Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

 
Hii kamati iliteuliwa baada ya magufuli kutaka kujenga hilo bwawa , ila baada ya kusoma ripoti yao akaikataa na kuitupilia mbali .
Huo ndio ukweli wenyewe

Kwa hiyo una maana kuwa huo mradi wa Stiegers Gorge unaanzishwa bila yakuwa na ....
" Environmental Impact Assessment Certificate" ?
Wapi tunaweza ipata hiyo ripoti ya tume tujaribu kuipitia nasie akina karumekenge.
 
Nimetumia kikotoo cha IQ kukuelewa. Kama mti ni uhai ni dhambi kuondoa mti bila sababu. Lakini wakanyaga katiba wanatabia yakutojali uhai
 
Hawa wazungu ni wanafiki sana....mbona Trump huwa ikifika hoja ya mazingira kwenye vikao vyao G 20 sijui G ngapi huko huwa anatoka na hakubaliani na matakwa ya mazingira????.....cc huku ndo shida.....? JPM tekeleza mradi huo at any cost.....
 
Hiyo report iko wapi?

Tuwekeeni na sie tuione.

Sikuizi hakuna wa kumuamIni
 
Mnawarudisha kwenye gas ambayo haipo imeibwa na mabeberu mnataka wafanyeje sasa hahaa?
 
Wamarekani walijenda hoover dam miaka hiyo na bado wanakula matunda yake mpk leo,China wamejenga three gorges dam na ndio bwawa kubwa kbs duniani linatoa megawati zaidi ya elfu 21 wanafaidika na umeme kwa miaka mingi...sisi tukitaka kujenga ndio waanze kutuambia mazingira wakata hizo nchi zilizoendelea ndio zinaongoza kwa kuchagua na kuharibu mazingira, mimi binafsi natoa support kubwa huu mradi ufanyike na nampongeza rais kwa maamuzi thabiti.

Kuna watu mnalalamika bei kubwa ya umeme lakini miradi kama hii inapotaka kufanywa ili itusaidie hata kupunguza bei ya umeme kidogo mnaanza kupinga kila mtu siku hizi anataka kujifanya mwanaharakati


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiseme faida ya vyura ni ndogo, ni viumbe walio na haki ya kuishi katika mazingira yao. Binadamu tunajisahau na kujiona sisi ndiye wenye haki na hii dunia, very wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Ripoti ndiyo ile iliyokasema choo kiwe km 10 toka eneo la mradi..! ripoti ya ovyo sana..! Sasa watu watakuwa wanafanya kazi au wanashinda njiani kwenda chooni tu
 
kwa hilinnapingana na jiwe huwezi haribu mazingira unakata miti eneo ukubwa kama mkoa wa dar... unazani miaka kumi sijazo tutakuaje?? kwani sini gesi ipo inawezaa tumika hadi miaka 100 ijayo kwanini tusiitumie hiyo au kaona kwenye mradi huo kuna pesa kubwa ataipiga sana... maana kila raisi hukuja na mbinu yake ya miradi ili kupitia miradi hizo apige pesaa waliopita walidili na gesi na yeye kaona adili na hii bwawa... tusifanye mambo kwa kukurupuka tuangalie na athari ya mazingira gesi sini ipo ?? au gesi sio yetu yaani umeme wa gesi unaaminika duniani sisi tunayo lita na lita za matrillion zinazoweza tumika hata miaka 100 ijayo... kweli?? kwa hili hata kama ni mabeberu wapo sawa kusema hili hata kama mkiritafakari kwa upande wa kusema hawaitaji tukajiendeleza kimaendeo hakika tutakuwa tumekosea gesi mtwara ipo tuitumie hiyoo kuliko kuharibu hifadhi ya selous naambatanisha video clip ya zitto kabwe



clip ya nape nnauye akitahadharisha ukataji miti
 
Usiseme faida ya vyura ni ndogo, ni viumbe walio na haki ya kuishi katika mazingira yao. Binadamu tunajisahau na kujiona sisi ndiye wenye haki na hii dunia, very wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
That being the case, let's all live a holistic lives, every living organisms have the right to life. Tuwe vegetarians, tunaokula mboga mboga, fruitarians tunaokula matunda na breathtarians tunaokula hewa. Kila kiumbe chenye damu pia kina roho, hata kuku, mbuzi, ng'ombe wana roho na wana haki ya kuishi.
P
 
Mimi nimeosoma ripoti ya WWF kuhusu mradi huu, kama katiba tuu imeweza kukanyangwa na tuko ok kabisa, what is EIA compared?.

Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambe
ya maendeleo ya nchi
yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
Hizi ni sentensi mbili kinzani yaani kama kuna ulazima wa kukanyaga Katiba ili kufanyika jambo la kizalendo basi ikanyagwe tu.
 

Hata Jiwe alisema hadharani habari ya hiyo environmental assessment report.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…