Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Si ufanye hizo ibada 😅😅tatizo lako unakosoa ya wengine .Hizo ndo ibada za ukweli ambazo akina Accumen Mo hawazitaki wanaziita haramu eti
We mwehu sema baadhi sio wote ulihoji watu wote wa dini dunia nzima kufikia hiyo conclusion kuwa watu wote wa dini wanaomba Mungu miaka yote na hawapati majibu mwehu wewe
Wahi hospitali ya vichaa mirembe update tiba mapema muda si mrefu utatupa nguo na kutembea uchi barabarani ,kichaa kinakunyemelea
Mstari gani huo uwekeBasi alieandika Biblia ndio atakuwa mwehu kwa sababu kwenye Biblia ndo imeandikwa Mungu huwa hajibu maombi ya watu.
Aisome Accumen MoMtoa hoja asikilizwe, kama unachoabudu hakina uwezo wa kukujibu/hakijibu maombi yako, kaa utafakari upya.
Sio wote hapa duniani wanaabudu MUNGU wa kweli pamoja na kwamba asilimia kubwa ya watu duniani wana dini zao wanazozifuata pamoja na MUNGU/mungu wao.
Kama unachoabudu na kuomba kila siku hakijibu maombi yako, moja kwa moja unaabudu sanamu, hivyo acha insanity
LIKUD
Lete hiyo verseBasi alieandika Biblia ndio atakuwa mwehu kwa sababu kwenye Biblia ndo imeandikwa Mungu huwa hajibu maombi ya watu.
Ndugu muandishi nakuombea kizazi chako chote kiteketee na ukigededa uaizalishe ili usiendelee kuongeza vilaza kama Wewe humu dunianiHata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu.
Kwani ibada ya sanamu nini?
Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini ?
Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo golini kuna kipa ambae hatimizi majukumu yake kama kipa. Kipa kazi yake ni kuokoa mipira yote inayo elekezwa golini kwake. Ila kama kipa huyu hadaki magoli yanafungwa tu haokoi wala nini basi watu watasema golini kuna sanamu.
Ni sawa na wanapo sema " Huyu jamaa ni baba au sanamu la baba?" Wana maanisha ni baba ambae hatimizi majukumu yake.
Vivyo hivyo kwa habari ya ibada ya sanamu.
Ibada ya sanamu ni nini sasa?
Ibada ya sanamu ni ibada yoyote ile ambayo Mungu/muungu anae ombwa hatoi majibu.
Ibrahimu alivyo yaharibu masanamu ya mababu zake alifanya hivyo sio kwa sababu yale walikuwa ni masanamu la hasha ila alifanya hivyo kwa sababu masanamu yale yalikuwa hayatoi majibu ya maombi ndio maana akaenda kuyacharaza mapanga kwa Hasira.
Kama masanamu yale ya
miungu ya mababu zake yangekuwa yanatoa majibu basi Ibrahim asinge thubutu hata kunyoosha mkono wake kuyakata. Yani asinge thubutu hata kujifanya kama anajikuna..
Wakristu na waislamu na ibada ya sanamu.
Ukweli ni kwamba Asilimia kubwa ya wakristu na waislamu wengi duniani hufanya ibada za sanamu. Kwa sababu hufanya ibada zisizo na majibu. Sanamu lina masikio lakini halijibu na lina macho lakini halioni. Vivyo hivyo Mungu ( wa wakristu na waislamu) anasikia maombi yote wanayo muomba watu wake lakini huwaga hajibu na ana ona mambo yote mabaya wanayo tendewa watu wake lakini haintervene. Anayaacha yaendelee kutokea hivyo hivyo licha ya yeye kuwa na uwezo wa kuyazuia yasitokee.
Ndio maana kwa wakristu na waislamu mtu akifanya maombi halafu yakajibiwa majibu hayo huitwa muujiza. Muujiza ni jambo ambalo sio la kawaida. Yesu alipo tembea juu ya maji uliitwa muujiza kwa sababu sio kawaida kwa mtu kutembea juu ya maji.
