Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

pombe alifanyiwa vetting wapi na nani anafanya vetting,Lissu hana kasoro kama alivyo pombe
 
Mfumo wowote una wafaidika huyu ni mmojawapo kwakua yeye anashiba mpaka anavimbiwa hawezi kuwaza vingnevo. Mi Africa ni mijitu mibinafsi sana tu..
Mtu ataandika weeee kumbe sio yeye ni tumbo linaandika!! Maweee ee!!!
Usiniambie uwezo wako wakufikiri umeishia hapo 😁😁😁
tufikiri kwa urefu sio saizi ya zakayo
 
Kwanza Nyerere hakujua kwamba kuna N. A. M???

Aliyeanzisha huo msimamo wa Non Alignment Movement ni nani kama sio Nyerere? Na aliyesitisha mahusiano na Morroco ni nani kama sio Nyerere???

Lumumba mtataga mwaka huu na propaganda zenu uchwara
Sasa ukiwa unaisoma nam tafadhali soma na diplomasia ya uchumi kwa pamoja ndo utamuelewa raisi
 
Yaani jamaa kakaa huko Ulaya mwaka na zaidi anarudi tuje tumchague kuwa Rais.

Halafu kamtukana baba wa Taifa.

Halafu kasema tusirekebishe mikataba ya madini ati tutashitakiwa.

Kila jambo la maendeleo kwa Taifa hili kwake ni baya,

Bado anatakaUrais, sijui urais wa nini.
 
Shida ya mada za wasio jielewa unapoteza hata appetite ya lunch kwani ni kama umeona kitu kichafu cha kinyaa. Hii thread yahusika
pole, tafta limao au ndimu au udongo
Usisingizie mada tafadhali
 
pombe alifanyiwa vetting wapi na nani anafanya vetting,Lissu hana kasoro kama alivyo pombe
Kalagha baho .Asingefanyiwa asingeweza katiza moto wa Lowasa.Hufanyia vetting watu kibao kwa post hiyo ukizengua hata dakika ya mwisho unapigwa teke wanawekwa wengine.Kama ambavyo Lisu anaenda kupigwa mateke ndani ya Chadema na mifurushi ya mifomu yake yenye sahihi za wadhamini lundo!!

Teke kuu ni ndani ya Chadema zinga la teke tena la uhakika
 
Mimi na wewe na yule
 
Inawezekanaje nyie mnamkubali mtu mkabila na dikteta kuwaongoza?
 
Niwe mkweli tu.
Tangu Lissu alipoanza kumtukana Raisi, kutukana waalimu wake na watu wengine wanaomzidi umri, kielimu na mengineyo nilimkataa sana kuanzia hapo.

Nilimsikia na kumsoma katika taarifa yake flani kwa umma anawavuta na kuwahusisha IGP na DG wa TISS kwenye siasa zake na kuwaamrisha katika kauli zake nikaona huyu hatima ya siasa zake za kulewa sifa atakuja kuharibu maisha yake mazuri ya kisiasa na kazi zake za kisheria siku moja.

Ujasiri wa kuwatukana wale wataalam waliohusika kwenye taarifa ya uchunguzi wa makinikia aliutoa wapi?
Kwamba yeye ni msomi na mahiri sana kuliko wale wote kwenye elimu ya madini, miamba, uchumi, sheria, uhasibu, hisabati na mifumo ya computer?

Lakini mwisho ukweli hujitenga na uongo, hatimae kifo cha Acacia, kuzaliwa kwa Twiga, kulipwa kwa zile fedha za Goodwill, kutoshitakiwa na kufilisiwa serikali huko MIGA alikosema vimekuja kuwa ushahidi yeye hakuwa sahihi na wale wataalamu aliowatusi walikuwa sahihi.

Lissu akiwa raisi wa JMTZ nchi hii itakuwa imepata pigo kubwa sana.
Kwanza Lissu yeye mwenyewe ni dikteta mkubwa sana kwa jinsi alivyo shiriki mchakato wa kuwafukuza akina Zitto na mchakato wa kumkaribisha Lowassa CDM kisha kumpa nafasi ya kugombea uraisi kupitia CDM.
Lissu alishiriki au alinyamazia siasa chafu za kumchafua mzee wetu Dk. Slaa mwaka 2015.

Lissu siyo mzalendo ni mjivuni , mnafiki na kigeugeu. Lissu siku zote yupo kwa ajili ya self ego feeding.
Ni afadhari nimpe kura yangu Membe au Mbowe au Msigwa kuliko Lissu.
 
Lazima kuwe na tatizo kwenye mfumo unaosababisha baadhi ya watu kuonekana kuwa wasaliti kwa nchi zao. Na hili liko wazi kwenye nchi nyingi za kiafrika na hupelekea minyukano ya wenyewe kwa wenyewe au tuseme vita za wenyewe kwa wenyewe ambazo mabeberu pia huwa sehemu ya hizo vita, angalia Libya na Syria..
 
Mkisikia tu jina la Lissu mavi yanagonga chupi dadeq
 
nmeipenda hii 🤙
 
asante sana 🤙🤙
 
Ukweli mchungu kwako binafsi na waliokutuma usifikiri kwa niaba ya System kwani system hugeuka pindi upepo ukigeuka hapo hapo si uliona Sudan system ilimgeuka Elbashiri sasa yupo jela, chaguo la wana CCM mwaka 2015 halikuwa Magufuli ilikuwa ni wengine lakini kwa mizengwe ya kikwete kumkata Lowasa kutaka kumpenyeza Membe ndipo wajumbe wa CCM wakapiga kura za hasira kumpa magufuli ambaye kaivunja katiba na Sheria kupiga marufuku mikutano ya siasa kwa hofu ya hao hao akina Tundu lisu anaowaita wanaongea umbeaumbea, sasa umbea ndiyo ulikufanya kumpiga risasi? Mbona wambea CCM akina cyprian Musiba, le mutuz, kibajaji Msukuma, lijuakali na wenzao wapo wengi hamuwapigi risasi?
 
Mbona hiyo system imemkubali mtu mwovu na katili asie na uwezo wa kuhutubia hata mkutano wa kijiji kwa kiswahi akaeleweka?

System hiyo ingekuwa makini kama usemavyo huyu nduli tusingekewa nae
 
Hiyo taasisi ya urais kaishusha heshima nani? Magu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…