizimu sio atheist kwa maana idea ya Atheist haikuwepo
Hiki nimeshalijibu kwenye post za nyuma pia kutokuwepo wengi ni kwa sbabu gani na hata hivyo Wingi wa Watu haujustify kwamba ni bora kuliko wengine..

Kwa mfano Ukristo kwa sasa una watu wengi kuliko uislamu..
Kwahyo ukristo ni dini Bora kuliko waislamu??
 
Dini haziluenezwa kwa Maridhiano ya Mezani!
Watu wengi wamepoteza maisha zaidi ya watu mamilioni..

Kwa wakristo Dini zimeenezwa in the name of Crusades and War na Heresy killing through burning people alive..and Empire Creation na kuweka sheria za kanisa kuwa Ndiyo kipimo cha maadili na sheria za kiutawala...

Kwa Waislamu It was through Jihad and Empire Creation ma kuziweka Sheria za Dini kuwa kipimo.cha maadili na sheria za kiutawala..

Kwahyo wengi waliamua kusali/Kuswali kuhofia maisha Yao na hasa kufa,Kunyongwa au kuchomwa moto.hadharani...

Nakupa mifano ya kidini kwanza!

Kipindi cha Musa, Musa alikuja na sheria na Amri akasema yoyote asiyeshika Sheria hizi atauwawa na kuuliwa na watu aisha kwa kupondwa na mawe au kupewa adhabu yoyote..
na waliokuwa hawaishiki kiukweli waliuliwa!..

swali ni kuwa unafikiri Nani angeendelea kuamini anachokiamini wakati usalama wa Maisha yake upo hatarini?

Kipindi cha mtume..Baada ya watu wasioshika Dini walikuwa wakipatiwa adhabu kali sana..

Na ndo maana Mtume anakiri Kuwa kulikuwa na wanafiki katika Dini..Unafikiri kwa sababu gani?

Unafiki unakuja pale mtu anapoogopa Adhabu ila ndani ya moyo wake hayupo pamoja na nyinyi...

Nataka nikupe mfano mwingine..

Chukulia sasa Hivi nikuulize wewe ni kabila gani utanitajie lile babu yako alilokuwa nalo ila babu yako na babu yako hujui alikuwa ni kabila gani na ukitrace kabila lake utakuta kuwa Kabila hilo alijipachika baada ya kufika maeneo hayo na kukaa kwa muda mrefuu..

Sasa hapo naamaanisha nini Kwakuwa wale atheists waliopinga ,walizaa watoto na watoto wao waliwakuta wazazi wao wakibehave Unafiki kwa kusali na wao pia waliamini wazazi wao wanasali..
Na wao wakarithisha kusali kwa watoto wao bila kuuliza wala kuhoji..

Na hivyo ndivyo dini ilivyosambaaa..
Na kuhofia Upoteaji wa Dini..

Ndipo ikaanzishwa Hofu ya KUCHOMWA moto kwa wanaotenda Dhambi kitu ambacho kabla ya hapo hakikuwepo..

Ukienda kwa Wayahudi hakuna Theology ya Kuwa kuna siku ya Hukumu watu watachukuliwa na kuuliwa na watu watapelekwa motoni wwngine peponi...

Kwa maelezo hayo mafupi ni kwamb Dini ni mfumo wa Kurithishana kutoka kizazi Kilichokuwa na uoga kuja kizazi chetu bila kuchunguza ukweli walioturithisha kama ulikuwa ni code au Ni maneno ya Hadithi!
Komenti bora ya Karne. Mkuu umeitendea haki title yako ya U Dr.
 
Hiki nimeshalijibu kwenye post za nyuma pia kutokuwepo wengi ni kwa sbabu gani na hata hivyo Wingi wa Watu haujustify kwamba ni bora kuliko wengine..

Kwa mfano Ukristo kwa sasa una watu wengi kuliko uislamu..
Kwahyo ukristo ni dini Bora kuliko waislamu??
Watu wengi kwa upnde gani ? Dini inayoongoza mashariki ya kati ndio dini kubwa sio kwa wazungu.

