FACTSFIRST
Senior Member
- Dec 6, 2019
- 191
- 290
Kosa lake kubwa lililo mwaribia lissu kuwa Rais wa Tanzania matamshi yake wakati wa mchanga wa dhahabu wa Makenikia , kuunga mkono wazungu wachukue Madini yetu na kusema tusipowapa tutanyolewa kwa chupa , ilo tu linatosha kufuta kwenye ramani ya urais ktk historia ya Maisha yake. kumpa ukuu wa wilaya na ubunge nikosa kubwa tunataka Rais atakae tetea raslimali za nchi yetu . kwa ili tu lissu hafai kuwa Rais wa Tanzania atauza raslimali zetu zote kwa wazungu.
Kama bwana yuleeee kawa rais kweli hata form two failure anaweza kua raislisu somaaa hiyooo.....
Katiba!Tatizo watu wa Lumumba hawaelewi kuwa urais ni taasisi. Vyombo vya ulinzi na usalama ni sehemu mojawapo ya vyombo vinavyotumiwa na taasisi hiyo. Havihusiki kikatiba ku-influence nani awe kiongozi wa taasisi hiyo. Wanaofanya hivyo ni wananchi kupitia sanduku la kura. Kwa hiyo, yeyote yule anayechaguliwa na watu ndiye anayekuwa rais na vyombo husika sharti vimtii. Kwa hiyo hakuna pingamizi lolote kikatiba kwa TL kuwa rais.
Lissu anunuliwe na CCM kwa lipi? Lissu angekuwa hanunuliki angenunuliwa vipi na wazungu?Unaweza kuwa na hoja lakini hujatuwekea wazi udhaifu wa Lissu uko wapi? Mbona ni mzalendo tuu?
CCM wametaka kumnunua mara nyingi ili kumnyamzisha lakini alibaki kuwa mpinzani kwa maslahi mapana ya Taifa hili ili aliondolee ndwele ya maumivu ya CCM
Una ushahidi wa manunuzi hayo?Kwa maslahi hayohayo ya taifa, Lissu hawezi kuwa rais hata kwa siku1
Ndio CCM ilishindwa kumnunua ila mabeberu waliweza tena kwa kujipeleka mwenyewe sokoni..
Ni vile tuu taasisi ya urais imeshuka heshma miongoni mwetu lakini trust me haijashuka heshma kwe mfumo hata chembe.
Sema tu wewe ni zombi hujitambui. These are your true colours. Noti zote duniani kote ni makaratasi tu. Wakwasi na matajiri wote popote ni kwa sababu ya makaratasi tu. Maendeleo yote kote duniani ni sababu ya makaratasi tu.Kura ni makaratasi tu
Lumumba hawapendi kusikia hili. Yaani wao wanachojua ni kwamba yale maneno yaliyoko kwenye mkoba aliokabodhiwa jiwe wakati anaenda kuchuka form ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa mara ya pili yako sahihi. Yoote ni kutisha watu. Eti Fomu ya kuongoza vyombo vya dora my foot!!Tatizo watu wa Lumumba hawaelewi kuwa urais ni taasisi. Vyombo vya ulinzi na usalama ni sehemu mojawapo ya vyombo vinavyotumiwa na taasisi hiyo. Havihusiki kikatiba ku-influence nani awe kiongozi wa taasisi hiyo. Wanaofanya hivyo ni wananchi kupitia sanduku la kura. Kwa hiyo, yeyote yule anayechaguliwa na watu ndiye anayekuwa rais na vyombo husika sharti vimtii. Kwa hiyo hakuna pingamizi lolote kikatiba kwa TL kuwa rais.
Tunaomba ushahidi Mkuu wa kutaka kupigwa mnada Lissu na chama tawala.Unaweza kuwa na hoja lakini hujatuwekea wazi udhaifu wa Lissu uko wapi? Mbona ni mzalendo tuu?
CCM wametaka kumnunua mara nyingi ili kumnyamzisha lakini alibaki kuwa mpinzani kwa maslahi mapana ya Taifa hili ili aliondolee ndwele ya maumivu ya CCM
ππππAtagombea kama mgombea binafsi? Maana wamiliki wa CDM wanachaguo lao tayari, Nyalandu. Ni mtu ambaye wanaamini hatowasumbua kwenye kampeni financially
πππ Lazima atikiswe hadi akasimulie wajukuu.Ccm mnatumia mbinu nyingi sana ilitusimsupport LISSU ila ipo hivi mwaka huu lazima mteme NYONGO . Kamwambieni na huyo bwana mabombadia