Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Kataa ndoa vs kubali ndoa
4-2
Livescore
Hapana Ni
4 - 3
Nakwambia hivi, Kataa ndoa karibu tunatwaa ubingwa humu jukwaani.

JF Champions League🏆

Kataa ndoa: 4 Vs Kubali ndoa: 0
Nawahurumia Sana vijana wadogo mnaochotwa na mkumbo wa kataa ndoa. Kwa kua mmekubali kua "Sehem ya mwanzo ya mabadiriko" basi hamna budi kuumia Sana.
 
Mkuu, umeongea kila kitu kuhusu wanawake..Wakipendwa hawapendeki[emoji23], usipowapenda wanapenda[emoji23]...Sema ndo ile ulichonacho unakiona cha nini! Ambacho hauna unakitamani(ukikipata unakiona tena cha nini!)[emoji23]
 
Mkuu angalia usije potezwa marinda.

Una furahi kula ex wako, mke wa mjeda?

Siku uki shikwa huyo ex wako atakuruka futi mia mbili...

Atadai hakujui kabisa kwamba ulimfosi na ukambaka, wakati alikupa mwenyewe.
 
Daah, my thoughts exactly !! [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji28]

Nina mke huu mwaka wa 7, na watoto watatu juu, ila i will never give her a guarantee ya ndoa kanisani, never, i always keep her on edge, kwamba akizingua anakwenda na maji...
Hahhahaahha...usimfanyie hivyo mtoto wa watu mkuu, wengine wastaarabu.
 
Hujawahi ishi nchi za ulaya ambazo mwanamke amepewa full mandate na sheria ina mlinda hata kwenye makosa.

Nakwambia hivi ni hatari sana.

Nchi kama Ujerumani na USA ukimpiga mwanamke hata kofi akaita polisi umekwisha...

Mwanamke akipewa uhuru hamna rangi utaacha kuona.
 
Dah!...unatutisha kiongozi

Hutishwi!! Mwanamke kabla hajaingia kwenye mahusiano atakuambia anahitaji gentleman (love and care)! Believe me ukiishi kwa kumpa mwanamke love and care wewe ndiyo utakuwa unalia daily!!

Mwanamke anahitaji kashkash, mikwara kidogo, sauti nzito kidogo, matukio kidogo japo asipate ushahidi wa 100% ila awe na uhakika nikizingua nasepa!!

Itaishi kwa raha na heshima siku zote!! Kukuthibitishia hili angalia ndoa zenye makashkash huwa zinadumu sana, halafu zile ndoa za kufunguliana milango ya magari na kupeana mabusu hadharani huwa!! Zinapotelea kusiko eleweka!!
 
Mkuu MUNGU hakosolewi!!
Tena hata usimuingize hapa

Feminist-super woman
Na tule tuvikundi twao ndio shida ilipo
Wale wamefanya mwanamke asahau wajibu wake na sio mungu

Zamani ndoa zilidumu sana
Mambo haya hayakuepo
Je wale wa zamani waliumbwa na naniu
Ila kuna videmu vingine vikijua kua wwe hutowi pesa yako hadi ugonge,lazima kalazimishe kukuletea mbunye ugonge alafu ukatowe na mshiko,wanawake wanauza k kwa style nyingi sana! Mwanamke ndiyo Msanii no moja kwenye Mapenzi!!
umemaliza mkuu
 
Hapana Ni
4 - 3

Nawahurumia Sana vijana wadogo mnaochotwa na mkumbo wa kataa ndoa. Kwa kua mmekubali kua "Sehem ya mwanzo ya mabadiriko" basi hamna budi kuumia Sana.
Una elewa maana ya ndoa?

Kuishi na mwanamke si lazima ufunge naye ndoa.

Kataa ndoa si kukataa wanawake, Ni kukataa kufunga ndoa na mwanamke.

Watu wameishi, wanaishi na wake bila ndoa vizuri tu.

Ukisha funga ndoa unapoteza mamlaka yako kama mwanaume maana sheria ina mlinda mwanamke kwa lolote.
 
Ahsante sana kutukana vizazi vya babu zangu, babu zako na babu za kila mtu humu kwasababu hawakuwa wanaume halisi kwasababu waliamua kuoa.

Ukichana na hilo, vingine vyote ulivosema naunga mkono hoja.
 
Mkuu angalia usije potezwa marinda.

Una furahi kula ex wako, mke wa mjeda?

Siku uki shikwa huyo ex wako atakuruka futi mia mbili...

Atadai hakujui kabisa kwamba ulimfosi na ukambaka, wakati alikupa mwenyewe.
mkuu kuna wanawake wasumbufu sana.ila okay anyway nimeacha mkuu sababu bado nayapenda marinda yangu.
 
Achana na nchi za ulaya sisi tupo bongo bwana,niambie wewe mfumo dume ni suluhisho la ndoa?
 
Huyo anaepeleka pochi polisi hajaufata Uislam.

Hiyo Kiislam inaitwa "luqatah" na ina namna zake zimeainishwa kikamilifu na muda wake maalum wa kukaa nazo kabla hazijawa zako.

Ukimuona Muislam anapeleka mali ya kuokota polisi huyo ni mtenda mema asiyeelewa hukumu zake Kiislam.

Ndiyo maana Uislam unasisitiza "soma". Usiifate jamii ukadhani kuwa ipo sawa kwa kila walifanyalo.
 
So Mkuu kwa mfano hiyo pochi we ukiiokota utapeleka? Au utasubiri watangaze walioiokota?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…