Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Kwani kuna sehemu mtoa mada kasema tuwa treat?
Samahani kama nimekukwaza kwa kukuuliza mkuu
 
Yani inashangaza sana kwahiyo wewe unayemshawishi huna makosa ila yeye anayekubali ndio ana makosa, kuna wanaume sijui reasoning yenu ikoje asee kwanini hicho kitendo mfanye wote halafu mmoja ndio awe na makosa, wewe kama kweli unapenda hayo maadili ungeachana naye vinginevyo msilalamike sababu wa kwanza kuyavunja hayo maadili ni nyie
 
Mkuu mbona umekazania Ulaya na USA wakati wewe ni mwafrika kwani umelazimishwa uoe huko, na kumbe mnajua kwamba kwenye shida ni huko kwa wazungu sasa mbona mnainclude wanawake wote hadi wa kiafrika wakati mnajua kabisa wanawake wa huku sheria haziwalindi na bado mnawaonea, umesema kwamba kwa afrika oppressers wengi ni wanaume sasa mbona bado hata wanaume wa huku nao wanalalamika
 
Kuna mtu kaandika matumizi ya mafuta ya karafuu alafu kafuta uzi. Naomba aandike tena, nina maswali ya kumuuliza.
 
Tusiache kuwagongelea misumali ni watamu sna hawa viumbešŸ˜‹šŸ˜‹šŸ˜‹šŸ˜‹
 
Mkuu mbona hujamaliza kutaja majukumu malizia na kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto nk nayo inabidi mfanye wote pasu kwa pasu, na kama hamuwezi basi mkae mkijua hiyo ndio sababu kubwa, inayowafanya wanawake pia washindwe kusaidia majukumu yenu pasu kwa pasu
 
Tikiti maji
Tangawizi ni vyakula pendwa kama unataka kuwa mzuri kwenye hiyo sector
Ila pia
Wakati unaipiga usiweke hisia kari sana kwenye tendo

kwa upande wako
Ila kwangu ni hivyo!
Me huwa naweka hisia kali mpaka udenda unachuruzika napoona mbususu ikiwa imetuna kwenye mapaja meupe yaliyojaa juu kukiwa na kishundu kama mitungi ya majišŸ˜‹šŸ˜‹šŸ˜‹
 
Huu Uzi utakuwa Bora kwa muda mrefu. Umeongea kweli kabisa na mwisho wa siku nice guys, wanakuwa wabaya sana sababu ya matendo ya wamama. Wanaume wasiposhtuka wanapata msongo wa mawazo.
 
SIKUBALIANI NA HOJA HII.
Watu mnatiana ujinga sana. Mnalishana sumu sana. Ukisoma maoni ya walio wengi utaona lawama nyingi wanapewa wanawake, maneno ya chuki na kejeli wanapewa wanawake, na wengi wanaotoa maoni wana mtazamo hasi sana juu ya wanawake. Wengi wanaonekana waliumia kwenye mahusiano au wanaendelea kuumia kwenye mahusiano lakini kwa mtazamo wao wanawake ndio chanzo cha matatizo na wao ndio wenye makosa. Wengi wanatoa uzoefu wao binafsi au mifano yao binafsi kama hukumu au hitimisho kwamba wanawake ni wabaya, hii si sahihi. Hebu tujiulize, hivi wanaume hawana makosa kwenye uhusiano? Kwa hiyo shida zote zinazotokea kwenye mahusiano wewe mwanaume huna mchango kwenye shida hizo? Yaani wewe ni malaika na msafi ila mwanamke ndiye siku zote mkosaji? Si kweli! Changamoto kubwa ninayoiona hapa ni wanaume wengi hasa vijana KUKOSA UELEWA NA MAARIFA, kuhusu masuala ya mahusiano na kumwelewa mwanamke. Mahusiano ni sanaa ambayo lazima ujifunze jinsi ya kukabiliana nayo kila siku. Kukosa kwako uelewa na maarifa kusiwe kisingizio kwamba mwanamke ni mtu mbaya. Yaani, huwezi kulaumu gari lenye changamoto za kiufundi kwasababu wewe inakusumbua kuliendesha au hujui jinsi ya kulitengeneza, hapo tatizo si gari, tatizo ni WEWE usiye na maarifa.

