My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Hapana NiKataa ndoa vs kubali ndoa
4-2
Livescore
4 - 3
Nawahurumia Sana vijana wadogo mnaochotwa na mkumbo wa kataa ndoa. Kwa kua mmekubali kua "Sehem ya mwanzo ya mabadiriko" basi hamna budi kuumia Sana.Nakwambia hivi, Kataa ndoa karibu tunatwaa ubingwa humu jukwaani.
JF Champions League🏆
Kataa ndoa: 4 Vs Kubali ndoa: 0