Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
LIKUD tatizo lenu msioamini uwepo wa Mungu ni kuwa mnalazimisha MUNGU afanye mambo vile mnavyotaka ninyi....mnasahau kuwa MFALME HAPANGIWI NA MTUMWA WAKE.
MUNGU ndiye mfalme wa Ulimwengu mzima na sisi viumbe ni watumwa kwake. Tunatenda vile anavyotaka yeye na Hatendi mambo yake vile tunavyotaka sisi.
Sisi watumwa wa Mungu tunawajibika kwake kwa tunayoyatenda ila YEYE MUNGU haulizwi kwa anayoyafanya.
Ukishaelewa hii kanuni ya msingi basi mambo yote kuhusiana na Mungu huwa ni rahisi kueleweka.
MUNGU anasikia na anajibu maombi ya waja wake na vilevile yupo karibu sana na sisi...anasikia ,anajua na anatuona vilevile.
MUNGU ana elimu ya kila kitu anajua faida na hasara ya kila jambo, anajua maombi unayomuomba yana faida au hasara kwako. Mfano tu unaweza ukamuomba akupe mali nyingi mno uwe tajiri. Hapa Mungu anakusikia na anakujibu vilevile...ila Mungu anajua kuwa akikupa mali wewe fukara LIKUD kwa wakati huo utakuja kufanya kufuru za ajabu,utatesa watu,utaua,utadhulumu haki za wenzio n.k kwahiyo anaamua kukujibu kwa kuchelewesha kukupa pesa katika ujana wako badala yake anakuja kukupa uzeeni kwako....au badala ya kukupa pesa ambazo zitakuja kukudhuru anaamua akupe afya njema ili uendelee kumshukuru au anakuepushia majanga mengine ambayo yangekuja kukupata endapo angekupa ukwasi mkubwa
Hivyo MUNGU anaweza akajibu maombi yako
papo kwa papo,
au akakucheleweshea kile ulichokiomba,
au
Akakupa bora ya kile ulichokiomba kwa wakati ule.
Au
Akakuepusha na mabalaa ambayo yangekupata baada ya kukupa kile ulichokiomba
Au
Vilevile
Akachelewesha kukupa kile ulichokiomba hapa duniani akaja kukupa malipo yake katika siku ya Hukumu ili yakusaidie kukuvusha kuingia Peponi katika siku ya hesabu.
Hivyo MUNGU HAPANGIWI ILA ANAPANGA VILE ANAVYOTAKA YEYE KUTOKANA NA ELIMU NA HEKIMA ZAKE.