So maombi yanayo jibiwa na Mungu wa wakristu na waislamu huwaga yanaitwa muujiza kwa sababu sio kawaida Mungu kujibu maombi..
Hata wakristu na waislamu ndani ya nafsi zao huwaga wanajua kabisa kwamba Mungu huwaga hajibu maombi yao. Ndio maana wengi wao huenda kwa waganga kutafuta majibu ya maombi yao.
Wakristu na waislamu wana amini Mungu anayaona zaidi madhambi yao kuliko maombi yao. Ndio maana mkristu au muislamu akitenda dhambi anakuwa na uhakika kabisa Mungu kamuona na anakuwa na ile kitu inaitwa Guilty conscious kwa sababu anajua Mungu kamuona . Lakini akifanya maombi yake anakuwa hana imani kama Mungu kayasikia na kwamba atamjibu.
Ndio maana hata kwenye Uzi wangu huu wakristu na waislamu watakuja ku comment hapa kwamba Mungu ataniadhibu kwa kuwa ninakufuru ila ningeandika Uzi nikisema nataka nifunge nimuombe Mungu awafanye watu wote duniani waache dhambi basi wakristu na waislamu hao watakuja kunidhihaki hapa kwa sababu wanajua Mungu hatonijibu kwa maana wanajua Mungu huwa hajibu maombi ya watu...
Bahati nzuri vitabu vya dini zote mbili vimeshaweka wazi kabisa kwamba Mungu huwa hajibu maombi ya watu..
Tufanye nini sasa ee rabbi? Vunja masanamu( Vunja connection na Mungu asie jibu maombi yako na anza sasa kumtafuta Mungu mwenye kujibu maombi yako. Acha ibada ya sanamu sasa)
Unataka uthibitisho wa kisicho kuwepo ilhali wewe huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayesema yupo.Ungeishia kwenye maelezo yako ya mwanzo ningekujibu hoja with vividly. Ila kwa hichi ulichoandika hapa inaonyesha hunanuwezo wa kuhimili majibu yangu.
Wewe ndie umetoa mawazo ya kufikirika kama abunuwasi, mimi bado sijasema chochote zaidi ya kukutaka uthibitishe kauli yako, umeshaji defend kwa kuwa huna hoja.
Mstari gani huo uweke
Hujui hata maana ya Atheist.Hawa ni atheist wanalazimisha watu kufauta mawazo yao ,they are fully doubting themselves
Kiufupi hawajiamini kutwa kukandia dini ,kujiona bora ila wanaongoza kwa kujiua duniani 😅😅
Mungu huyo amendikwa kwenye Biblia kwenye kitabu cha MHUBIRI 10:19.Je ni mungu yupi wa kweli unaetaka afatwe na anaejibu maombi ya wanadamu. Guide me.
Neno insanity unajua maana yake ? Umeandika hapo au kingereza kilikuja kwa meli
Unathibitisha vipi Mungu wako unaye muabudu wewe ni wa kweli?Mtoa hoja asikilizwe, kama unachoabudu hakina uwezo wa kukujibu/hakijibu maombi yako, kaa utafakari upya.
Sio wote hapa duniani wanaabudu MUNGU wa kweli pamoja na kwamba asilimia kubwa ya watu duniani wana dini zao wanazozifuata pamoja na MUNGU/mungu wao.
Kama unachoabudu na kuomba kila siku hakijibu maombi yako, moja kwa moja unaabudu sanamu, hivyo acha insanity
LIKUD
Ili kujua kama unachoomba/kuabudu sio sanamu, lazima upate majibu/matokeo ya kile uombacho.Unathibitisha vipi Mungu wako unaye muabudu wewe ni wa kweli?
Na Mungu anaye abudiwa na watu wengine si Mungu wa kweli?
Unathibitisha vipi Mungu anajibu maombi?
Na unathibitisha vipi Mungu huyo asiye wa kweli hajibu maombi ya hao wanao mwabudu?