Nimesoma research mwaka jana kwamba waislamu walifikq zaidi ya billion 2 na kitu ,mwaka huu nimesoma eti wapo billion na million 8 ... Takwimu hazina ukweli.

Kioo cha dini ni mashariki ya Asia haswa mashariki ya kati.
 
Kwenye Qur'aan kubeti ni dhambi..

Kilaza mmoja wewe
Kwakuwa umemdhihaki mwenyez Mungu tena kwenye mwezi mtukufu...... Wacha nikuthibitishie kwamba Dua zetu huwa zinajibiwa
Halafu mwisho utajua Kati yetu sisi na wewe nani anaabudu sanamu.

Can u bet?.... (Kwamba uumwe miezi mitatu bila kutoka ndani kwanzia ijumaa)
Halafu hata uende India huponi, ila tiba yako n ukisomeshwa shahada unapona hapohapo!!

Fanya maamuz haraka, am waiting....
 
Kuamini kweny upinde napo ni dini kweli?
Mada inahusu mungu, unaleta habari za upinde.

Ina onekana unafukunyuliwa huko nyuma.

Habari hizi za upinde unapenda kutaja taja sana.

Ushapotezwa marinda wewe...
 
Nafikiri Nilikupa maana ya Atheist, na nikakuambia kuwa Atheists wana utofauti na Agnosis na Ignosis..

atheist ni watu wanaosema Kuwa hakuna Mungu "Hawa ndiyo Atheists"

Kwa kukuonyesha Hiki kitu "atheists kilikuwepo toka zamani"
Ukisoma Zaburi iliyoandikwa na Mfalme Daudi au NABII Daudi..

Zaburi 14:1 pia na Zaburi 53:1

"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema."

HIi inaonyesha kuwa Idadi ya watu waliokuwa wakipinga Uwepo wa Mungu ilikuwepo hata kipindi cha Daudi..


uko sahihi kabisa kuwa si rahisi kutawala kwa mabavu na utawala ule ukaendelea..
Na ndo Maana Roman Empire pamoja na Islamic empire zilianguka..

Ila lilikuwa ni fundisho kubwa kwao kuwa Kutumia Mabavu hupitwa na wakati hivyo Rasmi wakaanza kutumia Mind/Psychs..

Kwa kucheza na uoga wa watu kuwaaminisha vitu na kuwapotosha kuhusu baadhi ya bitu ba historia..


Dini zote hazijatoka Mashariki au Bara la Asia..
Ukristo umetoka Magharibi (Rome)..
Orthodox ilisambaa kwa kasi Asia
Uyahudi umetoka Mashariki (Asia)..
Uislamu umetoka Mashariki (Asia)...

Kwanini Dini Nyingi zimetoka Mashariki ni kwa sababu Mashariki (Asia) kuna Ancenstory history nyingi sana Kuna deity wengi sana na kuna Miungu Mingi sana..kuliko Sehemu zingine..
Sumeriani kulikuwa na miungi zaidi ya 1000, Uyahdu walikuwepo si chini ya 300, Wahindu wapo si chini ya 100, kwa Waarabu walikuwpo.si Chini ya Watatu so nafikiri nimejaribu kujibu..
Nazidi kujifunza mkuu
 
Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu.

Kwani ibada ya sanamu nini?

Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini?

Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo golini kuna kipa ambae hatimizi majukumu yake kama kipa. Kipa kazi yake ni kuokoa mipira yote inayo elekezwa golini kwake. Ila kama kipa huyu hadaki magoli yanafungwa tu haokoi wala nini basi watu watasema golini kuna sanamu.

Ni sawa na wanapo sema "Huyu jamaa ni baba au sanamu la baba?" Wana maanisha ni baba ambae hatimizi majukumu yake.

Vivyo hivyo kwa habari ya ibada ya sanamu.

