Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Huyo anaepeleka pochi polisi hajaufata Uislam.

Hiyo Kiislam inaitwa "luqatah" na ina namna zake zimeainishwa kikamilifu na muda wake maalum wa kukaa nazo kabla hazijawa zako.

Ukimuona Muislam anapeleka mali ya kuokota polisi huyi ni mtenda mema asiyeelewa hukumu zake.

Ndiyo maana Uislam unasisitiza "soma". Usiifate jamii ukadhani kuwa ipo sawa kwa kila walifanyalo.
Sijawahi soma comment yako ambayo haina neno 'Uislam'
 
Mpaka sasa ubaoni
Dakika ya 85
Kataa ndoa goal tano kubali ndoa goal 2

Mashabiki wa kubali ndoa hasa wanawake wameondoka wote uwanjani

Mpaka sasa nimemuona FaizaFoxy na To yeye wengine wameingia mitini!!

Ni kweli katika Uislam kila kitu kimeainishwa kuhusu mipaka ya mume na mke!! Ndiyo maana wana harakati hawaishi kusema kuwa Uislam unakandamiza haki za kina mama!!
 
Huyo anaepeleka pochi polisi hajaufata Uislam.

Hiyo Kiislam inaitwa "luqatah" na ina namna zake zimeainishwa kikamilifu na muda wake maalum wa kukaa nazo kabla hazijawa zako.

Ukimuona Muislam anapeleka mali ya kuokota polisi huyi ni mtenda mema asiyeelewa hukumu zake.

Ndiyo maana Uislam unasisitiza "soma". Usiifate jamii ukadhani kuwa ipo sawa kwa kila walifanyalo.
Sahihi 100%
 
Mpaka sasa nimemuona FaizaFoxy na To yeye wengine wameingia mitini!!

Ni kweli katika Uislam kila kitu kimeainishwa kuhusu mipaka ya mume na mke!! Ndiyo maana wana harakati hawaishi kusema kuwa Uislam unakandamiza haki za kina mama!!
Hata Biblia Paulo alizungumza kuhusu mipaka ya mume na mke.

Tatizo manabii wa uongo na wachungaji wanaopenda fedha wameyatwist mno maneno ya Biblia.

Biblia inasupport mfumo dume ambao una Haki .
 
Kiislam mke au mwanamke kwa ujumla kapewa hadhi kubwa sana mpaka wanaume hawaoni ndani.

Ukimkuta mwanamke wa Kiislam anapelekeshwa pelekeshwa na mwanamm elewa kuwa huyo hafati mafundisho ya Kiislam au haishi maisha ya Kiislam.
 
Hii nadhani ni true. Mimi pia nimeiangalia kwa angle nyingine. It is either wachangiaji wengi humu bado ni "wavulana" wengi hawana ndoa; au ni wanaume ambao waliwahi kupata masahibu katika mahusiano; au wanafuata tu mkumbo ili naye aonekane amechangia kuponda wanawake. Last but not least, hizi nyuzi za kuponda wanawake zimekuwa nyingi sana huku JF, je, ni kampeni kuwa wanawake HAWAHITAJIKI TENA hapa duniani? Je, ni mkakati wa kueneza mahusiano kati ya wanaume kwa wanaume? Msinipige mawe tu jamani sina nia mbaya!🏃🏃🏃🏃🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️.

Mmezidi mno mpaka inaonekana mnamkosoa Mungu kuumba hiki kiumbe kinaitwa mwanamke na kukileta hapa duniani.
Hao wanachangia tu ila wapo wanawake ambao wanajiheshimu na wakiwa kwenye mahusiano wanamthamini mwenzao.

Na kingine ni kwamba hawaijui saikolojia ya mwanamke. Kama usipoijua saikolojia ya mwanamke itakupa tabu sana!

Ukitaka kuoa na kama upo kwenye mahusiano kama kuna mambo bado mwanaume anaona yanamchanganya; huyu mtu kama anahitaji ushauri ni vyema ushauri wake aupate kwa watu ambao wameshaoa na tena wapo kwenye ndoa kwa muda mrefu. Akijichanganya akienda kupata ushauri kwa mtu ambaye hajaoa atapotea tu na matokeo yake ndiyo kama hayo!

Ila wapo wanawake ni changamoto kubwa! Ukijichanganya tu imekula kwako!
 
So Mkuu kwa mfano hiyo pochi we ukiiokota utapeleka? Au utasubiri watangaze walioiokota?
Unabaki nayo kama ni muaminifu, kama unajiona hauna uaminifu unaipeleka kwa kadhi, pasipo na kadhi unaipeleka kwa Imam msikitini na unapeleka matangazo sehemu husika. Kama ikipita mwaka mmoja hajatokea mwenye nayo basi hiyo inakuwa ni haki yako na hata akitokea mwenyewe baada ya hapo hana haki ya kukudai.

Na ikiwa ndani ya mwaka atatokea mwenyewe na kuhakikiwa kuwa kweli ni mwenyewe, basi atapewa hiyo mali kasoro asilimia 10 itabaki kwa aliyeipata (founder) na mwenye mali anaweza akatowa zawadi yake nje ya hiyo 10% akipenda.

Nimekatiza kwa maisha ya kwetu, ni kipengele kirefu kidogo, kwani hayo ni mambo ya kawaida, na hapa limeongelewa pochi tu lakini kuna vingi vinapotea, kuna chakula, kuna mifugo, kuna wanyama wanaofugwa lakini wasioliwa.

Kila kimoja kina namna zake. Kina wapi kimeokotwa, mazingira ya uokotaji na kadhalika.

Uislam ni mwema sana hakuna kitu umeacha. Ni mfumo kamili wa maisha.
 
Dawa ya mwananke ni mwananke.
Kwa waislamu hii ni advantage hasa unapotaka kuoa basi piga ndoa mbili Kwa pamoja na harusi Moja.
Yaani ndege wawili jiwe Moja.
Kama Bado mambo SI mazuri weka msimamo wako mapema Kwamba utaongeza mke inshaAllah na kama akikataa basi piga chini huyo ,na hii ni Kwa masingle mother na hata kama hajazaa.
Kwa idadi ya wanawake walivyo wengi ni ajabu kuona mwanaume anateseka na mke mmoja.
Tutafute pesa Ili tusileteane dharau.
Mkuu unaufahamu uwiano wa idadi ya wanaume na wanawake
 
Uislam ni mfumo kamili maisha, sasa vipi mambo yua kimaisha utanitenganisha nao?

Wewe unaishi maisha yako kwa mfumo upi?
Ningekujibu vzur tuu, lakini huu uzi hauhusiani na hayo mambo.
Kwan we lazima kubadilisha kila uzi uwe wa majadiliano ya dini? Acha hayo mambo mama.
Kama huna cha kuchangia ukiachana na kuleta topic za kidini, soma tuu comments alaf pita kushoto.
 
Sijabadilisha uzi, nimejibu kwa mujibu wa maisha ya Muislam, wewe unaweza kuweka kuweka kwa mujibu wa maisha yako.

Ulikatazwa au nilikuuliza kwanini?
 
Back
Top Bottom