Wanawake ni viumbe bora sana kuweza kuwepo hapa duniani, swali ni kwamba UNAWAELEWA? Ndoa ni jambo jema sana kuwahi kutokea hapa duniani, kuna faida nyingi sana raha za kuwa kwenye ndoa, tatizo UNA UELEWA? UNA MAARIFA? Kukosa kwako maarifa na uelewa kuhusu wanawake haimaanishi kwamba wanawake ni wabaya, au uwachukie wanawake, jipe muda JIFUNZE ili uwaelewe na uendelee kufurahia maisha yako wewe na wanawake.

Wanawake wapo, na wataendelea kuwepo, wewe mwanaume huna namna bali ni kuwa mpole jifunze jinsi ya kuishi naye mwanamke na maisha yaendelee.

Kama hamjui ombeni msaada mpate maarifa na uelewa kuhusu wanawake badala ya kulialia tu.
 
Ni picha tu kwamba hali halisi ya wanawake wengi sio wote kwa wanaume zao . So ni tahadhari kama zingine tu haswa kwa wale wanaume anatongezea ndoa anafikiri atapendwa
 
Tufundishe.
 
Nakushauri usikubali kuoa mwanamke anae force ndoa hiyo ni behind your full consent, Wewe unajiona muda bado na kuna vitu unatafakari lakini yeye anataka umuoe kwa lazima ana force aiseeeehhh hizo ndoa hazidumu na zinapitia migogoro mingi sana, ndoa ya kibali ni hile mwanaume uamue mwenyewe sio ya kulazimishwa na mtarajiwa au wazazi
 
Mkuu chukua maua yako šŸŒ¹šŸ’šŸµšŸ„€ umeandika point sana.
Na imenigusa kiasi chake coz nimepitia hayo
 
Kwa asili dunia iliumbwa kwa ajili ya wanaume. Na ni mwanaume ndiye mwenye jukumu na mamlaka ya kuitawala.

Ili kuitawala dunia na vyote vilivyomo ni lazima kutambua mamlaka hii ya asili tuliyopewa na kisha kujua namna ya kuitumia.

Comment nyingi zina-discourage ndoa na mahusiano ya kudumu. Hili linadhihirisha ukubwa wa ombwe na tisho la kutoweka kwa mamlaka asili ya kiume.

Mwanaume ukitumia akili na mamlaka yako vilivyo, mwanamke ataenenda chini ya misingi utakayomwekea. Ndo maana misahafu inasisitiza umuhimu wa kuishi nao kwa akili. Badala ya kuambukizana ujinga wa "kupeleka moto na kuwabwaga" tuwekeze kwenye kupeana maarifa na akili ya kuishi nao.

Hizi porojo za kuwakomoa, sijui hit and run, ni dhana za kichovu zinazoonesha immaturity na wala si uanaume.

Kushindwa kum-handle mwanamke ni kielelezo cha mwanzo wa kushindwa kujitawala. Ukishindwa kumtawala mwanamke kuna mengi hutaweza kuyatawala.

Haijawahi kutokea dunia nzima ikawa na watu wenye tabia, matamanio na hulka za aina moja. Binadamu wote tuna character tofauti kutokana na effect ya mazingira ya zamani na sasa.

Wapo wanawake wajinga na vile vile wapo wanaojitambua. Ni kama ilivyo kwa wanaume, wapo wanaume wanaojielewa na kujiamini, wapo waoga na wasioweza kujisimamia, kuna wanaume machawa mpaka machoko kama akina Lokole, lakini wote hawa ni wanaume. Vipi kama wanawake wakituhukumu wanaume wote kwa kumtumia Mwijaku kama sample study, itakuwa sawa?

Badala ya kupandikiza chuki na uoga dhidi ya wanawake, tupeane maarifa namna ya kumtambua na kumpata mwanamke bora (kwasababu wapo).

Mwisho wa siku lazima tuzaane na kuijaza dunia. Na kupata kizazi bora cha kesho tunahitaji familia madhubuti chini ya baba na mama wanaojitambua.
 
Vitabu vinasema vitimbi vyao ni vikubwa sasa wewe ukisema unawajua sana basi ujue pia visa vyao ni vingi.
Ila best of men are the best to his women.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…