Ibada ya sanamu ni nini sasa?

Ibada ya sanamu ni ibada yoyote ile ambayo Mungu/muungu anae ombwa hatoi majibu.

Ibrahimu alivyo yaharibu masanamu ya mababu zake alifanya hivyo sio kwa sababu yale walikuwa ni masanamu la hasha ila alifanya hivyo kwa sababu masanamu yale yalikuwa hayatoi majibu ya maombi ndio maana akaenda kuyacharaza mapanga kwa Hasira.

Kama masanamu yale ya miungu ya mababu zake yangekuwa yanatoa majibu basi Ibrahim asinge thubutu hata kunyoosha mkono wake kuyakata. Yani asinge thubutu hata kujifanya kama anajikuna.

Wakristu na waislamu na ibada ya sanamu.

Ukweli ni kwamba Asilimia kubwa ya wakristu na waislamu wengi duniani hufanya ibada za sanamu. Kwa sababu hufanya ibada zisizo na majibu. Sanamu lina masikio lakini halijibu na lina macho lakini halioni. Vivyo hivyo Mungu (wa Wakristu na Waislamu) anasikia maombi yote wanayo muomba watu wake lakini huwaga hajibu na ana ona mambo yote mabaya wanayo tendewa watu wake lakini haintervene. Anayaacha yaendelee kutokea hivyo hivyo licha ya yeye kuwa na uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Ndio maana kwa wakristu na waislamu mtu akifanya maombi halafu yakajibiwa majibu hayo huitwa muujiza. Muujiza ni jambo ambalo sio la kawaida. Yesu alipo tembea juu ya maji uliitwa muujiza kwa sababu sio kawaida kwa mtu kutembea juu ya maji.

So maombi yanayo jibiwa na Mungu wa wakristu na waislamu huwaga yanaitwa muujiza kwa sababu sio kawaida Mungu kujibu maombi..

Hata wakristu na waislamu ndani ya nafsi zao huwaga wanajua kabisa kwamba Mungu huwaga hajibu maombi yao. Ndio maana wengi wao huenda kwa waganga kutafuta majibu ya maombi yao.

Wakristu na Waislamu wana amini Mungu anayaona zaidi madhambi yao kuliko maombi yao. Ndio maana mkristu au muislamu akitenda dhambi anakuwa na uhakika kabisa Mungu kamuona na anakuwa na ile kitu inaitwa Guilty conscious kwa sababu anajua Mungu kamuona . Lakini akifanya maombi yake anakuwa hana imani kama Mungu kayasikia na kwamba atamjibu.

Ndio maana hata kwenye Uzi wangu huu wakristu na waislamu watakuja ku comment hapa kwamba Mungu ataniadhibu kwa kuwa ninakufuru ila ningeandika Uzi nikisema nataka nifunge nimuombe Mungu awafanye watu wote duniani waache dhambi basi wakristu na waislamu hao watakuja kunidhihaki hapa kwa sababu wanajua Mungu hatonijibu kwa maana wanajua Mungu huwa hajibu maombi ya watu.

Bahati nzuri vitabu vya dini zote mbili vimeshaweka wazi kabisa kwamba Mungu huwa hajibu maombi ya watu..

Tufanye nini sasa ee rabbi? Vunja masanamu (Vunja connection na Mungu asie jibu maombi yako na anza sasa kumtafuta Mungu mwenye kujibu maombi yako. Acha ibada ya sanamu sasa)
Mungu anajibu sema wew ndio akujibu.Sijui kuhusu ukristo ila kwenye uislam i mean qur an mungu ansema NIOMBENI NITAKUJIBUNI sas sijui umekitoa wap hicho ulichosema kuwa mungu anasema hajibu maombi
 
Ewe mchawi, acha mara Moja kulitumia Jina la Mungu Kwa faida zako.

Mungu anajibu maombi, wasiojibiwa wanaomba vibaya ili kutimiza tamaa zao.
 
Back
Top Bottom